Lowassa apigwa mawe Tarime

Kwa kutubu kwake amepona na kupakwa mafuta ili awe mfalme Wa nchi yetu.Vasco da Gama,John Kasuku,Benny Mikwapa,Ndugu Kinena na wengine wote wana nafasi ya kutubu na kuzaliwa upya.
 
Ni katika harakati zake za kutafuta wadhamini mikoa mbali mbali, kazi anayoifanya kwa kutumia usafiri wa ndege binafsi alizopewa na marafiki zake kama anavyodai.

Leo ilikuwa zamu ya mkoa wa Mara ambapo amedhamiria kufikia wilaya zote za mkoa wa Mara. Alipofika Tarime ndipo wananchi walishikwa na hasira na kuanza kutoa maneno mbalimbali. Maneno hayo mengine yalisikika yakisema Mwizi wa rasirimali zetu. Hapo ndipo mawe yakisema kurushwa toka kwa huo umati ndipo hatua za kumnusuru zilichukuliwa kwa kupeleka ndani ya gari.

Lakini kwa hapa Musoma, vijana wa bodaboda wapatao 200 kila mmoja alikuwa anapewa 20,000 /= na mafuta lita 5 yaani full tank, ili waweze kufanya mapokezi.

My take:
Mkoa wa Mara hatuhitaji mafisadi watutawale.

========
UPDATE:

View attachment 258863

hii post ya mwaka jana, hata hivyo alipata mapokezi mazuri tu.
 
Mbona Hbr Na Evidence Zinasigana!!! Mahakama Imekata Ushaidi Wenu!! Maana Kesi MPYA Na USHAIDI Wa Zamani, Kabla Ya TUKIO!!
 
Ni katika harakati zake za kutafuta wadhamini mikoa mbali mbali, kazi anayoifanya kwa kutumia usafiri wa ndege binafsi alizopewa na marafiki zake kama anavyodai.

Leo ilikuwa zamu ya mkoa wa Mara ambapo amedhamiria kufikia wilaya zote za mkoa wa Mara. Alipofika Tarime ndipo wananchi walishikwa na hasira na kuanza kutoa maneno mbalimbali. Maneno hayo mengine yalisikika yakisema Mwizi wa rasirimali zetu. Hapo ndipo mawe yakisema kurushwa toka kwa huo umati ndipo hatua za kumnusuru zilichukuliwa kwa kupeleka ndani ya gari.

Lakini kwa hapa Musoma, vijana wa bodaboda wapatao 200 kila mmoja alikuwa anapewa 20,000 /= na mafuta lita 5 yaani full tank, ili waweze kufanya mapokezi.

My take:
Mkoa wa Mara hatuhitaji mafisadi watutawale.

========
UPDATE:

View attachment 258863 [/QUOTE

Kama wewe ni mtu mzima; basi akili yako ya kupambunua mambo ni changa sana! Vinginevyo wewe ni mtoto hujui usemalo!

Haya ndiyo maajabu ya Ngamia kuicheka nundu ya Ng'ombe! Unawezaje kumnyooshea kidole Lowassa kwa ufisadi wakati wewe ni ccm? Kama ni mtu mzima utaelewa maana sihitaji kukulainishia kila kitu!
 
Yaan ukiskia kenge huyu jamaa nizaid ya kenge maana Rowasa anasubiliwa na maelfu ya watu Tarime ambapo atatokea Nyamongo ambako nako bado anasubiliwa na maelfu ya wapenda mabadiliko sasa sjui kinachomtekenya nin hd aanze kudanganya wanajanv.
 
Ni katika harakati zake za kutafuta wadhamini mikoa mbali mbali, kazi anayoifanya kwa kutumia usafiri wa ndege binafsi alizopewa na marafiki zake kama anavyodai.

Leo ilikuwa zamu ya mkoa wa Mara ambapo amedhamiria kufikia wilaya zote za mkoa wa Mara. Alipofika Tarime ndipo wananchi walishikwa na hasira na kuanza kutoa maneno mbalimbali. Maneno hayo mengine yalisikika yakisema Mwizi wa rasirimali zetu. Hapo ndipo mawe yakisema kurushwa toka kwa huo umati ndipo hatua za kumnusuru zilichukuliwa kwa kupeleka ndani ya gari.

Lakini kwa hapa Musoma, vijana wa bodaboda wapatao 200 kila mmoja alikuwa anapewa 20,000 /= na mafuta lita 5 yaani full tank, ili waweze kufanya mapokezi.

My take:
Mkoa wa Mara hatuhitaji mafisadi watutawale.

========
UPDATE:

View attachment 258863

Habari ya mwezi wa sita dah ushogo ngumu kuacha
 
Habari za mwezi Wa sita mneleta Leo, ndo maana mnashindwa kujua nyakati zinaendaje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom