habariyamujini
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 3,094
- 457
Kibaka yeyote angeweza kuongea hayo.Mimi ni Pro Membe tena?
Leo umebeba au? Najua lazima utembee nayo na siku ukipatikana itaanza kukuumiza we mwenyewe kwanza
Kibaka yeyote angeweza kuongea hayo.Mimi ni Pro Membe tena?
el ni chuma cha pua,hakuna jembe kama hilo
Kibaka yeyote angeweza kuongea hayo.Mimi ni Pro Membe tena?
Mahaba ni upofu aisee.seriously,kabisa mtu kusema serikali iwe na vipaumbele vichache vya muhimu,kupongeza utendaji wa mawaziri napo ni "kuunguruma"!!! Au tayari zile "kambi" kuelekea 2015 zimeanza!!! Anyway,mleta thread ameshindwa kuficha mahaba yake kwa Ustaadhi Lowasa. Ntarudi... Waiter,please ongeza Kinana Lager nyingine bariiiiiiidi...
Akiingia lkulu huyu ukoo wa panya mtafaidi
Mwizi mkubwa!watanzania tunataka urudishe pesa ulizoiba kwenye Richmond,ha2wezi kumpa fisadi hili papa urais,anaota ndoto za mchana-pumbaf sana.
very nice and stunning speech big edo
......... na wapiga kura anao!Wewe ndio una stress pesa ipo uwezo wa kaz anao kwa nn awe na stress
Big up MY PRESIDENT. Unatosha na huna mpinzaniHapo inaonyesha LOWASSA anapenda kazi za John Pombe Magufuli zaidi ya WAZIRI MKUU anayemuingilia kwenye shughuli zake...
Conflict of Interests...???
Leo umebeba au? Najua lazima utembee nayo na siku ukipatikana itaanza kukuumiza we mwenyewe kwanza
Lowasa katoa bonge la speech tuweke unaz wa vyama na makundi pemben