BigTall
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 654
- 1,598
Tume huru ipo , that will not happenMara Paap Kisesa anashinda ubunge hahahah Dkt Samia ataficha wapi sura yake
Hapo ndo tatizo la bao la mkono lilipo.Ataweza kulinda kura zake!
Kama aliepitishwa hatokuwemo kwenye kinyang'anyiro Cha urais bas hatofanyiwa figisu na atashinda Kwa kishindo!Tume huru ipo , that will not happen
Anaweza kushinda aisee, unajua Dkt Slaa kule jimboni kwake ilitokea hivyo hivyo.Tume huru ipo , that will not happen
Kwa hiyo tumuite sheikh au Alhaj Luhaga Mpina ?Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Dorothy Semu, akimsajili Luhaga Joelson Mpina katika Mfumo wa ACT Wazalendo Kiganjani na kuwa mwanachama rasmi wa ACT Wazalendo.
Kwa tume hii inayopokea maagizo toka kwa Samia siyo rahisi, hata apate 99% ya kura zote mgombea wa Samia ndiye atatangazwa kushinda .Mara Paap Kisesa anashinda ubunge hahahah Dkt Samia ataficha wapi sura yake
na ndo hivyo...atawachapa baroka hadi wamwage mikojo!!Mara Paap Kisesa anashinda ubunge hahahah Dkt Samia ataficha wapi sura yake
Tatizo Mpina wetu wamemkamia.Anaweza kushinda aisee, unajua Dkt Slaa kule jimboni kwake ilitokea hivyo hivyo.
Kwa tume ipi?Safi sana. Namsubiri Gambo, sendeka, january . Maana bibi kidude kaota pembe
A man does not yield, Mpina ameonyesha uanaumeMmmmh!
Nahisi angebaki kule kule CCM, huenda angefikiriwa pia.