Loose ends Kifo cha Martha Towo

Loose ends Kifo cha Martha Towo

Una uhakika kuwa wale waliomuua yule dada wa Itv hawakukamatwa??fuatilia vizuri wapo mahabusu siku nyingi sana!!!polisi wetu huwa wakiamua wanaweza sana,tatizo ni pale aliyekufa ni nani?!!kumbuka kifo kile cha RPC Baro kule mwanza!!
Walishikwa wa Dada Wa ITV au ni wahisiwa maana mahakama ndio inatoa muhalifu



Ujue kutofautisha


Mtuhumiwa

Mahabusu

Mhalifu
 
Inaweza kuwa huyo binti alikuwa mapepe! Tunaondoka kanisani kwenda kuonana na mtu? Unaachaje simu on wakati uko kanisani? Bure kabisa! Tumefanya kanisa kama sehemu ya maigizo!
kifo hua kinakua na sababu pengine hio ndio sababu ya kifo chake kuamka na kutoka nje ya kanisa
 
mpango wa Mungu



Mshaanza wasabato
Daaahh mkuu kwenye hii issue serious naona wewe umeichukulia kivingine kabisa. Anyway tuishie hapo kila mmoja atabaki na Imani na kuguswa kwake kwa huyu marehemu. Hata iwe vipi hakuna yeyote Yule binadamu mwenye haki ya kukutoa uhai wa MTU no matter what. Hivyo wenye Nia njema tunaomba familia ifanikiwe kupata haki no matter what. Hata mwizi na kahaba kwa Imani yangu ana haki ya kuishi ila kwa Imani nyinginezo Kali basi bàadhi ya adhabu tunazijua fika. Tusifike huko.
 
ila kuna kitengo kule polisi cha shirki wakiona wanasumbua kuwapata wanawaweka kwenye chungu maalumu kuwachungulia na kuwazubaisha ufahamu hawatoki nje ya eneo walilofanya tukio au nje ya mipaka ya nchi waliyofanya tukio watabaki wanazunguka tu humu mpaka watakapokamatwa.. kazi za upelelezi noma sana..
Hili nakuunga mkono, umenikumbusha mbali

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hili ni li pimbi kweli harafu nahisi ndo muhusika wa mauaji kwanini anawatetea wahalifu
Hili boya tu halina uhusika wowote, watakua wamelituma lisome comments, ooops,! ma jitu kama hili bongo kumbe yanaitwa CHAWA,lipo kuona muenendo wa comments za watu kwa maana JF ni real source ya habari bongo kama TMZ vile.
 
Kupitia hili dodoso lako; polisi washindwe wenyewe kuwabaini wahusika.
KABISA KABISA !!! YAANI INGEKUWA NCHI ZILO ENDELEA UKO HII KESI INGEPEWA KIPAUMBELE SANA NA WAPELELEZI WANGEIGOMBANIA !!!!!, MFANO KUNA KESI YA BILIONEA MSUYA , KESI YA MAMA NA WATOTO WA MUTABOYERWA NA YULE MAMA MHADHILI WA CHUO UKO MOROGORO>? YAANI POLISI WETU WANAKIBIRIA OOOH SIJUI HOUSE GIRL OR HOUSE BOY!! KUMBE MASKINI UKICHUMGUZA ZAIDI KUNA MHUSIKA MKUU NYUMA YAKE PIA LAZIMA WATU WAJUE MOTIVES ZA HAYA MAUJI ILI WAWE NA TAHADHARI!!! TAARIFA ZA MWISHO ZA UCHUNGUZI ZIWE PUBLIC!!!
 
Back
Top Bottom