My Thinking;
Watanzania tumejiandaa kuchezewa filkamu nyingine hapa.Kuweni makini.Filamu hii ina wahusika wafuatao;
1.Usalama wa Taifa
2.CCM
3.Manyerere Jackton
4.Joseph Ludovick
5.Maggid Mjengwa kama rafiki wa Joseph,Joseph anasemekana kuwa Cordinator wa Mjengwa blog
6.Wilfred Lwakatare
7.Hugochavez a.k.a Bukoba Boy
Mkuu uko sahihi sana,inawezekana kabisa wanaacha clue ili wafutiliwe. Pia polisi hawajawa na uzalendo huo wa kukamata ki dhati isipokuwa waamrishwe.
Hata hii video huyo mzungumzaji anaonekana anaangalia kushoto na kulia akikwepa direct eye contact na camera,maswala ya kujiuliza:
1, camera ilishikwa ama iliwekwa wapi asiione.
2, Kama kuna mtu aliificha kwenye kifumgo cha shati au peni ilikuwaje huyo mtu asimtazame wakati wa mazungumzo yao.
Upo uwezekano mkubwa hili jambo limepangwa na yote yanayotokea hakuna haja ya kuyashangilia kwa sasa. wapo wanaoshangilia ili kuzidi kupotosha, usia ulioutoa kwa viongozi wa chama cha chadema uzingatiwe.