Ng'wamapalala
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 6,811
- 6,506
Wadau tuwe makini sana na sinema ya kichina inayochezwa na vyombo vya dola.
Kuna mtu anatajwa kwa jina la Ludovick katika video clip ya bukoba boy. Na kwa wale tuliofuatilia kwa umakini comments za wanaccm mitandaoni walionyesha kumfahamu huyo Ludovick.
Sasa hapa ndipo mahali pa kuwa makini sana na ku connect dots!
Sina kigugumizi kusema kwa uwazi kuwa hii sinema ina lengo moja tu la kumtia hatiani Lwakatare na si vinginevyo. Endeleeni kufuatilia hii sinema ya maudodo mimi hawanipati ng'o!
Ha ha ha ha!. Toka lini Mkurya akawa mjanja?. I'm joking.
Huyo Lwakatare ameishajitia hatiani mwenyewe.