Katumbasongwe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 1,017
- 1,147
Kilikua kitu pisi ya ki chaga?
Kilikua kitu pisi ya ki chaga?
Inawezekana alitumiwa ujumbe mfupiHivi wenzetu makanisa yao wanapokeaga simu kanisani??
kama alipokelea nje inamana alirudi ndani akaiacha simu ndio kwenda kwa huyo mpigaji??
Nahisi huyu dada alicheza deal chafu, na Mastermind akaahidi kumlinda, mastermind ndio aliempigia simu atoke nje, si ajabu alimwambia em toka mara moja tuyajenge acha simu siunajua mchongo tuliofanya ni nyeti
na mtu anaemfahamu, huwezi toka nje bila simu kuonana na usiemfahamuInawezekana alitumiwa ujumbe mfupi
Hata kuishika tu kusoma meseji mda unatoa wapiUmewaza nje ya box ila wanadamu mda WA ibada WA kusema na Mungu unapokeaje simu!! kaahh
Mpambanaji" you wont survive b*tchThe nasty thing is stepping on other people toes this being your idea of "Mpambanaji" you wont survive b*tch
Stay in your lane, that way the trouble will always be at bay. FOR FOOLS RUSH IN WHERE ANGELS FEAR TO TREAD
mastermind ndio aliempigia simu atoke nje, si ajabu alimwambia em toka mara moja tuyajenge acha simu siunajua mchongo tuliofanya ni nyetiHivi wenzetu makanisa yao wanapokeaga simu kanisani??
kama alipokelea nje inamana alirudi ndani akaiacha simu ndio kwenda kwa huyo mpigaji??
Nahisi huyu dada alicheza deal chafu, na Mastermind akaahidi kumlinda, mastermind ndio aliempigia simu atoke nje, si ajabu alimwambia em toka mara moja tuyajenge acha simu siunajua mchongo tuliofanya ni nyeti
Mpaka anatoka church anaacha ibada suala lilikua muhimu sanana mtu anaemfahamu, huwezi toka nje bila simu kuonana na usiemfahamu
na sio kumfahamu tu ni mtu wa karibu sana
Ni mambulula tu. Na kama ni janajike limeorganise hayo mauaji.. Nalo lijiandae kuoza.Hao jamaa watakamatwa kama kumbi kumbi labda wachimbe shimo wajifukie huko walipo wanajuta kwa ujinga waliofanya hata wakilewa kila siku pana muda Pombe inapotea damu ya binadamu ni nzito sana...madili mengine wanapewa ya kijinga kabisa..
Kama angekuwa hamnazo asingekuwa na hizo pesa. Ambae hamnazo ni huyo anaewaza usaliti kucha kutwa ilhali vizuri navyo anapenda.Na kama alikuwa mpenda Rupia sana( maana kila mtu anapenda) basi tena.
Msukuma atakupa hata Milioni 50 ila ukizingua umekwisha. We utamuona kama hamnazo vile
Hamna cha ushamba. Hiyo ndio inaweka clear distintion kati ya binadamu na kuku ama kindege.Ndio watakamatwa wengi lakini moja ya easy investigation ni hiyo hata mtoto mdogo anajua kabisa hii iliendaje, mara nyingi ingekua ajali ya kupangwa yaani wamfuatilie, akiwa anatoka kanisani gari ijifanye imemgonga ingekua ajali tu au wamfuatilie akiwa anatembea barabarani gari full loaded tena inawekewa hata mchanga wa kuzugia inaonekana ni gari la mchanga, limemgonga lakini wapangaji walikua washamba tu kama washamba wengine
Unajua kuna mambo hutokea maishani then mnakubaliana kila mmoja asepe ili kutoleta suspicion.Uenda pana mchumba alimkataa,pia ishu ya kuacha Kazi kivipi
. Alikuwa na tuhuma,pana upotevu Kazi,ajaridhishwa na wizi wa wafanyakazi wenzake akaona bora aache kazi,hapa pana pa kuanzia
Still bado huwa haisaidii labda iwe damu isiyo na hatia.Unajua kuna mambo hutokea maishani then mnakubaliana kila mmoja asepe ili kutoleta suspicion.
Sasa baada ya mtu kusepa bado mwingine kutokana na wanavyofahamiana anaona bado hawez kuwa salama. Then anaamua kukuzimisha.
This is the result of Lack of Trust and loyalty on other side.
DeepMimi nishakula pisi ya kufanana na hii hamna maajabu apo na nilii trap using some cash kibunda nilichoproduce kwa ajili ya kuipa some kilinyakua chote nikakisisitizia kiniachie ata noti mocha tu kikasema vikoba aise nikafanya some effort ila sikuweza nikaiacha tu... Conclusion ikawa awa ni as beautiful as coiled cobra admire it from far or sustain a bite...
Ata i dont feel pity for Martha. My gut strongly tells me she had it coming. She screwed somebody so he/she replied in kind
Ndio maana nikasema utamuona kama hamnazo. Lakini ana akili zake.Kama angekuwa hamnazo asingekuwa na hizo pesa. Ambae hamnazo ni huyo anaewaza usaliti kucha kutwa ilhali vizuri navyo anapenda.
Niliona andiko hili Twitter kwa fbuyobe sasa sijui ni mtu mmoja au tofauti? Anyway analysis nzuriFamilia iko kwenye msiba mzito. Tunawapa pole. Ni kifo kinachotokana na mauaji hivyo hakiwezi kukosa mijadala na msingi wa hiki kifo cha mauaji lazima kiwe na sababu, kiwe na viashiria.
Kiwe na mhusika/wahusika wakuu
Kiwe na bajeti
Kiwe na watendaji/watimiza lengo. Kwa msingi huu wauaji
Kiwe na mpango kazi
Kiwe na fool proof
Kusiwe na dosari kuanzia kupanga, kutekeleza na hatimaye kutawanyika na kumalizana kama kuna malipo ya mwisho yalikuwa bado
Uchunguzi wa kifo hiki ni rahisi sana na si chini ya watu 20 wanaweza kuhusishwa nacho, ambapo watachujwa mpaka watabaki si chini ya watano .. Na ni uchunguzi rahisi kutokana na makosa mengi waliyofanya wauaji.. Hawakuwa wajuzi maana wajuzi huwa hawaachi alama! Japo kuna kosa moja dogo sana hufanya na kufumua mpango wote.
Uchunguzi wake utaanzia kazini kwake, maisha yake nje ya kazi, marafiki zake, wateja wake, mishe na dili zake, mawasiliano yake pamoja na mahusiano.. Hapa ni kwa ajili ya ku 'establish' Msingi wa kesi na 'motive' ya muuaji/wauaji.
Uchunguzi wa pili ni eneo lilikofanyika tukio.. Pori la Mitamba linalosifika kwa matukio ya mauaji, Mitamba halina tofauti sana na Mabwepande na kama linaweza kuchunguzwa vizuri kuna maiti ngingi mule zinaweza kuwa zimezikwa.
Mitamba liko Kibaha njia ya kwenda Bagamoyo eneo linaitwa Pangani.. Sehemu kubwa ya pori la Mitamba ni eneo la wizara ya mifugo na uvuvi na kuna kipindi matapeli wa viwanja Kibaha walilivamia na kuwauzia watu viwanja mpaka serikali ikaingilia kati.
Marehemu ni mkazi mwenyeji wa Kibaha Kwambonde kakulia hapo, kosoma Tumbi nknk. Wazazi wake wanaishi hapo mpaka sasa na ni watu unaoweza kuwaita maarufu eneo hilo na hata kanisani kwao Tumbi. Kwanini muuaji/wauaji wakachagua kuja kummaliza 'nyumbani kwao'?
Marehemu alisafiri salama salimini toka kituo chake cha kazi Shinyanga mpaka nyumbani Kwambonde Kibaha. Pengine alitumia ndege, usafiri binafsi au wa jumuiya lakini alifika salama.
Je, wauaji walikuwa wanamfuatilia kote huko?
Je, wauaji ndio walimuita aje Kibaha?
Je, lengo lake la kuja nyumbani Kibaha lilikuwa ninini?
Je, mpango wa kummaliza Kibaha pori la Mitamba ulikuwa mpango plan A au B?
Marehemu siku ya tukio alikuwa kanisani na ndugu zake.. Ni wazi alipata wito wa kuitwa nje mara moja ama kwa ishara ya mtu alikuwa ndani ya kanisa ama kwa simu kwakuwa mikoba yake aliacha alipokuwa kaketi. Hakurudi!
Ni wazi walimuita walikuwa nje kabisa ya kanisa barabarani! Kanisa la KKKT Tumbi liko pembezoni mwa barabara ya kuelekea Tumbi hospital. Ni wazi kulikuwa na gari ambalo ama alipanda kwa hiari ama kwa lazima/Kutekwa.
Ni wazi safari ilianza kuelekea Pangani pori la Mitamba.. Macho ya marehemu yata 'reveal' kilichotokea ndani ya gari kwa hicho kipindi chote mpaka kufika Mitamba kumwagiwa Petrol na kuchomwa moto!
Ukurasa wa pili juu ya mpango kazi ambao ninaamini ndio plan A.
Wauaji waliona eneo salama la kummaliza ni eneo la nyumbani alikozaliwa. Wauaji ni wenyeji wa Kibaha wanaofahamu vema jiografia ya Kibaha hasa eneo la Mitamba Pangani ambako hakuna doria za polisi, kuko kimya na mbali na makazi ya watu. Pia ni eneo lenye gate away nzuri kwahiyo ni rahisi kupoteza maboya mtu anayekufuatilia.
Unaweza kutokea Kimara
Unaweza kutokea Baobab
Unaweza kutokea Kibaha maili moja eneo la shell
Unaweza kutokea NIDA
Unaweza kutokea picha ya Ndege
Unaweza kutokea Loliondo nk na kote huko mtu asijue umetokea Mitamba Pangani
Kwa vyovyote mwenye mpango wake alikodi watu wa kumsaidia kuutimiza
Loose ends/makosa ya kiutendaji yasiyotarajiwa
- Dereva
- Mfuatiliaji aliyekuwa kanisani
- Mtu aliyempatia sindano ya sumu
- Backup
- Hapa kuna watu wa kati hawakosekani
- Malazi, kama watekeleza mpango walitoka mbali ni wazi walilala gesti za maeneo ya Kibaha ama jirani na Kibaha.
Wajuzi hufanya rehearsal hata zaidi ya mara tano kutegemeana na mlengwa na bajeti na kila rehearsal hugundua makosa kadhaa na kuyarekrbisha.
Je, makosa makubwa kwenye hili tukio ni yapi?
1. Mtandao wa mawasiliano simu na jumbe za sauti na maneno
2. Kuhusisha watu zaidi ya mmoja
3. Kutochagua wajuzi wa kazi
4. Kutofanya rehearsal
5. Kumchoma sindano ambayo haikuwa na sumu kali au ambayo haikuchomwa kwa usahihi
6. Kudhani amekwisha kufa hivyo kutengeneza fool proof ya kumchoma moto uliomzindua
7. Pengine kuondoka eneo la tukio haraka bila kuhakikisha ameungua vizuri
8. Macho kubaki salama, yalirekodi kila kitu
Kwa dondoo hizo hii kesi ni nyepesi kuliko ya bilionea Msuya ana yule mzungu wa tembo. Marehemu alibaki kuwa hai kuanzia tarehe 3 march mpaka 9 alipoaga dunia. Siku sita ni nyingi sana kuweza kupata na kujua mengi
Damu ya mtu ni nzito na inanuka! Harufu hukoma haki ikitendeka![]()
mimi sipendi DHULMANavyozidi kuusoma huu uzi ndio navyozidi kubadilika, inavyoonekana kwa huyu dada kuna dalili ya kuwadhulumu wenzake na kuwatosa. Sasa kwangu mimi sipendi DHULMA kabisa maana unaowafanyia hivyo wana familia pia, na walikua wanategemea kipato hicho, Inauma sana hio. Dhulma sio nzuri na adhabu yake ni mauti. Nilishawahi kudhulimiwa deal tulicheza kule long room maumivu yake ningeweza kumfanyia yule jamaa kitu mbaya sana, bahati nzuri nilikuja kuondoka bongo na jamaa baada ya miaka michache nilisikia alifariki kwa umeme wa grid ya taifa.
DHULMA mbaya sanaNavyozidi kuusoma huu uzi ndio navyozidi kubadilika, inavyoonekana kwa huyu dada kuna dalili ya kuwadhulumu wenzake na kuwatosa. Sasa kwangu mimi sipendi DHULMA kabisa maana unaowafanyia hivyo wana familia pia, na walikua wanategemea kipato hicho, Inauma sana hio. Dhulma sio nzuri na adhabu yake ni mauti. Nilishawahi kudhulimiwa deal tulicheza kule long room maumivu yake ningeweza kumfanyia yule jamaa kitu mbaya sana, bahati nzuri nilikuja kuondoka bongo na jamaa baada ya miaka michache nilisikia alifariki kwa umeme wa grid ya taifa.