Lowassa apigwa mawe Tarime | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowassa apigwa mawe Tarime

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by KIBARAone, Jun 9, 2015.

 1. KIBARAone

  KIBARAone JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2015
  Joined: Mar 26, 2015
  Messages: 642
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Ni katika harakati zake za kutafuta wadhamini mikoa mbali mbali, kazi anayoifanya kwa kutumia usafiri wa ndege binafsi alizopewa na marafiki zake kama anavyodai.

  Leo ilikuwa zamu ya mkoa wa Mara ambapo amedhamiria kufikia wilaya zote za mkoa wa Mara. Alipofika Tarime ndipo wananchi walishikwa na hasira na kuanza kutoa maneno mbalimbali. Maneno hayo mengine yalisikika yakisema Mwizi wa rasirimali zetu. Hapo ndipo mawe yakisema kurushwa toka kwa huo umati ndipo hatua za kumnusuru zilichukuliwa kwa kupeleka ndani ya gari.

  Lakini kwa hapa Musoma, vijana wa bodaboda wapatao 200 kila mmoja alikuwa anapewa 20,000 /= na mafuta lita 5 yaani full tank, ili waweze kufanya mapokezi.

  My take:
  Mkoa wa Mara hatuhitaji mafisadi watutawale.

  ========
  UPDATE:

  Capture lowassa.PNG
   
 2. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2015
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,246
  Likes Received: 4,692
  Trophy Points: 280
  Kapigwa mawe sehemu gani kamanda kichwani, mgongoni sehemu gani ya mawili na vipi hali anaendeleaje?
   
 3. Sir Good

  Sir Good JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2015
  Joined: Aug 19, 2013
  Messages: 1,036
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Lita 5 ndiyo full tank? acha uongo mkuu!
   
 4. E

  Earthmover JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2015
  Joined: Sep 28, 2012
  Messages: 14,021
  Likes Received: 4,033
  Trophy Points: 280
  ...
  ......Mara TARIME !!!
   
 5. N

  Ngarna JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2015
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,974
  Likes Received: 469
  Trophy Points: 180
  Lowassa atawatoa roho mwaka huu. Mafuriko hayazuiliwi kwa viganja.
   
 6. KIBARAone

  KIBARAone JF-Expert Member

  #6
  Jun 9, 2015
  Joined: Mar 26, 2015
  Messages: 642
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Usitegemee kuwa vyombo vya habari vita ripoti hii taarifa kwani mafisadi wameshavinunua.

  Mimi nipo Tarime nimeshuhudia tukio
   
 7. KIBARAone

  KIBARAone JF-Expert Member

  #7
  Jun 9, 2015
  Joined: Mar 26, 2015
  Messages: 642
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Soma vizuri; kaokolewa na kukimbizwa kwenye gari la sivyo akina mura wangemgecha
   
 8. M

  Mitula Senior Member

  #8
  Jun 9, 2015
  Joined: Aug 2, 2014
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  shida yenu mmetawaliwa na upuzi fulani, ,fuatilieni kwa ndg zenu walioko trme au kwa aliyeangalia startv watawaambieni,,,
  lowasa kazomewa ile mbaya na kuonesha vidole viwili,,ila mawe sijashudia walitupa wawili watatu hv
   
 9. Crocodiletooth

  Crocodiletooth JF-Expert Member

  #9
  Jun 9, 2015
  Joined: Oct 28, 2012
  Messages: 9,644
  Likes Received: 3,517
  Trophy Points: 280
  KIBARAone


  Acha uongo wewe! / wana tarime wamempokea kwa mbwembwe sana/

  KWANINI MTU ANABUNI UONGO NAMNA HII?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. shansarie

  shansarie JF-Expert Member

  #10
  Jun 9, 2015
  Joined: May 25, 2013
  Messages: 5,717
  Likes Received: 311
  Trophy Points: 180
  Na apigwe tu
   
 11. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #11
  Jun 9, 2015
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,499
  Likes Received: 1,361
  Trophy Points: 280
  Daaaah

  Masikini !!
   
 12. k

  kanone JF-Expert Member

  #12
  Jun 9, 2015
  Joined: Oct 10, 2013
  Messages: 6,197
  Likes Received: 376
  Trophy Points: 180
  Wanatarime tunasema kwa ccm kama sio MAGUFULI au MUHONGO hatutaki kumuona mtu huku,
   
 13. KIBARAone

  KIBARAone JF-Expert Member

  #13
  Jun 9, 2015
  Joined: Mar 26, 2015
  Messages: 642
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Hayo mawe mawili au matatu yanatosha kuthibitisha kuwa taarifa niliyoitoa siyo ya kupikwa. Hata mimi nilikuwapo eneo la tukio na hayo mawe nimeyashuhudia.
   
 14. k

  kanone JF-Expert Member

  #14
  Jun 9, 2015
  Joined: Oct 10, 2013
  Messages: 6,197
  Likes Received: 376
  Trophy Points: 180

  Ameanza kupigwa kabla UNAJELIA na PESA havijaisha je vikiisha itakuwaje.
   
 15. KIBARAone

  KIBARAone JF-Expert Member

  #15
  Jun 9, 2015
  Joined: Mar 26, 2015
  Messages: 642
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Erythrocyte Ngoja wapinge tu lkn habari ndiyo hiyo. Mbona TIBAIJUKA alizomewa huko jimboni kwake. Kwani lowassa ana tofauti gani na TIBAIJUKA wakati wote ni kambi moja ya ufisadi?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Erythrocyte

  Erythrocyte JF-Expert Member

  #16
  Jun 9, 2015
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 48,474
  Likes Received: 31,701
  Trophy Points: 280
  tunashukuru kwa uthibitisho mkuu , Mungu akulinde sana .
   
 17. r

  rajabs JF-Expert Member

  #17
  Jun 9, 2015
  Joined: Jan 16, 2014
  Messages: 385
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Yaani hilo tukio nimelishuhudia kwa macho yangu. Jamaa angejifanya kinganganizi wangemuua. Na cha ajabu alidondoka wakati anaondolewa naskia hali yake sio nzuri pamoja na afya yake mgogoro ndio doh! Balaa tupu.
   
 18. k

  kanone JF-Expert Member

  #18
  Jun 9, 2015
  Joined: Oct 10, 2013
  Messages: 6,197
  Likes Received: 376
  Trophy Points: 180
  Hana mvuto watu wanataka hoja za maana yeye anabwabwaja tu hata kuongea hajui kwa siasa za sasa? subiri CCM wampitishe. Atapigwa mawe nchi nzima, labda kasoro Monduli.
   
 19. Erythrocyte

  Erythrocyte JF-Expert Member

  #19
  Jun 9, 2015
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 48,474
  Likes Received: 31,701
  Trophy Points: 280
  MATUMAINI yaanza kutoweka .
   
 20. KIBARAone

  KIBARAone JF-Expert Member

  #20
  Jun 9, 2015
  Joined: Mar 26, 2015
  Messages: 642
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Huyu anajikongoja kwa nguvu ya fedha za wizi tu. Ni mwepesi kama karatasi
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...