Lowassa apigwa mawe Tarime

Lowassa apigwa mawe Tarime

Kama hali ni hiyo kwa nini hao vijana wa tarime wasiripoti takukuru???? kulalamika na majungu hakutawasaidia
Sheria ni sheria wameambiwa pokea tafuna kisha songa.
 
...tarime
 

Attachments

  • 1434005626572.jpg
    1434005626572.jpg
    71.8 KB · Views: 781
Kama hoja hazipewi nafasi,nguvu ndiyo kete ya mwisho.Kwa watanzania hapo ndipo walipofikishwa,there is no other alternative.Huwezi kwa mfano kuwang'oa CCM through the ballot box kwa kuwa wanatumia kila mbinu chafu kuiba kura.What do you do?Sit down and cry?!
Binafsi nafikiri kitendo hicho si cha kistaraabu,Kwani wangelimsikiliza then wakatae hoja zake!.But kuna historia mbaya itakayowafika hawa viongozi wetu,hususan walioko madarakani......'Kama watanzania watakumbuka vizuri,Serikali hii ya kikwete ndiyo serikali pekee ambayo viongozi wastaafu na hata wa upinzani wamedhalilishwa sana huku yeye aidha akiwa kimya au anachekelea na mwisho HACHUKUI HATUA NA HATA KUKEMEA TABIA HIZO.Alianza mkapa akazomewa...jk kimya...Mwinyi akapigwa kofi huku akiwa kama mwakilishi wake.....warioba akapigwa na makonda...akacheka...Lowasa naye .....kimya!!!!!..Nafikiri hata yeye akistaafu huenda yakamkuta!..Ni vyema watanzania tukapingana kwa hoja badala ya nguvu.
 
Hiyo ndiyo style ya mafuriko hayazuiliki kwa mikono
 
Polisi wamuongezee ulinzi ...Tarime hawataki mchezo
 
ni katika harakati zake za kutafuta wadhamini mikoa mbali mbali, kazi anayoifanya kwa kutumia usafiri wa ndege binafsi alizopewa na marafiki zake kama anavyodai.

Leo ilikuwa zamu ya mkoa wa mara ambapo amedhamiria kufikia wilaya zote za mkoa wa mara. Alipofika tarime ndipo wananchi walishikwa na hasira na kuanza kutoa maneno mbalimbali. Maneno hayo mengine yalisikika yakisema mwizi wa rasirimali zetu. Hapo ndipo mawe yakisema kurushwa toka kwa huo umati ndipo hatua za kumnusuru zilichukuliwa kwa kupeleka ndani ya gari.

Lakini kwa hapa musoma, vijana wa bodaboda wapatao 200 kila mmoja alikuwa anapewa 20,000 /= na mafuta lita 5 yaani full tank, ili waweze kufanya mapokezi.

My take:
Mkoa wa mara hatuhitaji mafisadi watutawale.

========
update:

View attachment 258863

habari ya mwezi wa sita hiyoo.huna jipya.
 
Leo anapokelewa Tarime kama mfalme,na vijana tumejipanga ole wake atakae zomea hakika atakiona cha mtema kuni.
 
Sasa hivi kuna watu Magamba wanatengeneza Magazeti Bandia

Walianza kuwachafua Ukawa kwa kutengeneza

Mwananchi bandia
Mtazania bandia
Majiran bandia
Tanzania Daima Bandia

Ccm Mwaka huu hamtoki !!

Hiyo ni Tanzania daima halisi
 
Sasa hivi kuna watu Magamba wanatengeneza Magazeti Bandia

Walianza kuwachafua Ukawa kwa kutengeneza

Mwananchi bandia
Mtazania bandia
Majiran bandia
Tanzania Daima Bandia

Ccm Mwaka huu hamtoki !!

Wanadhihirisha kuwa wamechoka kwa kiwango kikubwa mkuu, waache waendelee, punzi unakaribia kukata.
 
hao ndo wana Akili na kuna uwezekano rais akatokea huko mara.jambazi mkubwa ngoja zama zake zina isha july.popote apitapo tunamjua ni fisadi tu.ngoja tumlie pesa zake mana ni kodi xetu alixotuibia.shame on him.

Sijui kwa nn una hakili mgando sana...escow ya Jana tu ! Umeisukumiza kwenye 0713
 
Back
Top Bottom