mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,585
- 11,260
kumbukumbu mujarabuhabari ya 2015
kumbukumbu mujarabuhabari ya 2015
waga napenda mno picha za hawa Wanyama nitabandika sebuleni kwangu wawe wanaona
Hakuna cha nyakati, semeni mmechemka ! Hayo mawe si mngemuua !
Hahaha hi comment balaaMaskini manyumbu walipo ambiwa wapige wakapiga walipo ambiwa msafi wakasafisha barabara
Nataka tuu ndugu zangu wakumbuke waliko tokaMkuu mtwa mkulu kwa nini unafukua makaburi....???