Loose ends Kifo cha Martha Towo

Cheque ya bilioni moja sio Cheque ya kitoto. Kama ndio zile wanazocheza za fraud, inaweza kuwa
Lakini pia inaweza amount isiwe hiyo.

Mzee wake alifanya mahojiano na AyoTV tena alichosema sio mambo ya mapenzi na mtoto wao alishare na wao angalau 3/4 ya kilichomfanya atoke Kahama kurudi Kibaha nyumbani. Pia alisemama mtoto wao alikuwa na stress sana tangia aache kazi. Akamalizia hawezi kuongea yote waliyoongea na mwanae anawaachia jeshi la Polisi wafanye kazi yao.

So kwa vyovyote vile chanzo cha kifo kitakuwa kinatoka kule kazini kwake..
 
 
....'It has Been Debunked... Hata Askari wenyewe wameachana nayo baada ya kuiona Haifai!....Ndio maana hakuna Kesi ambayo imewahi kuamuliwa Kwa Ushahidi wa 'Picha' ilitoka kwenye macho ya Marehemu!... Imebaki Hollywood TU...!
ndo maana nimeweka debunked mzee...
 
Marehemu awezi kusemwa vibaya.ila aliachishwa kazi kwa sababu ( ).
Cheo chake ni afisa mikopo?.
Mdada mzuri aliyesumbua wanaume mpaka kumiliki gari aina toyota ratics new model.
Kusumbua wanaume hadi kumiliki gari ractics?? Mbona haviendani ,yani mfanyakazi wa benki ,gari ractics ni hadi usumbue wanaume kwanza wabongo bana
 
Kaka Mshana Jr Elimu hii ni ya miaka 2 Hadi 3 Ila umeisamalaizi kwa page mbili nomaa saaana

Nafikiri umetoa mwanga wahusika waanze na mpango huo
Hongera kwa Elimu.
 
Marehemu awezi kusemwa vibaya.ila aliachishwa kazi kwa sababu ( ).
Cheo chake ni afisa mikopo?.
Mdada mzuri aliyesumbua wanaume mpaka kumiliki gari aina toyota ratics new model.
Kumbe unamjua na tayari hapo maadui watatu wametajwa 1. Wanaume waliomkosa 2. Wafanyakazi na Ndugu wenye wivu. 3. Wakopaji wake walihisi wamepoteza ushahidi ili wasiuziwe nyumba zao, magari, viwanja mashamba
 

Hiyo interview ipo kwa milard insta?
 
Huwezi kutumia gharama na nguvu kubwa hivi kwenye kisasi cha mapenzi.

Hii ni ishu ya kazi, labda kuna mtonyo ulitaka kupigwa au umepigwa then Martha alikuwa kauzibe. Au labda mtonyo ulishapigwa alafu umeshtukiwa then Martha ni shahidi muhimu.
Kuna vitu viwili huvijui
Nguvu ya mapenzi na
Nguvu ya pesa

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Baba mtu alisema mwanae alikuwa na stress sana tangu aache kazi.... Moja jumlisha moja unaweza kupata 11 badala ya 2!
 

Hili pori linaanzia wapi mpaka wapi??
 
Kumbe unamjua na tayari hapo maadui watatu wametajwa 1. Wanaume waliomkosa 2. Wafanyakazi na Ndugu wenye wivu. 3. Wakopaji wake walihisi wamepoteza ushahidi ili wasiuziwe nyumba zao, magari, viwanja mashamba

Taarifa za mikopo zinakua kwenye system za bank na sio kwa loan officer. Kazi ya loan officer ni kupitisha mikopo na kufuatilia madeni (ulipaji). Kama walifanya hivo kwa kutegemea madeni yao yatasaulika bhs ni washamba sana hao watu.
 
Baba mtu alisema mwanae alikuwa na stress sana tangu aache kazi.... Moja jumlisha moja unaweza kupata 11 badala ya 2!

Huyu dada atakua alikula pesa za watu au kuna siri kubwa sana anaijua ambayo ikijulikana muhusika asingebaki salama. Kwenye mabank kuna deal nyingi sana za hovyo zinafanyika na za hatari.
 
Duh it's scary living amongst people who think like this
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…