Nilikuwa naisubiri hii siku kwa hamu sana lakini Tanesco wameshafanya yao,ila hakijaharibika kitu.
Ni furaha kuona wenzetu wameamua kuungana na sisi.
Hadi wanaamua kufanya maamuzi kama haya tena kwa muda huu kidogo uliobakia basi amini nawaambieni hali ya CCM ni mbaya,Lowassa ndiye mshindi hadi sasa.
"Kichwa chenye mvi ni taji ya utukufu, Kama kikionekana katika njia ya haki."Mithali 16:31,Nyumba ya mtu mbaya itabomolewa; Bali hema ya mwenye haki itafanikiwa Mithali 14:11"Afadhali mtu akutwe na dubu aliyenyang'anywa watoto wake, Kuliko na mpumbavu katika upumbavu wake" Mithali 17:12.
Huyo Magufuli mzima?Vile vi battery kwenye moyo vya kazi gani?
Loliondo alienda kufuata nini?
Huna habari anatembea na kibobo cha dawa?
Hadi hapo nani tia maji,tia maji?
Macho yasikudanganye ukadhani.......
View attachment 292962
upende wa pili wamemuandaa huyu mtu aje kuropoka uongo mwingine na unafiki.
Habari Mpasuko
Lowassa Kuzindua kampeni ya Toroka Uje, kesho Bahari Beach Hotel.
Tutegemee kuyaona mengi!
Chanzo :Blog Habari
LOWASSA kawatapeli UKAWA kuwa akipewa ugombea uraisi, viongozi kibao wa CCM wangehamia UKAWA kumbe ni utapeli mtupu. Sasa uchaguzi unakaribia bila ya ahadi zake kutokea, ndio anaanza tena kujaribu kuwarubuni. Hivi ni nani mjinga kujiunga hivi sasa wakati tayari CCM wanakubalika kwa zaidi ya 65%?
Ccm ikifarakana si salama kwetu tu bali hata wanyama kwenye mbuga zetu wata kuwa salama.