njiakuu2015
Senior Member
- Jun 14, 2015
- 155
- 30
Hata wewe yawezekana emekueupuka. Lowassa hakua waziri mkuu wa ccm, alikua waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania . Sijui kama unalielewa Hilo kwa uzito wake. Serikali haighatamiwi na wanachama wa ccm ,serikali inagharamiwa na pesa as walipa kodi wengi ambao sio ccm tumeshuhudia wakwepa kodi wa kubwa ni chama gani
Pili kama Kua kiongozi bila kujali chama chako kazi yako ni kuunga mkono kila kitu kinachofanywa na serikali iliyoko madarakani hata kama ni cha kijinga Ili tu upate haki yako ya ulinzi...basi ndio maana hatendelei