naona mmeamua kuchezea vichwa vyetu! Mimi naona kama uchunguzi aliyetupia huku clip huyo BUKOBA BOY Pamoja na mwenye id hugochavez wanatakiwa nao wakamatwe ikiwa kama kweli polisi wanataka jambo hili liwe wazi.
1-walikuwa wapi siku zote uhalifu ukipangwa ? Waje watupe clip mtanaoni!?
2-huyu anayejiita hugochavez inaelekea jambo hili kwake limekaa kiushabiki zaidi kuliko uhalisia wenyewe na zaidi kwanini wasipeleke hii wanaouita ushahidi wa maandishi na kukimbilia kutupia mtandaoni? Does that really make sense? Hasa kwenye swala nyeti kama hili?
Mimi naamini hawa wawili ni watu muhimu sana! Ili polisi waweze kujiridhisha na wanachokichunguza! Nasisitiza tena hawa wawili ni watu muhimu sana sana kuisaidia polisi ili kupeta mchanga na dhahabu ni kipi! GT wengine waliobobea kwenye maswala ya sheria wanaweza wakasema kitu...
hugochavez ni whistle blower asiguswe kwa uhai wa taifa! Ndio maana watu wakaruhusiwa kutumia ID za kuchonga.
Kwa wanaotumia kichwa sawa sawa hii njia ndio inatakiwa kuwa supported na jamii zenye matatizo mengi kama hizi za kwetu chini ya jangwa la sahara.