Lowassa ang'aka * Ni kuhusu kunyang'anya mlinzi wake

Cha kujiuliza uwaziri mkuu aliupata katika Serikali ya Chama gani? Sasa kama alihamua kuasi chama anategemea nini - kwanza Serikali yetu imestahi sana na sijui kwa nini hauwezi kupoteza tax payers' money kumlinda mtu ambaye hafiki na Serikali iliyopo madarakani na kiusalama bodyguards wa Serikali hawapaswi kutumika kulinda viongozi wa vyama vya upinzani huwezi kujua kesho watamrubuni afanye mambo gani - sijui kwa nini Serikal yetu imekuwa a bit sloppy katika suala hili.
Of all the people sikutarajia kama wewe utaandika kitu kama hiki mkuu. Surely, this took me by surprise.
 
Mkuu
Bukyanagandi
kuna haki za kiraia, haki za kikanuni, yaani stahili na haki za kisiasa!, kujiunga na chama chochote cha siasa ni hiari na kujitoa ni hiari, hakukuondolei haki zako za msingi za kiraia wala za kikanuni!. Miongoni mwa haki za msingi za kiraia, ni pamoja na haki ya kupata ulinzi wewe, jamii yako na mali zako!. Viongozi wale sita ambao ni wakuu, miongoni mwa stahili zao, ni mshahara asilimia 80% ya the sitting position, ulinzi, usafiri, safari 4 za ng'ambo, matibabu nje ya nchi, etc. Mtu hata akihama chama, stahili zake zote zipo palepale!.

Ila kwa vile ulinzi hutolewa na serikali, mlindwa hana mamlaka ya kuchagua anataka kulindwa na mlinzi gani!, na mlinzi pia ni mtumishi wa umma, hana mamlaka ya kuchagua amlinde nani, utumishi wa umma ni kazi popote kwa yoyote!.

Serikali kama imeamua kumhamisha huyo mlinzi aliyepo, itampatia mlinzi mwingine!, ila mlindwa pia yuko huru, kama hataki tena ulinzi wa serikali, yuko huru kujiwekea ulinzi binafsi!, ila atajigharimia!.

Na sio Lowassa tuu, hata Maalim Seif, ulinzi ni wa serikali, gari la serikali, dereva wa serikali, matibabu ya serikali, na mashahara wa serikali mpaka pale atakapokwenda ile safari ya 6feet under!.
Heri ya Mwaka Mpya!.
Pasco
 
Naona hata kutumia utilities/commands za app ya JF hujui, hii inadhilisha kitu kimoja kwamba reasoning capacity yako ni borderline kabisa - ndio maana badala ya kuzungumzia hoja unaishia kutukana watu ambao huwajui vizuri, kauli yako ni matunda ya kukosa malezi bora si kitu kingine - usifikiri huko so smart uwezi kuwa tracked ulipo at anytime ukajikuta una face MUSIC, forewarned...
😀😀😀😀 we una malezi mazuri sio..!? umesoma but hujutambui..!!
 
Cha kujiuliza uwaziri mkuu aliupata katika Serikali ya Chama gani? Sasa kama alihamua kuasi chama anategemea nini - kwanza Serikali yetu imestahi sana na sijui kwa nini hauwezi kupoteza tax payers' money kumlinda mtu ambaye hafiki na Serikali iliyopo madarakani na kiusalama bodyguards wa Serikali hawapaswi kutumika kulinda viongozi wa vyama vya upinzani huwezi kujua kesho watamrubuni afanye mambo gani - sijui kwa nini Serikal yetu imekuwa a bit sloppy katika suala hili.
Sikuwahi kujua kama uko mweupe peee kichwani kiasi hiki!
 
Vita dhidi ya kuhujumu upinzani inaendeleaa
 
Attachments

  • 1451797590979.jpg
    1451797590979.jpg
    33.5 KB · Views: 31
  • 1451797603669.jpg
    1451797603669.jpg
    36.6 KB · Views: 33
Cha kujiuliza uwaziri mkuu aliupata katika Serikali ya Chama gani? Sasa kama alihamua kuasi chama anategemea nini - kwanza Serikali yetu imestahi sana na sijui kwa nini hauwezi kupoteza tax payers' money kumlinda mtu ambaye hafiki na Serikali iliyopo madarakani na kiusalama bodyguards wa Serikali hawapaswi kutumika kulinda viongozi wa vyama vya upinzani huwezi kujua kesho watamrubuni afanye mambo gani - sijui kwa nini Serikal yetu imekuwa a bit sloppy katika suala hili.
Na hapa ndio uwezo wako wa kufikiri ulipofikia?
 
Of all the people sikutarajia kama wewe utaandika kitu kama hiki mkuu. Surely, this took me by surprise.

Hapo ndo patamu kuna ID hapa zinataka Lowasa akamatwe ahukumiwe kwa ufisad kama kitu kidogo tu hiki cha kuondolewa mlinzi na inawezekana kapewa mwingine watu wanalalamika hivi itakuwaje siku Dr. Atakapozishikilia mali za huyu mzee wa Kuchunga?????
 
Cha kujiuliza uwaziri mkuu aliupata katika Serikali ya Chama gani? Sasa kama alihamua kuasi chama anategemea nini - kwanza Serikali yetu imestahi sana na sijui kwa nini hauwezi kupoteza tax payers' money kumlinda mtu ambaye hafiki na Serikali iliyopo madarakani na kiusalama bodyguards wa Serikali hawapaswi kutumika kulinda viongozi wa vyama vya upinzani huwezi kujua kesho watamrubuni afanye mambo gani - sijui kwa nini Serikal yetu imekuwa a bit sloppy katika suala hili.
Kwa lugha ingine unamaanisha upinzani haustahili kuwepo...what an empty head!
 
Hivi unajua hata familia ya sokoine ina ulinzi na maalim seif pia? Suala la waziri mkuu mstaafu kuwa na ulinzi na usafiri ni haki kama ambavyo wewe unapewa pensheni ukistaafu. Msiweke siasa kwenye utawala. Kuna serikali, na kuna ccm

Swali ni Serikali ya chama gani? Ndio maana tunasema Serikali ya Chama tawala au hamuoni mantiki ya ku-insist usemi huo!! Ulinzi kwa familia ya Mzalendo Sokoine hiyo ni balabala kabisa, Maalim Seif ni kutokana na Serikali ya mseto i.e ni Kiongozi katika Serikali ya Zanzibar.
 
Cha kujiuliza uwaziri mkuu aliupata katika Serikali ya Chama gani? Sasa kama alihamua kuasi chama anategemea nini - kwanza Serikali yetu imestahi sana na sijui kwa nini hauwezi kupoteza tax payers' money kumlinda mtu ambaye hafiki na Serikali iliyopo madarakani na kiusalama bodyguards wa Serikali hawapaswi kutumika kulinda viongozi wa vyama vya upinzani huwezi kujua kesho watamrubuni afanye mambo gani - sijui kwa nini Serikal yetu imekuwa a bit sloppy katika suala hili.

Bwana mkubwa yule bado anaitwa waziri mkuu mstaafu wa jmt, anastahiki stahiki zote azipatazo Msuya na wengine. Kwenda opposition haibatilishi uhalali wake wa former PM.
 
Sasa ndipo majipu yanapo kuwa tambazi.maana daladala wamegoma kupakia bila kusimamisha abiria.nimepiga hesabu kutoka MLANDIZI to UBUNGO!zaidi ya km 60 kwa coster kama lita 10 za diesel.inapikia abiria 26. Kama watafika wote ubungo atapata tsh 52000/-ukitoa mafuta lita 10 wapiga debe tsh2000 parking pale mlandizi na kibaha maili moja wanaweza baki na tsh27000/-akipigwa bao mama yangu'tajiri anata laki moja na mafuta full tank.sasa asipo simamisha aijui wanafunzi wasilipe nauli sijui kwa k.koo mbagala.ubungo gongo la mboto.tegeta washazoea kupandia fire kugeuza nalo
si daladala level siti ni mabasi ya endayo mikoani tu....
ndo mana yale ya DART siti chache kusimama kwa sana.. ufafanuzi ulitolewa Majuzi kupitia clouds radio no level seat hapa town km Kuna mtu analeta mizwengwe hiyo mpelekeni panapostahili
 
Naona hata kutumia utilities/commands za app ya JF hujui, hii inadhilisha kitu kimoja kwamba reasoning capacity yako ni borderline kabisa - ndio maana badala ya kuzungumzia hoja unaishia kutukana watu ambao huwajui vizuri, kauli yako ni matunda ya kukosa malezi bora si kitu kingine - usifikiri huko so smart uwezi kuwa tracked ulipo at anytime ukajikuta una face MUSIC, forewarned...
Mkuu wangu umeongea ukweli mtupu tatizo malezi.
 
Sasa ndipo majipu yanapo kuwa tambazi.maana daladala wamegoma kupakia bila kusimamisha abiria.nimepiga hesabu kutoka MLANDIZI to UBUNGO!zaidi ya km 60 kwa coster kama lita 10 za diesel.inapikia abiria 26. Kama watafika wote ubungo atapata tsh 52000/-ukitoa mafuta lita 10 wapiga debe tsh2000 parking pale mlandizi na kibaha maili moja wanaweza baki na tsh27000/-akipigwa bao mama yangu'tajiri anata laki moja na mafuta full tank.sasa asipo simamisha aijui wanafunzi wasilipe nauli sijui kwa k.koo mbagala.ubungo gongo la mboto.tegeta washazoea kupandia fire kugeuza nalo
Pumba tupu watu wanazungumzia mlinzi wa Lowasa wewe unakurupuka na daladala za Mlandizi Pole
 
Cha kujiuliza uwaziri mkuu aliupata katika Serikali ya Chama gani? Sasa kama alihamua kuasi chama anategemea nini - kwanza Serikali yetu imestahi sana na sijui kwa nini hauwezi kupoteza tax payers' money kumlinda mtu ambaye hafiki na Serikali iliyopo madarakani na kiusalama bodyguards wa Serikali hawapaswi kutumika kulinda viongozi wa vyama vya upinzani huwezi kujua kesho watamrubuni afanye mambo gani - sijui kwa nini Serikal yetu imekuwa a bit sloppy katika suala hili.

Pumbaaaaaaa,vp umesoma katiba lkn au unabwabwaja tu
 
Tungependa kujua kuwa baada ya kuondolewa huyo mlinzi amepewa mwingine au la?

Ni nini sababu ya kuondolewa huyo mlinzi, je ni maslahi ya kiusalama au siasa?

Je hakuna uvunjifu wa katiba?

Mjadala wetu ujikite maeneo hayo.
 
Bwana mkubwa yule bado anaitwa waziri mkuu mstaafu wa jmt, anastahiki stahiki zote azipatazo Msuya na wengine. Kwenda opposition haibatilishi uhalali wake wa former PM.
Mkuu msaada tafadhari hivi kunatofauti gani kati ya kustaafu na kujiuzuru!?

Tuanzie hapo, Ili tuone Mzee Lowassa alijiuzuru au alistaafishwa? Kama alijiuzuru kanuni zinasemaje? Na kama alistaafu pia zinasemaje katika swala zima la maslahi yake. Kuna uwezekano kwamba kuna kanuni zilipindishwa toka awali kwa misingi ile ile ya kulindana.
 
Nashangaa alisema anaenda Monduli kuchunga ng'ombe kumbe anaenda Monduli kufanya upuuzi ule ule wa kufanya siasa kanisani
we shinda humu JF unapiga kelele mwenzako ana hela ya kula mpaka wajukuu zake wewe umekaa na kitecno chako unapost ujinga,utakufa masikini kwa chuki na mtu asiyekujua wala humjui zaidi ya kumuona kwenye vyombo vy ahabari
 
Nashangaa alisema anaenda Monduli kuchunga ng'ombe kumbe anaenda Monduli kufanya upuuzi ule ule wa kufanya siasa kanisani
ana hela nyingi, anaweza kumwajiri tu kama bodigadi wake, ni sawa tu na diamond kuajiri bansa, kwani lowasa atashindwa hilo nalo jambo la kuanza mjadala jamani?
 
Mkuu, sidhani kama CHADEMA watafanya hivyo. Ameshamtumia kama condom na sasa hawamtaki tena.
Umekuwa m.pumbavu kupitiliza mkuu,hata mbwa jike anaakili kuliko wewe bora mm yako angekunya kuliko kukunanihiii dunia hii
 
Back
Top Bottom