Duduwasha
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 5,703
- 3,663
Membe na Lowassa wamevunja katiba kwa kutamka mambo ya vita. Ibara ya 44 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya mwaka 1977 toleo la mwaka 2005 inasema...'Rais anaweza kutangaza kuwapo kwa hali ya vita kati ya ya Jamhuri ya Muungano na nchi yoyote'.
Viongozi wetu waepuke kutamka maneno yanayoashiria vita. wanaweza kujibu hoja bila kuonyesha dalili kwamba vita vyaweza kutokea.
Kama Raisi ni Mdhaifu na asiyejali kitu na aliyejaza Pesa pale Ikulu Unadhania Wengine wenye Uchungu na Nchi Watakaa Kimya.... We Kaa na Vifungu Vyako... Raisi Pengine yupo kwenye Mfungo hataki kuondoa Udhu kwa Kusemea Umwagaji Damu....