Lowassa: Tuko tayari kuingia vitani na Malawi...

Lowassa: Tuko tayari kuingia vitani na Malawi...

Mimi kama mtz, napata kigugumizi kwa hili, nani amiri jeshi mkuu wa Tz ni kikwete au lowassa?. jana nimeangalia star tv kwa kweli kauli ya lowassa ni aibu kubwa kwa kiongozi kuropoka yale maneno aliyotamka lowassa, hivi huyu jamaa anachowaza tu ni uchu wa madaraka kwa kujaribu kuwa pumbaza watz kwamba tukapigane vita NA MALAWI na kanchi kadogo size ya mkoa wa Arusha,mimi nilichojifunza kwa lowassa ni kwamba anatafuta pa kutokea ili arudishe personality yake mbele ya umma uliomdharau kupindukia, ni kweli kwamba huyu jamaa hatufai ktk nafac yeyote ya uongozi mana siku zote yeye anamini nguvu nya pesa,na pia kauli yake ya jana imemshusha sana HADHI JK kama mkuu wa nchi sasa wana JF, niambieni nani mkuu wa nchi ni lowassa au Jk? kwa kweli mimi binafsi nimefadhaika juu ya huyu jamaa,mwenye uchu wa madaraka na mwenye tuma nyingi za kila namna.
Vijana wenzangu huyu jamaa tumpotezee na kumdharau abaki kuwadanganya ndugu zetu wamasai na pia kuwadharau mafisadi wenzake wa ccm aka MABWEPANDE PPLE.
Kauli ya lowassa kwa wenye kuona mbal ni ya i kukemewa kama pepo.
Plse tucmpe nafasi kwa lolote.
HE IS VERY ARROGANT AND GREAT LIER TO US.
 
Mwanakijiji,
watu kama nyie ndio mnawaomba wake zenu samahani mkiwafumania wake zenu wanapigwa bao na wanaume wengine, yaani kwa upeo wako uandishi hii sababu ya Malawi kutaka kumega sehemu ya Tanzania ni ndogo sasa sijui kubwa kwako itakuwa ni ipi?

Chama
Gongo la mboto DSM
Duu!
Noted and appreciated, but analogy is a blow below the belt mazee!
 
Lowasa = ******..unawezaje ku declair vita ..kwani hakuna mahakama za kimataifa wansshindwaje kwenda huko . kweli ndio maana nchi yetu ni maskini kwa ujinga na useenge wa hawa viongozi wetu ..sasa wanajua kuwa tukishapigana na kuwashindwa ndio ziwa linakuwa kla kwetu? my hair
 
Mimi nashangaa chain of command yetu iko wapi. Lowassa yeye ni nani kuzungumza kwa niaba ya JWTZ? Kamanda in Chief yuko wapi? Yaani Tanzania yetu imeshaparaganyika kiasi kwamba yeyote tu anaweza kuzungumza kwa niaba yake? Suala la vita au kuwa tayari kwa jeshi letu ni kamanda in chief peke yake anayeweza kulizungumzia. When was the last time you saw Lowassa inspecting a guard of honour?

Mkuu Jasusi kinachofanyika hapa ni kurusha mawe kwanza na kuona watakavyotokea Wamalawi. Akisema Amiri Mkuu, kila kitu kitakuwa tayari. Hapa tunataka tupate lengo na muelekeo wa hawa Wamalawi.
 
Nikweli ni wenzetu kuna tofauti gani kati ya Wanyasa wa Malawi na wabongo.Hata watoto wa baba mmoja hugombania urithi ikibidi na ndicho kinachofanyika kati ya TZ na Malawi.
eti wa Malawi ni ''WENZETU''
 
Hivi tuna jeshi la Navy pale au tutaweka zile long range kusambaratisha chochote kitakachoonekana kikielea ,nasikia Uingereza ipotayari kuisaidia Malawi kijeshi pindipo ikibidi ili kulinda interest zake.
 
Mkuu you are being narrow minded.
Dont let your political affiliations na inlinations zikuzibe ufahamu wako wa kujua what is at stake.

Confrontations na Malawi zikianza hazitachagua mtu wa chama chochote na msimamo wake.
I usually dot aggree with EL , hasa katika stint yake ya uwaziri mkuu.

What is at stake here is bigger than your wildest imaginations.

Hivi umejiuliza haya mambo why now?

Is it a coincidence kwamba wakati huu huu na Mama Clinton yuko Malawi?
Na Malawi haikufanya kosa , IMELIGAWA ENEO LA EXPLORATION LILILO NDANI YA SEHEMU TUNALOLIDAI!
Explorers wenyewe:British!

It takes some brains to put two and two together.

Mtu usisahau vile vile kwa tamko hili la Lowassa limetolewa na Sitta na hata Waziri Membe.
Muchunguzi, kwa akili yako would you think that is also a coincidence!
That is called building up the pressure on Malawians.

Hivi wewe ulitaka Lowasa akubaliane na Malawi, usisahau kuwa pamoja na ufisadi wake bado ni mwenyekiti wa kamati ya ULinzi na Usalama.

Mkuu sampling ya hizo facts na analysis yake lazima itoe tamko thabiti- for now it doesent matter who says it, but imesemwa n Tanzania.

Soma link ya jamaa mmoja hapo juu , huko Malawi ujumbe umeshafika.

You know what? I will never be a vacuole like you are easily becoming.

Why go arrow headed to everyone against EL ideas? Insist on what you want and know, meanwhile forgetting to respond to the obvious? We have many of this type. You mentioned; The Sittas, the Membes all falling into this unnecessary trap. Unfortunately the thread is about EL.

Hii kamati ya ulinzi and …. Ni ya Bunge. Bunge and only Bunge. Siyo ya wizara ya Ulinzi au hata ya mkoa wa Mbeya. Powers zake zinabaki kuwa chini ya Bunge, finito!

Tusikae nje kwenye sofa tukisha ona mic then tunakuwa hysterical na kusema yanayo reflect yaliyo moyoni. NO NO! tusameheane.

Unaelekea kusema kitu kisichohitaji ushujaa wa vita vya Kagera kukishinda. Hapo unataja safari ya mama Crinton. Kweli hata kama siyo mpaka kuna lolote la kufanya? Hakutakuwa na ushujaa wa kusema songa mbele kama drones zitaanza kupita anga la Dar.

Kwani kila mtu akitoa tamko litamzuia US kufukuza mpagaji yeyote wa magogoni? Na kuwaambia mpaka ni lakeshore?

Unless we agree this is a country of stupid and so we are, I will never buy such excuses that allow every microphone holder to proclaim an imminent war against a neighbouring state.

I wish we are all less ignorant to make useless (so) leaders discover their impotence. Sorry!*
 
The problem is not Lowassa but our president. Why is he allowing these people to walk around and literally declaring war? This issue has narrated everything that one needs to know about the plague of leadership in our country.
 
Mkuu Jasusi, Lowassa ndiye M/Kiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, hivyo anazo nguvu na mamlaka yote kuzungumzia hili!.

Kwa powers alizo nazo, anaweza kumsummon MFI (Membe), CDF (Mwamunyange), CIS (R.O) na IGP (Mwema).

Utakuwa umechanganya kati ya kuzungumzia uwezekano wa Tanzania kuingia vitani na powers za kutangaza vita!.

Mwenye mamlaka ya kutangaza vita ni Amiri Jeshi Mkuu pekee na hakuna ku delegate jukumu hili!, lakini kuzungumzia nia ya kuilinda mipaka yetu, any leader anaruhusiwa kusema!.

Naendelea kukumbushia posibility ya
"Jiwe Walilolikataa Waashi, Litafanywa Kuwa Jiwe Kuu la Pembeni!".

Pasco.

Hapo nilipoweka BOLD, angalia sana. Ukipenda usizidishe viungo. Una hakika anaweza kumusamoni CDF? Unanirudisha kule wabunge walipodai saluti za askari.

Yaani m/kiti wa kamati ya usalama ya Bunge amusamoni CDF? Aibu gani hii unaeleza. Je Rais atafanya nini kwa CDF? Rais ndo M/kiti wa kamati ya ulinzi na usala ya nchi/Taifa.

Hiyo haiwezekani. anaweza akauliza hili au lile na akapewa maelezo na CDF, lakini CDF anaweza akamukatalia ombi lake. Na ni ajabu kwamba hujui kama CDF anaweza akaamulisha EL kuwekwa ndani.

Achaneni na mtu huyu. Alidhani arrogance ndo strength.
 
Lowassa ndio amir jeshi mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama na ufisadi pia

Jamani, huyu Lowassa ameingia madarakani akiwa tajiri tu!!!!!!!!!Kama kaongezea mali basi kaongeza ila hakuwa masikini.

Ila tuseme ukweli tuweke itikadi zetu na vyama vyetu pembeni. Jamani Lowasa ni JEMBE! N i kiongozi ambaye ni tallented, nakumbuka alipokuwa waziri mkuu, alikuwa akienda mahali ziara, watendaji huko wanaharisha, maana waliozembea alikuwa anawaachisha kazi on spot! Nani anaweza haya kwa SIRIKALI yetu hii DHAIFU?? kAMA SIO WAPINZANI BASI NI LOWASSA ingawaje wapo kina Mwakyembe, lakini kwa wanaoonyesha nia yakugombea, kweli Lowassa for Presidency!
 
Hapo nilipoweka BOLD, angalia sana. Ukipenda usizidishe viungo. Una hakika anaweza kumusamoni CDF? Unanirudisha kule wabunge walipodai saluti za askari.

Yaani m/kiti wa kamati ya usalama ya Bunge amusamoni CDF? Aibu gani hii unaeleza. Je Rais atafanya nini kwa CDF? Rais ndo M/kiti wa kamati ya ulinzi na usala ya nchi/Taifa.

Hiyo haiwezekani. anaweza akauliza hili au lile na akapewa maelezo na CDF, lakini CDF anaweza akamukatalia ombi lake. Na ni ajabu kwamba hujui kama CDF anaweza akaamulisha EL kuwekwa ndani.

Achaneni na mtu huyu. Alidhani arrogance ndo strength.
Mkuu MchunguZI, humu jf, tunatofautiana uwezo, uelewa na uchambuzi. Kwa vile CDF ni Mkuu wa Majeshi, basi wewe ndio unadhani anaweza akaamulisha EL awekwe ndani?!. Nasikitika kukueleza, CDF hana mamlaka hayo!. JK mwenyewe hana mamlaka hayo, itakuwa CDF?!. Aliyekuwa na mamlaka hayo alikuwa ni Nyerere peke yake kwa kutumia "Presidential Preventive Detention Order", ambapo wakati wa Mwinyi, Jaji Nyalali, akiwa Jaji Mkuu, alikifutilia mbali kipengele hicho ambacho kilikuwa kinakiuka lile tamko la kimataifa la haki za binaadamu ambalo tumeliingiza kwenye katiba yetu!.

Nyie ndio wale watu ukimuona askari polisi, unajificha au kumpisha njia!. Kwa kukusaidia tuu, hakuna mtu yoyote mwenye uwezo wa kuamuru kumtia ndani mtu mwingine yoyote!, unless umevunja sheria!. Sio Rais, CDF, IGP au CIS etc.
 
Kupenda vita kama ndio the only option ni kufirisika kidiplomasia na katika medani za siasa za kimataifa. Pia yawezekana walikwishaanza kula dili za kununua silaha hewa!!
 
faida za kuwa na taasisi DHAIFU ya urais, hata mbunge wa korogwe vijijini anaweza kutangaza vita, achilia mbali mtendaji kata mwenye elimu kidogo.
 
Mkuu MchunguZI, humu jf, tunatofautiana uwezo, uelewa na uchambuzi. Kwa vile CDF ni Mkuu wa Majeshi, basi wewe ndio unadhani anaweza akaamulisha EL awekwe ndani?!. Nasikitika kukueleza, CDF hana mamlaka hayo!. JK mwenyewe hana mamlaka hayo, itakuwa CDF?!. Aliyekuwa na mamlaka hayo alikuwa ni Nyerere peke yake kwa kutumia "Presidential Preventive Detention Order", ambapo wakati wa Mwinyi, Jaji Nyalali, akiwa Jaji Mkuu, alikifutilia mbali kipengele hicho ambacho kilikuwa kinakiuka lile tamko la kimataifa la haki za binaadamu ambalo tumeliingiza kwenye katiba yetu!.

Nyie ndio wale watu ukimuona askari polisi, unajificha au kumpisha njia!. Kwa kukusaidia tuu, hakuna mtu yoyote mwenye uwezo wa kuamuru kumtia ndani mtu mwingine yoyote!, unless umevunja sheria!. Sio Rais, CDF, IGP au CIS etc.

Pasco, Ni suala la ufahamu tu! Nahisi huhitaji kufahamishwa kwamba CDF maana yake ni Mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama (Polisi, FFU, Fire, JKT, JKU -JWTZ). Kamata kamata ni kazi ya baadhi ya majeshi haya.*

Mwanzoni nilikuuliza kwa nini unahalalisha EL eti kumusamoni CDF. Una hakika? hutaki kujibu. Nilichokuelewesha ni kwamba. Hiyo ni kamati ya Bunge. Ktk masuala ya nchi tunazo kamati mbalimbali za ulinzi na usalama. Ipo kamati ya wilaya, ipo kamati ya Mkoa na ipo kamati ya Taifa. Kamati hizi hazimpi nafasi mbunge.*

EL ni mbunge wa kawaida kabisa! Hatuhitaji kutumia immunity zisizo rasmi alizo nazo maana ukizifikiria hizo hatumalizi ubishi huu. Si uliona mgombea ubunge wa CCM akimpa kofi OCD kule shinyanga?

Mpe CDF nafasi special. Mtu pekee anayeweza kumuita kwa madaraka yake na kwa urahisi ni Rais wa nchi maana ni mwenzake ktk kamati ya Ulinzi na usalama wa nchi. Sasa tena unatuambia M/kiti wa kamati ya ulinzi ya Bunge? He is just nothing na hastahili hata kufahamu undani wa usalama wa nchi kama alivyo CDF maana hakuwahi kuapa kulinda na kutunza siri za usalama na ulinzi wa nchi. Aliapa mambo yake ya ubunge tu!

Mpende EL lakini usimpe yasiyo yake.
 
duh mjadala wenu na Pasco kiboko
 
Mchunguzi kweli hapo Ngoma haitalala kwani hamuelewani, mm navyojua Summons (Wito wa kuitwa Shaurini) Lowassa anao uwezo huo ni si kwamba ukiitwa unafungwa Lowassa hana uwezo au Mamlaka ya kumfunga
cha pili alichozungumzia Pasco ni Mamlaka ya kumuita Mkuu wa Majeshi Mamlaka hayo anayo km wanavyofanya Wabunge wengine km kina Zitto Kamati za Nishati & Madini hata kwenye UTEUZI wa nani anafaa au hafai Rais lazima aisikilize hata Hiyo kamati

Nime quote sentensi yako hii EL ni mbunge wa kawaida kabisa! Hatuhitaji kutumia immunity zisizo rasmi alizo nazo maana ukizifikiria hizo hatumalizi ubishi huu. Si uliona mgombea ubunge wa CCM akimpa kofi OCD kule shinyanga? hapo OCD alitakiwa amshitaki huyo DC na angesimamishwa kz km yule aliyewachapa Walimu viboko
Dictionary ya Oxford inasema nini kuhusu summon au summons

summon
n verb
1 authoritatively call on (someone) to be present, especially to appear in a law court.
2 call people to attend (a meeting).
3 (usually summon something up) cause (a quality or reaction) to emerge from within oneself: she managed to summon up a smile.
Labda tujiulize mpaka Vita ipiganwe ni hatua ngapi na hatua gani hufuata, je? ni CDF anaamua, je ni Rais anaamua? au Bunge linaamua?
muwakilishi wetu ni Lowassa
 
................[snip]*Labda tujiulize mpaka Vita ipiganwe ni hatua ngapi na hatua gani hufuata, je? ni CDF anaamua, je ni Rais anaamua? au Bunge linaamua?
muwakilishi wetu ni Lowassa

Mbona katiba iko wazi jamani. Kutangaza hali ya hatari ni Rais *- si Bunge, Madaraka ya kutangaza vita yako hivi:

1-…………. Rais aweza kutangaza kuwapo kwa hali ya vita kati ya Jamhuri ya Muungano na nchi yoyote.
*
2- Baada ya kutoa tangazo, Rais atapeleka nakala ya tangazo hilo kwa Spika wa Bunge ambaye, baada ya kushauriana na Kiongozi wa Shughuli za Serikali Bungeni, ndani ya siku kumi na nne kuanzia tarehe ya tangazo, ataitisha mkutano wa Bunge ili kutafakari hali ya mambo na kufikiria kupitisha au kutopitisha azimio la kuunga mkono tangazo la vita lililotolewa na Rais.

Tuachanane na hayo. maana naona tunaelekea hata kwenye semantics za lugha badala ya uhalali wa maelezo yaliyoandikwa hapa JF.
 
Pasco, Ni suala la ufahamu tu! Nahisi huhitaji kufahamishwa kwamba CDF maana yake ni Mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama (Polisi, FFU, Fire, JKT, JKU -JWTZ). Kamata kamata ni kazi ya baadhi ya majeshi haya.*

Mwanzoni nilikuuliza kwa nini unahalalisha EL eti kumusamoni CDF. Una hakika? hutaki kujibu. Nilichokuelewesha ni kwamba. Hiyo ni kamati ya Bunge. Ktk masuala ya nchi tunazo kamati mbalimbali za ulinzi na usalama. Ipo kamati ya wilaya, ipo kamati ya Mkoa na ipo kamati ya Taifa. Kamati hizi hazimpi nafasi mbunge.*

EL ni mbunge wa kawaida kabisa! Hatuhitaji kutumia immunity zisizo rasmi alizo nazo maana ukizifikiria hizo hatumalizi ubishi huu. Si uliona mgombea ubunge wa CCM akimpa kofi OCD kule shinyanga?

Mpe CDF nafasi special. Mtu pekee anayeweza kumuita kwa madaraka yake na kwa urahisi ni Rais wa nchi maana ni mwenzake ktk kamati ya Ulinzi na usalama wa nchi. Sasa tena unatuambia M/kiti wa kamati ya ulinzi ya Bunge? He is just nothing na hastahili hata kufahamu undani wa usalama wa nchi kama alivyo CDF maana hakuwahi kuapa kulinda na kutunza siri za usalama na ulinzi wa nchi. Aliapa mambo yake ya ubunge tu!

Mpende EL lakini usimpe yasiyo yake.
Nchunguzi kwanza tuekewane katika yafuatayo.

1. Amiri Jeshi Mkuu ni mmoja tuu ambaye ndiye mkuu wa Majeshi yetu yote ya Ulinzi na Usalama.
2. Kijeshi chini ya Amiri Jeshi kuna
- CDF-Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi
- CSS- Mkurugenzi wa TISS
- IGP - Mkuu wa Jeshi la Polisi
kuna sub component mbili ya
CPS - Kamishna Mkuu wa Magereza na
CIS - Kamishna Mkuu wa Uhamiaji.
Kila mmoja wa wakuu hao ana comand majeshi yaliyo chini yake. CDF anakomand majeshi na sub components zake za JKT, Airforce na Navy na hawezi
kuwacomand polisi, magereza wala wanausalama na hana mamlaka yoyote ya kumkamata yoyote nje ya comand yake unless ameingia ndani ya teritorial jurisdiction yake kama raia akifanya fujo ndani ya kambi ya jeshi atashughulikiwa na MP na atalazwa Qater Guard!. Vile vile mjeshi asiye Afisa akifanya fujo uraiani polisi wanamshughulikia kama mhalifu mwingine na kuliarifu jeshi husika.

3. Kisiasa juu ya wakuu hao wa majeshi kuna wizara za Ulinzi, usalama na mambo ya ndani ambazo wakuu wa majeshi hawa wanawajibika kwa mawaziri husika hata kama hao mawaziri ni raia!. CDF anampigia saluti waziri wa Ulinzi, IGP anampigia saluti W/Mambo ya ndani etc.

4. Waziri anawajibika kwenye kamati husika ya wizara yake na kamati isipiridhika haiungi mkono bajeji ya wizara husika.

5. Wenyeviti wa kamati husika, wana madaraka kamili ya kuwaita watendaji wowote walio chini ya wizara za kamati hizo!.

6. EL ni M/Kiti wa Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama hivyo Membe, Waziri wa Ulinzi na CDF wanaweza kuwa summoned mbele ya kamati anytime!.

7. Moja ya kazi za bunge ni kuisimamia serikali kupitia kamati husika, zile bajeti unazosonewa bungeni, zimepitishwa kwanza kwenye kamati husika zikaridhiwa ndipo ukasomewa. Hivyo wabunge ndio wasimamizi wa serikali.

8. Tunahitaji sana kuwaelimisha Watanzania wenzetu kama wewe kuhusu elimu ya uraia ili wananchi wazijue haki zao.

9. Hata rais wa nchi, tunaoaswa kumheshimu kama binadamu mwingine yoyote kwa kustahili utu na heshima ila ni rais anayepaswa kutubyenyekea, sisi ndio tuliomuajiri na kumlipa mshahara wake na akiboronga tunaweza kunfuta kazi!.

10. Tangu tumepata uhuru miaka 50 iliyopita CCM imekuwa ikitutawala huku inaboronga mwaka hadi mwaka na kwa ignorance ya watu wetu, tunaendelea kuichagua tena na tena na inaendelea kuboronga na kuboronga tena na tena na 2015 tutaichagua tena na tena sababu ya watu kama wewe!.
 
Back
Top Bottom