Ludovick Joseph akamatwa na Polisi...

Ludovick Joseph akamatwa na Polisi...

Mungu mkubwa! Habari za uhakika nilizozipata dakika kadhaa zilizopita zinasema mtuhumiwa mkuu wa utekaji na utesaji wa Kibanda, Joseph Ludovick, amekamatwa punde tu mjini Iringa.

Mtoa taarifa ni Manyerere nimjuaye au??Watu watahangahika xana mwaka huu hata kuwasingizia viziwi kwamba wamesikia kitu...
Kama ni yeye kweli itajulikana, na kama siye Mungu atalipa taratibu!
 
Tanzania bila uhalifu wa chadema na UFISADI wa ccm inawezekana kila mtu atimize wajibu wake..

Kwa hili chadema imejichimbia kaburi yenyewe..
sijui kama unachokisema kina weza kuwa, mioyo ya watu imeingia sugu..ccm walichemsha waliposema Cuf wamekuja na visu na kumbe ni uongo, tangu wakati huo ccm hawaaminiki inapotokea mambo kama haya unless waifanye iwe beyond doubts..
 
Ludovick ni kijana mdogo sana hajai hata kiganjani ndugu!Alikuwa mpiga debe wa Rwakatare 2010..Ni mwanaharakati mzuri tu-CCM wanamjua sana...Kwa hiyo tusishangae sana!
 
Mungu mkubwa! Habari za uhakika nilizozipata dakika kadhaa zilizopita zinasema mtuhumiwa mkuu wa utekaji na utesaji wa Kibanda, Joseph Ludovick, amekamatwa punde tu mjini Iringa.

je aliyekamatwa tutaamini vipi kama siye aliyekuwa maagizo na lwakatare? Niambie kama lwakatare kisha achiwa kama bado je huwezi ona kama ndiye kamtaja? ebu funguka positively
 
`WanaJF: Kuna kitu kimoja kinanitatiza na nakiweka hapa kama kina relevance yoyote: nani alimteua Mwanahabari eric kabendera kumshindikiza Kibanda hadi A. Kusini katika ndege ile?

Inadaiwa Kabendera ni mwanausalama (TISS) aliyeboboea -- hivyo kuhusika kwake na hili sakata ni nini? Yeye na Kibanda wakoje? Ana assignment maalum kule A. Kusini?

Halafu nimeambiwa na watu wa New Habari kwamba siku chache kabla ya tukio la kutekwa Kibanda, Kabendera alikuwa anaonekana pale new habari wakiwa wanakutana na Kibanda.

Halafu wiki chache kabla watu wa uhamiaji walikwenda kijijini kwa kabendera na kuiharrass familia yake eti si raia wa Tanzania. Kuna relevance na hili nalo?
 
sijui kama unachokisema kina weza kuwa, mioyo ya watu imeingia sugu..ccm walichemsha waliposema Cuf wamekuja na visu na kumbe ni uongo, tangu wakati huo ccm hawaaminiki inapotokea mambo kama haya unless waifanye iwe beyond doubts..

mkuu, hii ishu wala haijakaa kisisiem. ni tukio la kweli na kwa vile Lwakatare ameshikiliwa kwa muda wa siku mbili sasa ni wazi kuwa amewaeleza ukweli polisi. pia kumbukeni amepekuliwa mara mbili nyumbani kwake. ukiona polisi wanakupekua ujue kuna kitu wanakitafuta ambacho kimo ndani. kumbukeni hawa jamaa wa polisi wanajua kazi zao ipasavyo na ndiyo maana walifanikiwa kupata funguo ya gari kwenye shimo la maji taka kule mwanza. we acha tu polisi. utawadharau na kuwatukana ukiwa mbali. lakini wakikunasa hutoki
 
Bhana si umesema waenda kunywa gongo wasijeweka maji mbona bado umo humu?

Swali sahihi kwa mtu asiyehusika .......rejea vizuri mkuu aliyesema aenda kunywa gongo ni mwingine broo ila mi nilimkot na kumuuliza kwamba vipi na kitu cha Arusha au simwenyeji, sitaki kuwa mwepesi wa kusema unakengeza kwani bado una nafasi ya kuweka rekodi sawa.OVER!!!!
 
`WanaJF: Kuna kitu kimoja kinanitatiza na nakiweka hapa kama kina relevance yoyote: nani alimteua Mwanahabari eric kabendera kumshindikiza Kibanda hadi A. Kusini katika ndege ile?

Inadaiwa Kabendera ni mwanausalama (TISS) aliyeboboea -- hivyo kuhusika kwake na hili sakata ni nini? Yeye na Kibanda wakoje? Ana assignment maalum kule A. Kusini?

Halafu nimeambiwa na watu wa New Habari kwamba siku chache kabla ya tukio la kutekwa Kibanda, Kabendera alikuwa anaonekana pale new habari wakiwa wanakutana na Kibanda.

Halafu wiki chache kabla watu wa uhamiaji walikwenda kijijini kwa kabendera na kuiharrass familia yake eti si raia wa Tanzania. Kuna relevance na hili nalo?

huko ni kutapatapa tu. kila kitu ki mikononi mwa polisi. utajiuliza sana maswali lakini hutapata majibu zaidi ya yale aliyowaambia Lwakatare polisi
 
so nini kinafuata baada ya kukamatwa?

sinema itakayofuata ni Kukiri kuwa chadema walimtuma kupitia kwa mkuu wake Lwakatare..LWAKATARE NA LUDOVICK WAMESOMESHWA Kuigiza hii movie ya kitoto kwa kupewa donge nono.
 
Mungu mkubwa! Habari za uhakika nilizozipata dakika kadhaa zilizopita zinasema mtuhumiwa mkuu wa utekaji na utesaji wa Kibanda, Joseph Ludovick, amekamatwa punde tu mjini Iringa.

Kama huyu jamaa amekamatwa Iringa basi kuna connection kubwa na Majid Mjengwa, namfahamu vizuri sana Majid na Iringa ndio makazi ya Majid.
 
Kwani alikua anaenda kutubu katika kanisa gan huko iringa?

baada ya mkenya sasa ni Lwakatare na Ludovick kunusuru serikali na Bw Bernad Membe,zoezi likiratibiwa na Mwandishi mwenye njaa kali Manyerere Jackton
 
Back
Top Bottom