Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,718
- 13,435
Huyo mtuhumiwa anafikishwaje kortini pasipo ushahidi wa kosa lake(clip) kufikishwa katika vyombo vya dola?Muda mhafaka inaweza kuwa kortini,
Kumbuka hata hii clip imerekodiwa december, kwa nini waliamua kukaa nayo muda wotebhuo pasipo kifikisha katika vuombo husika?
Walisubiri muda muafaka?