mkuu inabidi tusubiri tu maana hakuna anayejua ila mda sio mrefu itajulikana.....
Ni vyema akae kimya kuliko kuongea na kuonekana zuzu!
anagoja angurume ili magamba wazidi kutifuana zaidi
naomba leo aitumie vizuri kabisa ..aseme yote kabisa....
Ni mda mrefu sana E Lowassa amekuwa akiandamwa sana na ccm na baadhi ya watu kwa maslahi yao wanayojua wenyewe.
Lakini tukiacha ushabiki wa kisiasa na kufikilia kwa undani Lowassa amesaidia mengi sana Tanzania. Kila mtu ana mapungufu yake hivo alionayo Lowassa si ya ajabu. CCM ina ajenda ya siri ya kumuua Lowassa kisiasa, kwa kuwa leo ataongelea mambo yote ambayo amekuwa akituhumiwa,tumsikilize vema ili tuchambue ukweli na uongo wake.
WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa leo anatarajiwa kuzungumza na vyombo vya habari katika mkutano ambao utazungumzia mambo makuu matatuChanzo: Mwananchi
- Kampuni ya kufua umeme ya Richmond ambalo lilisababisha ajiuzulu wadhifa huo, Februari 2007.
- Taarifa zinazomhusu ambazo zimekuwa zikichapishwa katika baadhi ya vyombo vya habari nchini.
- Mgogoro ndani ya CCM mkoani Arusha, ambao unatokana na mgawanyiko miongoni mwa makada na viongozi wa chama hicho. Pia anasema kwamba ataanzia pale alipoishia, siku ile alipozungumza bungeni kuhusu Serikali kufanya uamuzi mgumu lakini hakutakuwa na kumshambulia mtu,
Ngoja tupate mtazamo wake
RA alisema kuna siasa uchwara
Sijui naye atakujaje
Anaongea saa ngapi? waiting anxiously
We acha tu.....najua sasa hivi wengi watatamani walau waone kwanza alichoandaa kabla ya kwenda kuongea na waandishi wa habari....natamani amwage vyote ugali na mboga na avikanyage kanyage kabisa halafu .....si amesema anaaznia alipoishia!!!poa mkubwa, ila leo watatafutana!