Ludovick Joseph akamatwa na Polisi...

Mungu ni mkubwa.Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu hata kabla ya ile clip ya "Bukoba Boy" huyu jamaa alikuwa anaoenekana uhusika wake.Hapa mjini Dar Es salaam hakuna mtu mpuuzi wa kupanda bajaji ya kushare na watu usiowafahamu hata siku moja.Anyway ngoja tusubiri tujionee wakuu but nadhan ni mwanzo mzuri huu!
 
Usipanic mkuu!! Wote tuu wahanga wa hili jambo nikimaanisha tupo pamoja!sasa itakuwa nzuri sana km ukweli umejulikana na mtuhumiwa kakamatwa! Sasa ili wanajf tuweze kuamini yabidi wewe mwenye hii kamba utaminishe kwa vielelezo,

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Huyu Jamaa;
Anaishi wapi?
Anafanya kazi gani?
Marafiki zake wakubwa ni kina nani?
Political affilliation? Najua Mjengwa ni CCM,Alivodai yeye alikua na mjengwa usiku ule.Msaada plz
Duh, Mjengwa? Hii kali. Maana nakumbuka namna ambavyo Mjengwa alionyesha kusikitishwa na jambo hili.
 
Jamani, mimi sibahatishi! Hapa nimeamua kupambana maana najua maisha yana mwisho. Hii habari ya kukamatwa kwake ni kweli kabisa. Watanzania tupambane tuhakikishe Tanzania inakuwa salama wa binadamu wote kuishi.

Mkuu tupo pamoja..hilo jina Linatajwa kwa Kibanda na kwa Rwakatale...Mda sio mrefu tutajua nani star wa picha zote mbili maana zinakwenda sambamba.
 
Daaa nasikia ni moderator wa mjengwa blog! Mungu ni mwema ukweli unaanza kuwa hadharani!
 
Jamani, mimi sibahatishi! Hapa nimeamua kupambana maana najua maisha yana mwisho. Hii habari ya kukamatwa kwake ni kweli kabisa. Watanzania tupambane tuhakikishe Tanzania inakuwa salama wa binadamu wote kuishi.



Kaka hapa unatuambia tupambane na aliyekamatwa au tupambane vipi hapa manake kichwa cha habari na mambano mbona haviingiliani?
 
ngoja nikanywe gongo yangu maana hata siwaelewi na siasa zenu maji tabu hela sina chakula sina bado manaleta maigizo yenu
 
Ana muonekano wa ukomavu,kama mwanajeshi. Yaani kama aliyefuzu vizuri,kutumia mwili wake kama silaha!
Nyie mwangalieni.
 
Mkuu idawa star wa hii picha yuko jkt ndio maana aliaga kwa mbwembwe!
Mkuu tupo pamoja..hilo jina Linatajwa kwa Kibanda na kwa Rwakatale...Mda sio mrefu tutajua nani star wa picha zote mbili maana zinakwenda sambamba.
 
Last edited by a moderator:
Tunasubiri kwa hamu kubwa!! Tumechoka Wtz na muvi za ma-director wa maccm

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Naomba mods msingoje ifike 10 pages ndo muifungie, mimi napenda mtuhumiwa wa kweli akamatwe lakini cpendezwi na habari za kuungaunga kama hizi
 
Mungu mkubwa wengi wataumbuka na clip feki ya kutengeneza, ngoja nami nitengeneze ya Nape
 
Hawa kunakamchezo wanakacheza lakini mwenyezi mungu yuko katikati yetu wataumbuka na njama zao potofu,tangu lini polisi wa tz wakawa fasta hivi!!ee mwenyezi wajaze roho wa kujisema watu hawa na uwaaibishe wasionane na wajutie uamuzi wa mchezo huu amii
 
Back
Top Bottom