Lowassa apigwa mawe Tarime

Lowassa apigwa mawe Tarime

kama jk tena akiwa rais alipigwa mawe mbeya , itakuwa huyu raia mtia nia tu , tutafakari kwanza kabla ya kupinga .

Mkuu wanaopinga ni wale ambao nguvu ya huyu jamaa imewafumba macho. Hata wale wanaolundikana kumfuata Edo waweza kukuta hawajitambui wanafanya nini ila wanakuja kujishangaa akishaondoka. Uliza kwa mtu yeyote aliyetoka Nigeria atakuambia nguvu za huyu jamaa zimeanza kutiliwa mashaka mamlaka yake yatoka wapi?
ImageUploadedByJamiiForums1433910641.017528.jpg
 
Huu nao ni uwongo wa wazi wazi. Hakuna wakumpga lowasa mawe, tunamkubali na anakubalika.
 
Pale kwenye vyombo vya habari wamerusha clips za Musoma na Bunda tu
Edo anatembea na mwandishi maalum ambae anaedit matukio yote muhimu na mazuri ili yarushwe ITV.
Mwandishi wa ITV MUSOMA ni Marato lakini hakuripoti ile habari.
Ni mbinu nzuri na mikakati lakini kwenye urais tuache maigizo.
 
  • Thanks
Reactions: DSN
siasa za chadema za kijinga kwani kufanya vurugu ndiyo ishu.
 
Hata mie nimesikia magazeteni leo asubuhi imeandikwa ukurasa wa mbele ktk gazeti moja nimelisahau jina...
 
Lowassa atafia hajafikia hata robo ya safari yake ya matumaini itakayonyongelewa mbali na akina Nape
 
Siasa za namna hii za kipuuzi sana!!! Mlilazimishwa kwenda kumpokea kama mnajua ni mwizi wa rasilimali!!?!
 
Mi mpaka najishangaa sisi watanzania ni watu wa aina gani? Kwa maana mtu Mwizi,JambaZi, Jangiri Mafisadi Papa kama hawa wanaotuibia na kudhulumu wazi wazi eti Wanakuja kuomba Dhamana yetu tuwakabidhi inchi yaani tuhalalishe ujambazi wao?

Kweli Jamani yaani sisi ni wapole na wajinga kiasi hicho? Ninaa amini ndani ya kikosi cha Majambazi wapo pia mashushushu, basi tuwape mashushushu ili tuwe salama.

Nchi Za wenye msimamo hawa watu walitakiwa wawe tayari wamepelekwa kwenye mamlaka za milele siku nyingi saana.
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Huyo mzee anatafuta pa kufia. Mtu alishawaibia wananchi hela halafu anaendelea kuwafuatilia, ina maana hela alizoiba hazimtoshi?
Kama huyo mzee anataka kufa afe salama.
 
Yaani hilo tukio nimelishuhudia kwa macho yangu. Jamaa angejifanya kinganganizi wangemuua. Na cha ajabu alidondoka wakati anaondolewa naskia hali yake sio nzuri pamoja na afya yake mgogoro ndio doh! Balaa tupu.

Kweli ndugu!
Ndo naskia hapa kwwnye redio wapo!!
 
"Voxy Popul Voxy Dei" naona nyota ya Makongoro kwa mbaaali....
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Back
Top Bottom