Lowassa ang'aka * Ni kuhusu kunyang'anya mlinzi wake

Lowassa ang'aka * Ni kuhusu kunyang'anya mlinzi wake

Cha kujiuliza uwaziri mkuu aliupata katika Serikali ya Chama gani? Sasa kama alihamua kuasi chama anategemea nini - kwanza Serikali yetu imestahi sana na sijui kwa nini hauwezi kupoteza tax payers' money kumlinda mtu ambaye hafiki na Serikali iliyopo madarakani na kiusalama bodyguards wa Serikali hawapaswi kutumika kulinda viongozi wa vyama vya upinzani huwezi kujua kesho watamrubuni afanye mambo gani - sijui kwa nini Serikal yetu imekuwa a bit sloppy katika suala hili.
Serikali inatumikia watanzania wote bila Kigali chama.
 
Huyo mlinzi ataajiriwi na Lowasa atalipwa mshahara mkubwa kuliko alikuwa atalipwa na serikali Sasa.
 
Mkuu hizo haki ni za viongozi wakuu waliostaafu tu. Lowasa alijiuzuru kukwepa kwenda Segarea baada ya dili lao na Mkwere na Rostam kushitukiwa. Isingekuwa CCM, Lowasa hastahili hizo haki hata kidogo.
Segarea-segerea
 
Nashangaa alisema anaenda Monduli kuchunga ng'ombe kumbe anaenda Monduli kufanya upuuzi ule ule wa kufanya siasa kanisani
Mkuu, naona bado unaicheza ngoma ya LOWASSA. Ule Mziki ni mwingine kabisa, hata MAGUFULI mwenyewe anafahamu.
 
Hivi ni kweli Tendewa kafukuzwa kazi ???? au ni uzushi tu.
Kama kweli kafukuzwa, inasikitisha sana. Hata kama kweli kuna kosa kafanya alipaswa apewe adhabu nyingine na siyo kufukuzwa kazi. Mtu katumikia nchi ujana wake wote mpaka uzee wake tena kwa utiifu na uaminifu mkubwa , leo hii eti unamfukuza kazi??, tena akiwa kabakiza muda mfupi tu kustaafu.
Haya mambo omba sana yasikutokee ila yanaumiza na kusikitisha sana, kuna njia nyingi sana za kumwadabisha mtu anapokosea ila la kumfukuza kazi Hmm! HAPANA JAMANI.
 
Naona bado kuna wajinga wajinga kutwa kumtaja lowasa inavyonekana hata wakiwepo usingizini wanamtaja. ...kweli lowasa ana nyota ya hali ya juu

Vivaaaa lowasaaa
 
Cha kujiuliza uwaziri mkuu aliupata katika Serikali ya Chama gani? Sasa kama alihamua kuasi chama anategemea nini - kwanza Serikali yetu imestahi sana na sijui kwa nini hauwezi kupoteza tax payers' money kumlinda mtu ambaye hafiki na Serikali iliyopo madarakani na kiusalama bodyguards wa Serikali hawapaswi kutumika kulinda viongozi wa vyama vya upinzani huwezi kujua kesho watamrubuni afanye mambo gani - sijui kwa nini Serikal yetu imekuwa a bit sloppy katika suala hili.
Kwanza watueleweshe status yake Mie wananchanganya ni Waziri mkuu mstaafu au aliejiuzulu?? Na pia hivi benefits za aliestaafu na aliejiuzulu ni sawa? Au aliejiuzulu anapata benefits zipi?
 
Yaani hata sijaelewa alichosema Lowasa nachoona hapa ni mawazo ya wana ccm na ukawa ,Lowasa ameng'aka nini wakuu ??
 
Suala la ulinzi na makandokando yote ya waziri mkuu ni ya kikatiba, kisheria na kikanuni wala sio la chama. Chama tawala ikiwapendeza nendeni mkabadilishe sheria na katibu ili kukidhi huo ubaguzi wenu. Kwani kodi zitumikazo ni za CCM au zetu walipa kodi bila kujali vyama vyetu. Acheni kufikiri kimajipujipu kama hamjaenda shule. After all mafisemu wengi hamlipi kodi ndio maana hata makontena mlikuwa mnajipitishia tu pale bandarini bila kodi kulipwa. Leo mnajifanya mna huruma na pesa ya serikali.
 
Swali ni Serikali ya chama gani? Ndio maana tunasema Serikali ya Chama tawala au hamuoni mantiki ya ku-insist usemi huo!! Ulinzi kwa familia ya Mzalendo Sokoine hiyo ni balabala kabisa, Maalim Seif ni kutokana na Serikali ya mseto i.e ni Kiongozi katika Serikali ya Zanzibar.
Kwa mtazamo wako hata akifufuka gwiji wa philosophia ya elimu kamwe hawezi kukuelewesha ukaelewa kuwa haki ya kulinda viongozi walioitumikia serikali na sio chama zimeainishwa kikatiba, kisheria, kikanuni na kitamaduni za utunzaji wa wa wastaafu sio matwaka ya chama whether kumpa au kutompa ulinzi mstaafu.

Ndio maana pamoja na kushutumiwa uhaini Mzee Kumbe pale Kigamboni anawalinzi.

Chuki ni ugonjwa unao shambulia uwezo wa kufikiri kimantiki!
 
Cha kujiuliza uwaziri mkuu aliupata katika Serikali ya Chama gani? Sasa kama alihamua kuasi chama anategemea nini - kwanza Serikali yetu imestahi sana na sijui kwa nini hauwezi kupoteza tax payers' money kumlinda mtu ambaye hafiki na Serikali iliyopo madarakani na kiusalama bodyguards wa Serikali hawapaswi kutumika kulinda viongozi wa vyama vya upinzani huwezi kujua kesho watamrubuni afanye mambo gani - sijui kwa nini Serikal yetu imekuwa a bit sloppy katika suala hili.
kama waziri mkuu, EL alikuwa mwajiriwa wa serikali siyo CCM. Tafakari tena!
 
Narudia kusema JF ibadili icon yake eti "Home of great thinkers" sasa kama huyu naye GT basi maana halisi ya GT imepotea. Itafutwe nyingine it aka how a his OSHA kama MTU huyu na akafit.
Hivi hapa kaandika nini?
Hawa ndio vijana waofika chuo kikuu hata miezi mitatu hawajamaliza, wanajiona wasomi, wachambuzi, na wajuzi wa mambo ya kijamii, na kisiasa. Baada ya kutumia muda kidogo kujisomea wala kujua mifumo ya uendeahaji wa wanchi na ulinzi wa wastaafu wa serikali uko vipi, wao kuwepo chuoni tu huhamasika na kujiona wanajua kila kitu!

Hajui hata kutofautisha haki za miongozo wa nchi kama mwanachama wa chama fulani ni zipi na haki za mwanachama huyo huyo kama pia ni viongozi wa serikali ni zipi?
 
Hapo ndo patamu kuna ID hapa zinataka Lowasa akamatwe ahukumiwe kwa ufisad kama kitu kidogo tu hiki cha kuondolewa mlinzi na inawezekana kapewa mwingine watu wanalalamika hivi itakuwaje siku Dr. Atakapozishikilia mali za huyu mzee wa Kuchunga?????

Pole ndugu yangu kwa kuota ndoto za mchana hapo Lumumba wee kwaakilia Magufuli anauwezo hata wakuhoji Mali za Lowasa achilia mbali kumkamata...wee endele kuota huku umefunikwa na Maguo ya Kijani
 
Cha kujiuliza uwaziri mkuu aliupata katika Serikali ya Chama gani? Sasa kama alihamua kuasi chama anategemea nini - kwanza Serikali yetu imestahi sana na sijui kwa nini hauwezi kupoteza tax payers' money kumlinda mtu ambaye hafiki na Serikali iliyopo madarakani na kiusalama bodyguards wa Serikali hawapaswi kutumika kulinda viongozi wa vyama vya upinzani huwezi kujua kesho watamrubuni afanye mambo gani - sijui kwa nini Serikal yetu imekuwa a bit sloppy katika suala hili.

Ndugu Una Elimu gani?
Hivi kuna uwezekano humu JF tupo na watu hata uwezo wa kufikrii hawana?
Aliyekuambia serekali na Chama tawala au CCM ni kitu kimoja nani?
haya ndio mambo ya Mfumo tunayokataa kila kisu.
 
Cha kujiuliza uwaziri mkuu aliupata katika Serikali ya Chama gani? Sasa kama alihamua kuasi chama anategemea nini - kwanza Serikali yetu imestahi sana na sijui kwa nini hauwezi kupoteza tax payers' money kumlinda mtu ambaye hafiki na Serikali iliyopo madarakani na kiusalama bodyguards wa Serikali hawapaswi kutumika kulinda viongozi wa vyama vya upinzani huwezi kujua kesho watamrubuni afanye mambo gani - sijui kwa nini Serikal yetu imekuwa a bit sloppy katika suala hili.
Majibu ya masaburini hayo. katiba yenu ya kimagamba inaruhusu PM mstaafu kuendelea kulipwa na kulindwa kwa kodi za watz.
 
Bwana mkubwa yule bado anaitwa waziri mkuu mstaafu wa jmt, anastahiki stahiki zote azipatazo Msuya na wengine. Kwenda opposition haibatilishi uhalali wake wa former PM.
Nakupongeza sana mkuu kwa hoja yako ya kistaarabu,inaonyesha umelimika vya kutosha si hilo tu huko vile vile emotionally level headed wewe hupo kwenye league yakina Pasco,Consigne, Ritz, FaizaFox,Malcom Lumumba,DotWorld na wengine wengi.

Tatizo la baadhi ya members wakikosa hoja mbadala wanaishia kutukana watu bila sababu na tabia hii ya vijiweni imejengeka sana humu - najiuliza maswali mengi hivi tabia hii inatokana na nini -matusi matusi barabarani,vituo vya mabasi,kazini,mpirani nk; uwezi kwenda nchi kama Zambia,Uganda,Rwanda,Kenya nk ukasikia watu wanatoa matusi kwenye mabasi au kumbi za starehe hakuna - sasa sisi hapa kwetu tatizo hili linachangiwa na nini: Malezi mabaya? Kutofundishwa masuala ya values mashuleni au kuwa brought up na single parent nako kunachangia!

As a Nation kuna umuhimu wa pekee wakulifanyia kazi tatizo hili sugu - linatufanya tudhalaulike sana,siku moja nikiwa safarini Zambia niliwahi kusikia Wazambia wakisema Watanzania hawajiheshimu wanapenda sana kuporomosha matusi ovyo ovyo wakaongeza kwamba tatizo hilo linachangiwa na kuzungumza kwao kwa kutumia a "SLAVE LANGUAGE" just imagine, wanasema Kiswahili ni lugha ya Watumwa! Hawakujua mimi ni Mtanzania - unafikiri nilijisikiaje si niliomba aridhi ipasuke nipotee -nisingeweza kupigana kwenye Nchi ya watu,huo ni udhibitisho tosha jinsi Nchi nyingine zinavyo tuchukulia kutokana na tabia yetu mbaya ya kuto heshimu binadamu wenzetu - tunapaswa kubadirika kitabia.
 
Mkuu wangu umeongea ukweli mtupu tatizo malezi.
Heri ya mwaka mpya RITZ, mkuu nafikiri na hili na moja wapo ya majipu - tena hili ni jibu tamabazi sijui tambarazi(watu wa pwani ndio wanajua neno sahihi)

Watu wengine wanachukulia matusi kama ni moja ya three course meal ya maisha yao - wanaporomosha matusi bila ya kufikiria!!!
 
Back
Top Bottom