Papaaa mukuubwaaa
JF-Expert Member
- Jan 26, 2023
- 2,060
- 1,889
Sipendi DHULMA
Hii ipo hadi kwenye vitabu vya dini.. Usimdhulumu mtu haki yake ili wewe upate nyingi. Unapodhulumu hautakua tajiri na unapompatia mtu mgao wake hautakua maskini pia.Dhulma+ Tamaa mbaya sana hii kitu.mimi sipendi DHULMA
Niliwahi kuweka Post nikishauri JF iboreshwe iwe kama ilipoanza, mabosi wakafuta! Usijali acha twende hivihivi.Nipo nje ya mada nisamehewe!
Jamiiforums sijui wamebadili nini tena kwa tunaotumia browser imezidi kuchukiza,nipo nasoma main post mtu ana-reply uzi inanipeleka kwenye new post wakati sijamaliza hata kujua maudhui ya mleta mada.
Hiyo namna ya ku-like sasa,wameweka vijiboksi boksi mtu hata hujui ufanyeje bora ile ya emoj kuliko hii.
Kweli kashaandika kaikwapua hukuUyu jamaa asione hii ataicopy twitter na kuongezea mbwembwe za uongo na kweli alaf awavute TELEGRAM ukimwambia umeitoa JF anakulima tofali
NAJUA UTAPITA HAPA BUYOBE WEWE UNAAKILI NDOGO SANAView attachment 2551176
Huyo buyobe ni mzee wa kucopy na kupest ni kilazaNiliona andiko hili Twitter kwa fbuyobe sasa sijui ni mtu mmoja au tofauti? Anyway analysis nzuri
Sasa wadhulumaji ndo wamefanya mauajiNavyozidi kuusoma huu uzi ndio navyozidi kubadilika, inavyoonekana kwa huyu dada kuna dalili ya kuwadhulumu wenzake na kuwatosa. Sasa kwangu mimi sipendi DHULMA kabisa maana unaowafanyia hivyo wana familia pia, na walikua wanategemea kipato hicho, Inauma sana hio. Dhulma sio nzuri na adhabu yake ni mauti. Nilishawahi kudhulumiwa deal tulicheza kule long room maumivu yake ningeweza kumfanyia yule jamaa kitu mbaya sana, bahati nzuri nilikuja kuondoka bongo na jamaa baada ya miaka michache nilisikia alifariki kwa umeme wa grid ya taifa.
Inawezekana ila hamna ushahidi kwa vile bado uchunguzi unaendelea, Ila kwa mujibu wa baba yake kwenye mahojiano na Millardayo majuzi alisema ishu ya mtoto wake kuuliwa, ana uhakika haihusiani na mapenzi. Sasa wewe sio mtoto mdogo fanya mahesabu yako ; Je, 1+1 =2 au 1+1 =11. Kazi ni kwako.Sasa wadhulumaji ndo wamefanya mauaji
Mara nyingi tumia gugo renzi kuhakiki vitu unavyoona mtandaoni. Hayo MAPICHA unayoyasema waerevu watakuona kuwa una tatizo la akili.Savimbi na Al Baghdad walikuwa vibaraka wa marekani,albaghdad alishapiga picha na Biden ikulu ya marekani Biden akiwa vp,savimbi waliamua kumuuza kwa kuwa serikali ya Angola ahaikua shida Tena kwa maslahi ya marekani,Osama..ikiwa yale maelezo Yao ni kweli basi simu ya Al Kuwait ndiyo iliyozua msala
Dhulmaa inaumiza mnooiNavyozidi kuusoma huu uzi ndio navyozidi kubadilika, inavyoonekana kwa huyu dada kuna dalili ya kuwadhulumu wenzake na kuwatosa. Sasa kwangu mimi sipendi DHULMA kabisa maana unaowafanyia hivyo wana familia pia, na walikua wanategemea kipato hicho, Inauma sana hio. Dhulma sio nzuri na adhabu yake ni mauti. Nilishawahi kudhulumiwa deal tulicheza kule long room maumivu yake ningeweza kumfanyia yule jamaa kitu mbaya sana, bahati nzuri nilikuja kuondoka bongo na jamaa baada ya miaka michache nilisikia alifariki kwa umeme wa grid ya taifa.
Na wewe unaona Saudi Arabia na marekani ni vitu viwili tofauti!!?Nyingi tumia gugo renzi kuhakiki vitu unavyoona mtandaoni. Hayo MAPICHA unayoyasema waerevu watakuona kuwa una tatizo la akili.
Moja ya kiongozi mkubwa wa Islamic state aliwai sema kuwa alikuwa anazunguka msikitini huko saudi Arabia ili kukusanya michango ya kuendesha Kikundi Chao.
Hakwenda kwenye familia ya kifalme inayotawala Saudi Arabia kukusanya michango, alikiuwa akizunguka MISIKITINI ndani ya Saudi Arabia na kwingine kukusanya michango ya kuendesha kundi lao lenye dhumni la kusimika ukharifaNa wewe unaona Saudi Arabia na marekani ni vitu viwili tofauti!!?
Huelewi chochote kuhusu Vita vya ISIS/isil na wafadhili wao,kwa hiyo alikua akipita misikitini na kunadi tuchangieni tukasimamishe ukhalifa huko Levant!?..hivi unajua raia wa kiarabu wanavyowachukia ISIS au daesh Kama wanavyowaita wao!?..ulikua haadhiri marekani walipowashushia silaha ISIS kule Iraq!?..ulikua ukifuatilia mambo Obama aliposema 'assad's time is up'!?..Assad alikua akipambana na nani!?Na suala Saudi Arabia na marekani kuwa ni kitu kimoja ni inshu mtambuka sana.
Polisi wa Tanzania nadhani wako very poor kwenye kesi za upelelezi kama hizi. Ndio maana hadi leo wameshindwa kufanya upelelezi wa kesi ya Lissu aliyepigwa risasi mchana kweupe baada ya kuondoa walinzi na kung'oa CCTVs zilizokuwa eneo la tukio.Familia iko kwenye msiba mzito. Tunawapa pole. Ni kifo kinachotokana na mauaji hivyo hakiwezi kukosa mijadala na msingi wa hiki kifo cha mauaji lazima kiwe na sababu, kiwe na viashiria.
Kiwe na mhusika/wahusika wakuu
Kiwe na bajeti
Kiwe na watendaji/watimiza lengo. Kwa msingi huu wauaji
Kiwe na mpango kazi
Kiwe na fool proof
Kusiwe na dosari kuanzia kupanga, kutekeleza na hatimaye kutawanyika na kumalizana kama kuna malipo ya mwisho yalikuwa bado
Uchunguzi wa kifo hiki ni rahisi sana na si chini ya watu 20 wanaweza kuhusishwa nacho, ambapo watachujwa mpaka watabaki si chini ya watano .. Na ni uchunguzi rahisi kutokana na makosa mengi waliyofanya wauaji.. Hawakuwa wajuzi maana wajuzi huwa hawaachi alama! Japo kuna kosa moja dogo sana hufanya na kufumua mpango wote.
Uchunguzi wake utaanzia kazini kwake, maisha yake nje ya kazi, marafiki zake, wateja wake, mishe na dili zake, mawasiliano yake pamoja na mahusiano.. Hapa ni kwa ajili ya ku 'establish' Msingi wa kesi na 'motive' ya muuaji/wauaji.
Uchunguzi wa pili ni eneo lilikofanyika tukio.. Pori la Mitamba linalosifika kwa matukio ya mauaji, Mitamba halina tofauti sana na Mabwepande na kama linaweza kuchunguzwa vizuri kuna maiti ngingi mule zinaweza kuwa zimezikwa.
Mitamba liko Kibaha njia ya kwenda Bagamoyo eneo linaitwa Pangani.. Sehemu kubwa ya pori la Mitamba ni eneo la wizara ya mifugo na uvuvi na kuna kipindi matapeli wa viwanja Kibaha walilivamia na kuwauzia watu viwanja mpaka serikali ikaingilia kati.
Marehemu ni mkazi mwenyeji wa Kibaha Kwambonde kakulia hapo, kosoma Tumbi nknk. Wazazi wake wanaishi hapo mpaka sasa na ni watu unaoweza kuwaita maarufu eneo hilo na hata kanisani kwao Tumbi. Kwanini muuaji/wauaji wakachagua kuja kummaliza 'nyumbani kwao'?
Marehemu alisafiri salama salimini toka kituo chake cha kazi Shinyanga mpaka nyumbani Kwambonde Kibaha. Pengine alitumia ndege, usafiri binafsi au wa jumuiya lakini alifika salama.
Je, wauaji walikuwa wanamfuatilia kote huko?
Je, wauaji ndio walimuita aje Kibaha?
Je, lengo lake la kuja nyumbani Kibaha lilikuwa ninini?
Je, mpango wa kummaliza Kibaha pori la Mitamba ulikuwa mpango plan A au B?
Marehemu siku ya tukio alikuwa kanisani na ndugu zake.. Ni wazi alipata wito wa kuitwa nje mara moja ama kwa ishara ya mtu alikuwa ndani ya kanisa ama kwa simu kwakuwa mikoba yake aliacha alipokuwa kaketi. Hakurudi!
Ni wazi walimuita walikuwa nje kabisa ya kanisa barabarani! Kanisa la KKKT Tumbi liko pembezoni mwa barabara ya kuelekea Tumbi hospital. Ni wazi kulikuwa na gari ambalo ama alipanda kwa hiari ama kwa lazima/Kutekwa.
Ni wazi safari ilianza kuelekea Pangani pori la Mitamba.. Macho ya marehemu yata 'reveal' kilichotokea ndani ya gari kwa hicho kipindi chote mpaka kufika Mitamba kumwagiwa Petrol na kuchomwa moto!
Ukurasa wa pili juu ya mpango kazi ambao ninaamini ndio plan A.
Wauaji waliona eneo salama la kummaliza ni eneo la nyumbani alikozaliwa. Wauaji ni wenyeji wa Kibaha wanaofahamu vema jiografia ya Kibaha hasa eneo la Mitamba Pangani ambako hakuna doria za polisi, kuko kimya na mbali na makazi ya watu. Pia ni eneo lenye gate away nzuri kwahiyo ni rahisi kupoteza maboya mtu anayekufuatilia.
Unaweza kutokea Kimara
Unaweza kutokea Baobab
Unaweza kutokea Kibaha maili moja eneo la shell
Unaweza kutokea NIDA
Unaweza kutokea picha ya Ndege
Unaweza kutokea Loliondo nk na kote huko mtu asijue umetokea Mitamba Pangani
Kwa vyovyote mwenye mpango wake alikodi watu wa kumsaidia kuutimiza
Loose ends/makosa ya kiutendaji yasiyotarajiwa
- Dereva
- Mfuatiliaji aliyekuwa kanisani
- Mtu aliyempatia sindano ya sumu
- Backup
- Hapa kuna watu wa kati hawakosekani
- Malazi, kama watekeleza mpango walitoka mbali ni wazi walilala gesti za maeneo ya Kibaha ama jirani na Kibaha.
Wajuzi hufanya rehearsal hata zaidi ya mara tano kutegemeana na mlengwa na bajeti na kila rehearsal hugundua makosa kadhaa na kuyarekrbisha.
Je, makosa makubwa kwenye hili tukio ni yapi?
1. Mtandao wa mawasiliano simu na jumbe za sauti na maneno
2. Kuhusisha watu zaidi ya mmoja
3. Kutochagua wajuzi wa kazi
4. Kutofanya rehearsal
5. Kumchoma sindano ambayo haikuwa na sumu kali au ambayo haikuchomwa kwa usahihi
6. Kudhani amekwisha kufa hivyo kutengeneza fool proof ya kumchoma moto uliomzindua
7. Pengine kuondoka eneo la tukio haraka bila kuhakikisha ameungua vizuri
8. Macho kubaki salama, yalirekodi kila kitu
Kwa dondoo hizo hii kesi ni nyepesi kuliko ya bilionea Msuya ana yule mzungu wa tembo. Marehemu alibaki kuwa hai kuanzia tarehe 3 march mpaka 9 alipoaga dunia. Siku sita ni nyingi sana kuweza kupata na kujua mengi
Damu ya mtu ni nzito na inanuka! Harufu hukoma haki ikitendeka![]()
Asante sana mtu mzima Arovera“ issue ni yalichezwa magumashi 4months back, mzigo mtunzaji akawa dogo, baada ya muda akaingia tamaa na baada ya kupoteza maboya kumbe alihamisha mzigo wote faster wiki chache nyuma halafu alivoona anafuatwa watu wanataka mgao wao dogo karesign faster na mkopo aliokua nao pale akalipa halafu akapotea mitaa ile, ndio haki ya watu waliitafuta bila mafanikio sasa tuendelee kusubiri tuwe watulivu lakini dodondoo ni dhulma dhulma iliyoambatana na tamaa,