Lowassa kuongoza kampeni ya 'Toroka Uje'

CCM ya Nyerere tunayoijua siyo hii ya watu wasio na maadili kina Nape, Lusinde, Mwigulu, huku wazee waasisi wa chama kina Butiku, Warioba, SAS wanafanywa kama wageni waalikwa na sio wenye hafla.
 
Yani CHADEMA haina muda mrefu inakufa kifo cha mende...ile CHADEMA tulioizoea haipo tena imekuwa CCM B.

Makada wote hao wanataka madaraka ndani ya chama wakina saa 8 jiandaeni kuwapisha akina Masha na Msindai waongoze chama...

Hata wakija wote! sisi tunachojua lazima watafuata kanuni za ukawa, ile katiba ccm waliyoikataa ndiyo tunayoitaka na ndiyo watakayoitumia,wananchi wengi wamechoka kuburuzwa.
 
Hivi Sophia simba m/kiti cwt kamkimbia mama sululu na mgumba wema peke ake duuh kweli toroka une
 
mwapachu sophia kingunge wametemwa leo na ccm
 
lowassa alisema..kampeni rasmi zinaanza tar moja october...wapo tuliomwelewa yule mzee
 


ccm walikuwa hawamwelewi lowassa....sasa wanamwelewa .....na juzi amesema..kampeni rasmi zinaanza tar 1 october..hii kauli ilibeba ujumbe mziti sana
 
Operesheni mpya inayoitwa TOROKA UJE inakwenda kuzinduliwa rasmi sasa kama wewe bado TOROKA UJE kwenye ukombozi #UKAWA milango bado ipo wazi .

CCM mwaka huu wana hali mbaya sana.
 

Ole na masala gete ga Ng'wanapagi. Gwanhana no nene Omagufuri atemo omu bhagasa gwane.
 
"Kichwa chenye mvi ni taji ya utukufu, Kama kikionekana katika njia ya haki."Mithali 16:31,"Nyumba ya mtu mbaya itabomolewa; Bali hema ya mwenye haki itafanikiwa" Mithali 14:11"Afadhali mtu akutwe na dubu aliyenyang'anywa watoto wake, Kuliko na mpumbavu katika upumbavu wake" Mithali 17:12.
 
CCM hivi karibuni baada ya wasanii Anti Ezekiel na Ray kuihama kambi ya UKAWA sasa CCM wamezindua kampeni inayoitwa Nimestuka kwa wale waliojiunga na UKAWA sababu eti UKAWA wamaisha.

Ukawa leo wanazindua kampeni inaitwa Toroka Uje.Hii ni kwamba wengi ndani ya CCM wamebanwa na maslahi na hofu ila wanaipenda CDM na UKAWA.Hata Magufuli ameshauriwa kutoroka aje UKAWA.

My take: Kama umestuka toroka Uje.

Je, wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…