Katibu Mkuu Kiongozi, Philemon Luhanjo,ametoa ripoti na kusema Jairo anarudishwa kazini kuanzia kesho.
===========
UPDATES:
Luhanjo anasema tuhuma zilikuwa za uwongo
Anasema taasisi za Wizara hazizidi 7 na si zaidi ya 20 kama ilivyodaiwa
Taasisi nne tu ndizo zilizochangia na zilichanga karibu TZS 500mil na si zaidi ya 1bil kama ilivyodaiwa
Pesa zilichangwa ili kuwawezesha watendaji watakaoenda kwenye bunge la bajeti
REA walichangia 50mil
TANESCO walichangia 40mil
EWURA waliombwa 40mil lkn hawakutoa, walichangia gharama za chakula na malazi kwa watendaji wa Wizara
Idara ya Uhasibu ya Wizara ilitoa 150mil
Idara ya mipango ya Wizara ilitoa 278mil
More updates to follow
What did we expect? more than this? definately not! Play the political games with Tanzanians' minds to win it......! Bila ya Misri, Egypty, Tunisia etc ....kila siku tutakuja hapa kulialia kama mbwa aisiye na mwenyewe wakati walioshika dola wakiendelea kutubiruabirua kama vibua.....! Too sad1
Katibu Mkuu Kiongozi, Philemon Luhanjo,ametoa ripoti na kusema Jairo anarudishwa kazini kuanzia kesho.
===========
UPDATES:
Luhanjo anasema tuhuma zilikuwa za uwongo
Anasema taasisi za Wizara hazizidi 7 na si zaidi ya 20 kama ilivyodaiwa
Taasisi nne tu ndizo zilizochangia na zilichanga karibu TZS 500mil na si zaidi ya 1bil kama ilivyodaiwa
Pesa zilichangwa ili kuwawezesha watendaji watakaoenda kwenye bunge la bajeti
REA walichangia 50mil
TANESCO walichangia 40mil
EWURA waliombwa 40mil lkn hawakutoa, walichangia gharama za chakula na malazi kwa watendaji wa Wizara
Idara ya Uhasibu ya Wizara ilitoa 150mil
Idara ya mipango ya Wizara ilitoa 278mil
More updates to follow
Jairo alisema tangu siku ya kwanza kuwa wabunge wetu ni sawa na kina Joti (Ze Komedi) and he was right.
Sasa ni wakati wa kujihoji hawa comedians tuendelee kuwalipa hadi lini, maana kama wanapuuzwa hata kwenye ishu yenye ushahidi usioweza kutiliwa shaka, hawatufai na hatuwahitaji.
Ndicho kitakachotokea kwa maigizo ya Maige na Mkurugenzi anayedaiwa kutorosha wanyama.. Nani angeweza kumujibisha DJ wakati kuna vigogo wengine nyuma yake?Tanzania nchi yangu,nakupenda kwa moyo wote...
<br />Hii serikali inatupeleka wapi sasa. Mtu ambaye ametuhumiwa kwa uwazi kabisa anarudishwaje tena kazini. It beats me!
Udini umetumika hapo hawa jamaa wote ni Wakirstu wanasali Kanisa moja. Luhanjo hawezi kumuangusha Mkristu mwenzake Njairo