Lowassa ang'aka * Ni kuhusu kunyang'anya mlinzi wake

Mkuu hizo haki ni za viongozi wakuu waliostaafu tu. Lowasa alijiuzuru kukwepa kwenda Segarea baada ya dili lao na Mkwere na Rostam kushitukiwa. Isingekuwa CCM, Lowasa hastahili hizo haki hata kidogo.
 
Cha kujiuliza uwaziri mkuu aliupata katika Serikali ya Chama gani? Sasa kama alihamua kuasi chama anategemea nini - kwanza Serikali yetu imestahi sana na sijui kwa nini hauwezi kupoteza tax payers' money kumlinda mtu ambaye hafiki na Serikali iliyopo madarakani na kiusalama bodyguards wa Serikali hawapaswi kutumika kulinda viongozi wa vyama vya upinzani huwezi kujua kesho watamrubuni afanye mambo gani - sijui kwa nini Serikal yetu imekuwa a bit sloppy katika suala hili.
Narudia kusema JF ibadili icon yake eti "Home of great thinkers" sasa kama huyu naye GT basi maana halisi ya GT imepotea. Itafutwe nyingine it aka how a his OSHA kama MTU huyu na akafit.
Hivi hapa kaandika nini?
 
Nashangaa alisema anaenda Monduli kuchunga ng'ombe kumbe anaenda Monduli kufanya upuuzi ule ule wa kufanya siasa kanisani
Mimba yako haikuwa na tofauti ya mam yko kubanwa haj kubw.
 
Cha kujiuliza uwaziri mkuu aliupata katika Serikali ya Chama gani? Sasa kama alihamua kuasi chama anategemea nini - kwanza Serikali yetu imestahi sana na sijui kwa nini hauwezi kupoteza tax payers' money kumlinda mtu ambaye hafiki na Serikali iliyopo madarakani na kiusalama bodyguards wa Serikali hawapaswi kutumika kulinda viongozi wa vyama vya upinzani huwezi kujua kesho watamrubuni afanye mambo gani - sijui kwa nini Serikal yetu imekuwa a bit sloppy katika suala hili.
Narudia kusema JF ibadili icon yake eti "Home of great thinkers" sasa kama huyu naye GT basi maana halisi ya GT imepotea. Itafutwe nyingine it aka how a his OSHA kama MTU huyu na akafit.
Hivi hapa kaandika nini?
 
Sasa ndipo majipu yanapo kuwa tambazi.maana daladala wamegoma kupakia bila kusimamisha abiria.nimepiga hesabu kutoka MLANDIZI to UBUNGO!zaidi ya km 60 kwa coster kama lita 10 za diesel.inapikia abiria 26. Kama watafika wote ubungo atapata tsh 52000/-ukitoa mafuta lita 10 wapiga debe tsh2000 parking pale mlandizi na kibaha maili moja wanaweza baki na tsh27000/-akipigwa bao mama yangu'tajiri anata laki moja na mafuta full tank.sasa asipo simamisha aijui wanafunzi wasilipe nauli sijui kwa k.koo mbagala.ubungo gongo la mboto.tegeta washazoea kupandia fire kugeuza nalo
Kama unaona hailipi laza gari lako home..
 
Tu
Cha kujiuliza uwaziri mkuu aliupata katika Serikali ya Chama gani? Sasa kama alihamua kuasi chama anategemea nini - kwanza Serikali yetu imestahi sana na sijui kwa nini hauwezi kupoteza tax payers' money kumlinda mtu ambaye hafiki na Serikali iliyopo madarakani na kiusalama bodyguards wa Serikali hawapaswi kutumika kulinda viongozi wa vyama vya upinzani huwezi kujua kesho watamrubuni afanye mambo gani - sijui kwa nini Serikal yetu imekuwa a bit sloppy katika suala hili.
Tumia akili mpumbavu. Maalim seif yupo cuf lakini analindwa
 
Mkuu
Bukyanagandi
kuna haki za kiraia, haki za kikanuni, yaani stahili na haki za kisiasa!, kujiunga na chama chochote cha siasa ni hiari na kujitoa ni hiari, hakukuondolei haki zako za msingi za kiraia wala za kikanuni!. Miongoni mwa haki za msingi za kiraia, ni pamoja na haki ya kupata ulinzi wewe, jamii yako na mali zako!. Viongozi wale sita ambao ni wakuu, miongoni mwa stahili zao, ni mshahara asilimia 80% ya the sitting position, ulinzi, usafiri, safari 4 za ng'ambo, matibabu nje ya nchi, etc. Mtu hata akihama chama, stahili zake zote zipo palepale!.

Ila kwa vile ulinzi hutolewa na serikali, mlindwa hana mamlaka ya kuchagua anataka kulindwa na mlinzi gani!, na mlinzi pia ni mtumishi wa umma, hana mamlaka ya kuchagua amlinde nani, utumishi wa umma ni kazi popote kwa yoyote!.

Serikali kama imeamua kumhamisha huyo mlinzi aliyepo, itampatia mlinzi mwingine!, ila mlindwa pia yuko huru, kama hataki tena ulinzi wa serikali, yuko huru kujiwekea ulinzi binafsi!, ila atajigharimia!.

Na sio Lowassa tuu, hata Maalim Seif, ulinzi ni wa serikali, gari la serikali, dereva wa serikali, matibabu ya serikali, na mashahara wa serikali mpaka pale atakapokwenda ile safari ya 6feet under!.
Heri ya Mwaka Mpya!.
Pasco
Mimi nimeshangazwa na waandishi makanjanja wakiongozwa na wale wa Tanzania Dar-himo kuileta hii mada ya lowassa kubadilishiwa mlinzi!!

Walitaka awe mlinzi wa milele?
 
- kwanza Serikali yetu imestahi sana na sijui kwa nini hauwezi kupoteza tax payers' money kumlinda mtu ambaye hafiki na Serikali iliyopo madarakan .
Huenda haki zako nyingi tu huzijui na unachukulia as if ni hisani ya serikali. Watanzania inaonekana wengi hatuna elimu ya uraia kutuwezesha kuzijua haki zetu.
 
Swali ni Serikali ya chama gani? Ndio maana tunasema Serikali ya Chama tawala au hamuoni mantiki ya ku-insist usemi huo!! Ulinzi kwa familia ya Mzalendo Sokoine hiyo ni balabala kabisa, Maalim Seif ni kutokana na Serikali ya mseto i.e ni Kiongozi katika Serikali ya Zanzibar.
Uelewe kuna CCM na serikali .Ccm ni ya kwao wa ccm ile serikali ni ya wote na huu ushabiki wa kijinga wa vyama baada ya uchaguzi una faida gani?
 
Kwa lugha ingine unamaanisha upinzani haustahili kuwepo...what an empty head!
Amend your manners you damned SILLY FOOL - you should've your vegitated head examined not MINE - jenga hoja sio unakuja humu ananza kufokea fokea watu ovyo - we mpuuzi kweli kweli.

Having said that sasa tuje kwenye mada, hakuna popote nimesema Tanzania hisiwe na vyama vya upinzani ninacho sema Serikali hisigharimie Mawaziri wakuu waliohama Chama Tawala kutokana na nyadhifa zao zilikuwa ni Political appoitment,vyama vya upinzani vitumie ruzuku inayotolewa na Msajili wa vyama kugharimia ulinzi wa Viongozi wao, hiyo ndio ilikuwa hoja yangu- kwa bahati mbaya kuna baadhi ya members bado wana hangover ya UCHAGUZI kushindwa Uchaguzi kumewafanya baadhi yao kukasirika ovyo ovyo!
 
Mji
Cha kujiuliza uwaziri mkuu aliupata katika Serikali ya Chama gani? Sasa kama alihamua kuasi chama anategemea nini - kwanza Serikali yetu imestahi sana na sijui kwa nini hauwezi kupoteza tax payers' money kumlinda mtu ambaye hafiki na Serikali iliyopo madarakani na kiusalama bodyguards wa Serikali hawapaswi kutumika kulinda viongozi wa vyama vya upinzani huwezi kujua kesho watamrubuni afanye mambo gani - sijui kwa nini Serikal yetu imekuwa a bit sloppy katika suala hili.
Mawazo ya kijinga kabisa.Mfumo wa vyama vingi uko kisheria na kila mtu ana uhuru wa kujiunga na chama anachotaka na hakuna sheria inayokataza waliokuwa viongozi wa serikali kujiunga na vyama vya upinzani na hata Mwl. Nyerere aliwahi sema siku CCM ikiacha misingi ya kuanzishwa kwake atajitoa CCM.

Isitoshe mlinzi wa Lowassa kama alivyo wa Kikwete, Mkapa, Sumaye, Malecela na wa wengineo,wanalipwa na serikali tena kwa mujibu wa sheria na kamwe si kwa matakwa ya CCM na viongozi wake.

Kama CCM hamtaki mfumo wa vyama vingi tamkeni hadharani tuwasikie na sio huu unafiki na mawazo ya kipuuzi na kijanga kama haya yako.
 
Mkuu
Bukyanagandi
kuna haki za kiraia, haki za kikanuni, yaani stahili na haki za kisiasa!, kujiunga na chama chochote cha siasa ni hiari na kujitoa ni hiari, hakukuondolei haki zako za msingi za kiraia wala za kikanuni!. Miongoni mwa haki za msingi za kiraia, ni pamoja na haki ya kupata ulinzi wewe, jamii yako na mali zako!. Viongozi wale sita ambao ni wakuu, miongoni mwa stahili zao, ni mshahara asilimia 80% ya the sitting position, ulinzi, usafiri, safari 4 za ng'ambo, matibabu nje ya nchi, etc. Mtu hata akihama chama, stahili zake zote zipo palepale!.

Ila kwa vile ulinzi hutolewa na serikali, mlindwa hana mamlaka ya kuchagua anataka kulindwa na mlinzi gani!, na mlinzi pia ni mtumishi wa umma, hana mamlaka ya kuchagua amlinde nani, utumishi wa umma ni kazi popote kwa yoyote!.

Serikali kama imeamua kumhamisha huyo mlinzi aliyepo, itampatia mlinzi mwingine!, ila mlindwa pia yuko huru, kama hataki tena ulinzi wa serikali, yuko huru kujiwekea ulinzi binafsi!, ila atajigharimia!.

Na sio Lowassa tuu, hata Maalim Seif, ulinzi ni wa serikali, gari la serikali, dereva wa serikali, matibabu ya serikali, na mashahara wa serikali mpaka pale atakapokwenda ile safari ya 6feet under!.
Heri ya Mwaka Mpya!.
Pasco
Mkuu Pasco nimesoma Civics na General Paper - mimi hapa nilitaka kuwachemsha UKAWA. Na kweli nimefanikiwa - check majibu yao - kisa nimengusa LOWASA, angekuwa Maalm Seif wangekaa kimya kabisa. HAPPY NEW YEAR.
 
Wapi wewe watu wamekuona bure kwa pointless ulizoandika afu unaanza kujifanya eti kuwachemsha UKAWA, bure kabisa.
 
Ulinzi wa mawaziri wakuu wastaafu ni suala la kisheria. vinginevyo ni kuiondoa hiyo sheria.
kwa nn watu hupenda kujadili kishabiki. mtu anaponda tu kwa sababu anayemponda yuko upande mwingine.
tujifikiria kama watanzani kwanza.
 
Amend your manners you damned SILLY FOOL - you should've your vegitated head examined not MINE - jenga hoja sio unakuja humu ananza kufokea fokea watu ovyo - we mpuuzi kweli kweli.

Having said that sasa tuje kwenye mada, hakuna popote nimesema Tanzania hisiwe na vyama vya upinzani ninacho sema Serikali hisigharimie Mawaziri wakuu waliohama Chama Tawala kutokana na nyadhifa zao zilikuwa ni Political appoitment,vyama vya upinzani vitumie ruzuku inayotolewa na Msajili wa vyama kugharimia ulinzi wa Viongozi wao, hiyo ndio ilikuwa hoja yangu- kwa bahati mbaya kuna baadhi ya members bado wana hangover ya UCHAGUZI kushindwa Uchaguzi kumewafanya baadhi yao kukasirika ovyo ovyo!
Mkuu kwanza rudi shule, English yako ni matapishi kabisa. Pili, rudi shule. Kwasababu ulipaswa kuelewa kuwa serikali SIO CHAMA ijapokuwa serikali INAUNDWA NA CHAMA. kwa maana hiyo basi, mwanasiasa ndani ya serikali (Lowasa alikuwa waziri mkuu) hugharamiwa na serikali, TISS waliomnyang'anya mlinzi lowasa ni kitengo ndani ya serikali, kinachoendeshwa kwa kodi za wananchi=serikali. GOT THAT?
 
Naamini atapewa mlinzi mwingine ksb kulindwa na haki yake......Kubadilishiwa mlinzi pia wala siyo kosa ukizingatia wafanyakazi wote wa TISS wanagawiwa majukumu yao kulingana na sifa ,ujuzi na weledi wao.
 
Mkuu Pasco, sheria inasemaje kuhusu hao viongozi juu ya status zao. Tunajua EL alijiuzulu uwaziri Mkuu na hakustaafu, je anastahili kupewa hizo incentives?
Bukyanagandi
kuna haki za kiraia, haki za kikanuni, yaani stahili na haki za kisiasa!, kujiunga na chama chochote cha siasa ni hiari na kujitoa ni hiari, hakukuondolei haki zako za msingi za kiraia wala za kikanuni!. Miongoni mwa haki za msingi za kiraia, ni pamoja na haki ya kupata ulinzi wewe, jamii yako na mali zako!. Viongozi wale sita ambao ni wakuu, miongoni mwa stahili zao, ni mshahara asilimia 80% ya the sitting position, ulinzi, usafiri, safari 4 za ng'ambo, matibabu nje ya nchi, etc. Mtu hata akihama chama, stahili zake zote zipo palepale!.

Ila kwa vile ulinzi hutolewa na serikali, mlindwa hana mamlaka ya kuchagua anataka kulindwa na mlinzi gani!, na mlinzi pia ni mtumishi wa umma, hana mamlaka ya kuchagua amlinde nani, utumishi wa umma ni kazi popote kwa yoyote!.

Serikali kama imeamua kumhamisha huyo mlinzi aliyepo, itampatia mlinzi mwingine!, ila mlindwa pia yuko huru, kama hataki tena ulinzi wa serikali, yuko huru kujiwekea ulinzi binafsi!, ila atajigharimia!.

Na sio Lowassa tuu, hata Maalim Seif, ulinzi ni wa serikali, gari la serikali, dereva wa serikali, matibabu ya serikali, na mashahara wa serikali mpaka pale atakapokwenda ile safari ya 6feet under!.
Heri ya Mwaka Mpya!.
Pasco
 
Anapoteza nguvu zake bure
1662087_1017513864979738_4019221486663650756_n.jpg
 
Back
Top Bottom