Lowassa kuongoza kampeni ya 'Toroka Uje'

mhmh kazi kubwa sana ccm ni ishu wana wewe seka
 
Na bado! Hizi siku 24 zilizobaki ataondoka mpaka Pinda mliyesema hana maadili kama Januari
 
vumbi ni baada ya baraza la mawaziri kuvunjwa, lakini hapo tutegemee nafasi ya sofia simba ya uwaziri mkuu atachaguo mtu kabla ya kuvunja baraza la mawaziri
 
Hatuhitaji kujadili tetesi jaribuni kuleta habari zilizothibitishwa.
mnashusha hadhi ya jukwaa.
 

Hawachomoki akina nani sasa?
 
Habari Mpasuko


Lowassa Kuzindua kampeni ya Toroka Uje, kesho Bahari Beach Hotel.


Tutegemee kuyaona mengi!


Chanzo :Blog Habari

sasa tuone toroka uje na mchepuko siyo dili nani zaidi
 
CCM Bye..Bye...Bye...Unetutesa sana Pumzika kwa shida na upotee Kabisa Kwenye uso Wa Dunia.
 
"if Your Own Cat Start Bite Your Sons Instead Of Rats,their Is No Any Other Options Than Chasing That Cat Out Of The House"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…