:cool2:Wana jamii huku tetesi zikiendelea kuvuma kuwa Leo kuna baadhi ya makada wa CCM wakiongozwa na Mh. KINGUNGE KOMBALE, binafsi naona balance ya CDM kuondokewa na DR. SLAA na kumpata KINGUNGE kuwa mzani unaonyesha kuwa kuziba pengo la Dr. Slaa labda wapate akina KINGUNGE 1,000,000. :angry:
Hapa ni Leo Bahari Beach DSM
Kampeni dhoofisha CCM na kukaribisha wageni kuzinduliwa Leo. Nadhani ni ITV watakuwa live saa kumi jioni.
#TOROKAUJE
#NatakaKuchekaNajikaza
Mkuu, sio CHADEMA hiyo bali ni UKAWA - NCCR, CDM, CUf na NLD. Mbona unajikita kwa mmoja tu.
:cool2:Wana jamii huku tetesi zikiendelea kuvuma kuwa Leo kuna baadhi ya makada wa CCM wakiongozwa na Mh. KINGUNGE KOMBALE, binafsi naona balance ya CDM kuondokewa na DR. SLAA na kumpata KINGUNGE kuwa mzani unaonyesha kuwa kuziba pengo la Dr. Slaa labda wapate akina KINGUNGE 1,000,000. :angry:
Hapa ni Leo Bahari Beach DSM
Kampeni dhoofisha CCM na kukaribisha wageni kuzinduliwa Leo. Nadhani ni ITV watakuwa live saa kumi jioni.
#TOROKAUJE
#NatakaKuchekaNajikaza
You cannot Teach an Old Dog New Tricks.
Potelea mbali CHUKUENI.
Queen Esther
muda huu tunahitaji ata nguvu ya shetani kuhakikisha ccm tunaichoma moto!
Slaa ndio nani!? Mbona hasikiki?CDM Mtaacha matamasha lini? mtaalamu wenu kishaondoka CDM imebaki jina, lundokewa kwa ZZK na Dr Slaa si kitu chepesi. Dr Slaa ni sawa na akina kingunge 100,000.
You cannot Teach an Old Dog New Tricks.
Potelea mbali CHUKUENI.
Queen Esther
kodolea macho tv ya taifa itv kuanzia saa 10 .