....Jaribu kuwa MZALENDO kwa kulitetea TAIFA lako kwa Njia zozote iwe kwa Diplomasia iwe VITA, yote JIANDAE NAYO...
Sio Unalaumu laumu kama Si MTANZANIA vile.
Hapo hakiangaliwi CHAMA, Dhehebu, Kabila, Rangi ,.. HAPA NI KUITETEA TANZANIA NA MIPAKA YAKE....
via M4C
Mwana akililia wembe....................................................Katu Wazanzibari hawatoingia vitani kwa kuitetea Tanganyika, Nendeni WaTanganyika mkawanyanga'nye Wamalawi Ziwa lao, maana hamtajiwi mafuta na gasi mnatoka kipovu.
Ila wanajitayarisha kuikomboa Zanzibari, mkimaliza Malawi nendenii Muipige Zanzibar maana na wao wanataka Ardhi yao, ina mafuta na gesi nyingi.
Kauli hii ya matumaini na ya kujuvunia, tulitarajia itolewa na JWTZ au Rais, lakini hata hiuvyo sio mbaya!
Asante kamati ya bunge!
Unga mkono JWTZ kulinda mpaka ya nchi yetu!
Ulikuwa wapi?umeniwah kumjibu
Hakuna taifa lolote duniani ambalo litakuwa tayari ku-sacriffice primary interest kirahisi
Katika Diplomasia inajulikana Primary Interest za Taifa lolote ni
1: Ardhi ndani ya mipaka inayotambulika kimataifa
2:Raia wakndani ya mipaka pamoja na Raia wake walioko nje ya nchi n.k
Hizi ni interest ambazo taifa lolote lipo tayari kutumia millitary option.
Bernard Membe alitoa ujumbe ambao ni thabiti kabisa na mara zote nimesema Membe anafanya kazi yake kama wwa Mambo ya Nje vizuri na anafuata principle zote za diplomasiapamoja na mapungufu yake ya hapa na pale.Alionyesha maturity,patriotism na intellectual capacity alipokuwa akijadili hili la Malawi
Sheria za kimataifa zitazingatiwa.....hapo red n bolded jwtz ikattokea wameitungua ndege inayovinjari anga la tz huko ziwa nyasa kwa ajili ya utafit wa gas na mafuta. ndani ya ndege unakuta rubani i mwingereza na mtaalam wa utafiti ni myahudi mathlani, inamana tunaweza ingia vitani na haya mataifa?
Pasco ningeshangaa kama nisingekuona hapa, by the way nakubaliana nawe. Ila umesahau anaweza pia kum-summon Sitta
Vita vimeisha siku nyingi mkuu. Rais kama anatangaza hakuna cha Kesi ya Rada wala Rushwa yake na Waziri wake wa sheria anatamka Bungeni kuwa mjadala huo umefungwa kama ule wa Richmond unaelewa nini hapo?vita vya adui fisadi bado havijaisha mkuu
hapo red n bolded jwtz ikatokea wameitungua ndege inayovinjari anga la tz huko ziwa nyasa kwa ajili ya utafiti wa gas na mafuta. ndani ya ndege unakuta rubani mwingereza na mtaalam wa utafiti ni myahudi mathlani, inamaana tunaweza ingia vitani na haya mataifa?
Sheria za kimataifa zitazingatiwa.....
Pia niliposema Raia walioko nje namaanisha kuna Ubalozi ambao unashughulikia Interest za the sending state kwa nchi husika.Pia Ubalozi una kinga hata polisi hawatakiwa kuvamia tu itakuwa ni kama umeingilia nchi nyingine kinyume na sheria.Vita inaweza kutangazwa
Kama watu wanafanya utafiti lake Nyasa bila kuzingatia sheria on personal capacity sheria za kimataifa ndizo zitakazoamua.Kama Ndege ni mali ya Malawi au watu wenyewe wametumwa na serikali ya Malwi pia hii itakua a very serious case kama ilivyo hivi sasa na inaweza kupelekea vita.Kwenye sheria za kimataifa hii ni act of aggression.Sehemu ambako uhalifu unaanzia wakuwa labelled aggressors
Lowasa alikuwa anajitafutia umaarufu kwani hili sakata sio la leo baada ya kusikia washindani wake Sitta na Membe wametoa kauli na kupata sapoti na yeye akapata cha kuzungumza ilitakiwa mara baada ya kupatikana kauli za viongozi wa malawi wangekaa kuishauri serikali na kutoa tamko sio baada ya
kumbuka wanasiasa wote duniani huwa wanazungumza mambo wanayopenda kusikia wananchi