Lowassa ang'aka * Ni kuhusu kunyang'anya mlinzi wake

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
1662087_1017513864979738_4019221486663650756_n.jpg
 
Kwa hili la.kuendeleza chuki za uchaguzi mkuu sidhani kama zina lengo la kujenga umoja wa kitaifa.
 
Cha kujiuliza uwaziri mkuu aliupata katika Serikali ya Chama gani? Sasa kama alihamua kuasi chama anategemea nini - kwanza Serikali yetu imestahi sana na sijui kwa nini hauwezi kupoteza tax payers' money kumlinda mtu ambaye hafiki na Serikali iliyopo madarakani na kiusalama bodyguards wa Serikali hawapaswi kutumika kulinda viongozi wa vyama vya upinzani huwezi kujua kesho watamrubuni afanye mambo gani - sijui kwa nini Serikal yetu imekuwa a bit sloppy katika suala hili.
 
Tumia kichwa kufikiri badala ya makalio
 
Cha kujiuliza uwaziri mkuu aliupata katika Serikali ya Chama gani? Sasa kama alihamua kuasi chama anategemea nini - kwanza Serikali yetu imestahi sana na sijui kwa nini hauwezi kupoteza tax payers' money kumlinda mtu ambaye hafiki na Serikali iliyopo madarakani na kiusalama bodyguards wa Serikali hawapaswi kutumika kulinda viongozi wa vyama vya upinzani huwezi kujua kesho watamrubuni afanye mambo gani - sijui kwa nini Serikal yetu imekuwa a bit sloppy katika suala hili.[/ Wakati mwingine kabla ya kuandika upuuzi fikiria kwanza na kama hujapata jibu uliza kwa wenye akili zaidi yako, sio unakurupuka na akili kama nyumbu na kucommet ungese..!!
 
Sasa ndipo majipu yanapo kuwa tambazi.maana daladala wamegoma kupakia bila kusimamisha abiria.nimepiga hesabu kutoka MLANDIZI to UBUNGO!zaidi ya km 60 kwa coster kama lita 10 za diesel.inapikia abiria 26. Kama watafika wote ubungo atapata tsh 52000/-ukitoa mafuta lita 10 wapiga debe tsh2000 parking pale mlandizi na kibaha maili moja wanaweza baki na tsh27000/-akipigwa bao mama yangu'tajiri anata laki moja na mafuta full tank.sasa asipo simamisha aijui wanafunzi wasilipe nauli sijui kwa k.koo mbagala.ubungo gongo la mboto.tegeta washazoea kupandia fire kugeuza nalo
 
Hivi unajua hata familia ya sokoine ina ulinzi na maalim seif pia? Suala la waziri mkuu mstaafu kuwa na ulinzi na usafiri ni haki kama ambavyo wewe unapewa pensheni ukistaafu. Msiweke siasa kwenye utawala. Kuna serikali, na kuna ccm
Cha kujiuliza uwaziri mkuu aliupata katika Serikali ya Chama gani? Sasa kama alihamua kuasi chama anategemea nini - kwanza Serikali yetu imestahi sana na sijui kwa nini hauwezi kupoteza tax payers' money kumlinda mtu ambaye hafiki na Serikali iliyopo madarakani na kiusalama bodyguards wa Serikali hawapaswi kutumika kulinda viongozi wa vyama vya upinzani huwezi kujua kesho watamrubuni afanye mambo gani - sijui kwa nini Serikal yetu imekuwa a bit sloppy katika suala hili.
 
Naona hata kutumia utilities/commands za app ya JF hujui, hii inadhilisha kitu kimoja kwamba reasoning capacity yako ni borderline kabisa - ndio maana badala ya kuzungumzia hoja unaishia kutukana watu ambao huwajui vizuri, kauli yako ni matunda ya kukosa malezi bora si kitu kingine - usifikiri huko so smart uwezi kuwa tracked ulipo at anytime ukajikuta una face MUSIC, forewarned...
 
Swala la ulinzi liko kisheria,halihusiani na ccm wala nini.Jaribuni kutafakari,kama ccm wangeshindwa na kua chama pinzani.Hao mawaziri wakuu wote waliotokana na ccm wangenyang'anywa walinzi? Naona chuki za uchaguzi bado zinaendelea.
 
Sasa ndipo majipu yanapo kuwa tambazi.maana daladala wamegoma kupakia bila kusimamisha abiria.nimepiga hesabu kutoka MLANDIZI to UBUNGO!zaidi ya km 60 kwa coster kama lita 10 za diesel.inapikia abiria 26. Kama watafika wote ubungo atapata tsh 52000/-ukitoa mafuta lita 10 wapiga debe tsh2000 parking pale mlandizi na kibaha maili moja wanaweza baki na tsh27000/-akipigwa bao mama yangu'tajiri anata laki moja na mafuta full tank.sasa asipo simamisha aijui wanafunzi wasilipe nauli sijui kwa k.koo mbagala.ubungo gongo la mboto.tegeta washazoea kupandia fire kugeuza nalo
Bado tu unaendekeza rushwa?
 
Back
Top Bottom