Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,270
- 8,033
Aende wapi?
kwenye kile chama cha Dovutwa
Aende wapi?
ni vyema watanzania wakajua ukweli maana naamini kama hukutenda wewe umebeba siri ya watendaji wa mchezo huu mchafu jisafishe mapema kwa kuonyesha wahusika maana nahisi hutaambulia kitu kwa kutunza siri au kama wewe ndo muhusika wa moja kwa moja.Ngoja nikusikilize labda unaweza badili fikra nilizonazo juu yako!
He is now on 90.5 Rozari FM
He is now on 90.5 Rozari FM
Jk atakata umeme nchi nzima, he he he
mkuu homa za vipindi hazijakuisha tu
Mbona mbowe fisadi and inajulikana wazi kwa mtu mwenye akili timamu
JAMANI EHE Mwacheni aseme labda atawataja wahusika. kachoka kuwa mbuzi wa kafara. au mmesahau msemo usemao "VITA VYA PANZI FURAHA YA KUNGURU"azungumze tu, lakini urais atausikia kwenye bomba, habadilishwi kitu mtu hapa.