Elli
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 55,499
- 86,037
Mpwa na mimi ndio nilichouliza hapo juu, kwanini leo na sio jana? Kuna nini? Why asubiri Mwakyembe hayupo? Mmhhh haya tunywe maji tumsubiri aongeeHii nchi inaendeshwa kama movie.
Hebu tuangalie vigezo hivi:
1. Shutuma nzito kama hizi mtu maarufu, mwenye akili timamu, mwanasiasa na tajiri unaweza kukaa kimya miaka minne wakati unajua kabisa kwa kufanya hivyo unailazimisha jamii ikubaliane na tuhuma dhidi yako?
2. Hii courage ya kuongea na waandishi wa habari ameipata wapi wakati huu.
3. Je tunaweza tukasema kwamba ni coincidence kwamba kinara wa tuhuma dhidi yake (Mwakyembe) anaugua ugonjwa usiojulikana na hayupo ndani ya nchi na yeye kufanya ayafanyayo au ni mkakati?
4. Katika mazingira haya, tusubiri tusikie atasema nini, tusubiri tuone hatima ya Mwakyemba itakuwa nini.
Maswali yapo mengi ya kujiuliza ila tujadili haya machache.