Loose ends Kifo cha Martha Towo

Loose ends Kifo cha Martha Towo

SAsa hawa wahalifu wanaotegemea waganga wa kienyeji ndo wataweza shindana na technologia.

Hawa wanaonunua simu mpya kariakoo, wanasajili na line mpya za voda wanajua hawatofahamika! Wanasahau kuna operation ya simu feki ilipita nchi nzima, wanasahau kwenda congo au msumbiji kununua simu ambazo imei zake haziwezi kua traced halafu waende congo au Rwanda kusajili line za tigo au airtel ili mawasiliano kwanza kutafutwa mtu asumbuke, wahalifu wa nchi maskini huacha alama kizembe sana ndio maana hukamatwa kama kuku
 
Hapo juu kwenye dondoo nilizungumzia swala la bajeti.. Ufinyu wa bajeti huacha traces nyingi
 
Kwenye hii kesi kamata kamata itakuwa kubwa si ajabu hata wasiodhaniwa watakuwa sehemu ya watuhumiwa

Ndio watakamatwa wengi lakini moja ya easy investigation ni hiyo hata mtoto mdogo anajua kabisa hii iliendaje, mara nyingi ingekua ajali ya kupangwa yaani wamfuatilie, akiwa anatoka kanisani gari ijifanye imemgonga ingekua ajali tu au wamfuatilie akiwa anatembea barabarani gari full loaded tena inawekewa hata mchanga wa kuzugia inaonekana ni gari la mchanga, limemgonga lakini wapangaji walikua washamba tu kama washamba wengine
 
Hawa wanaonunua simu mpya kariakoo, wanasajili na line mpya za voda wanajua hawatofahamika! Wanasahau kuna operation ya simu feki ilipita nchi nzima, wanasahau kwenda congo au msumbiji kununua simu ambazo imei zake haziwezi kua traced halafu waende congo au Rwanda kusajili line za tigo au airtel ili mawasiliano kwanza kutafutwa mtu asumbuke, wahalifu wa nchi maskini huacha alama kizembe sana ndio maana hukamatwa kama kuku
Halafu sijui nani huwa anawapotosha eti kununua simu mpya line mpya hautokamatwa? Sema tu labda mamlaka ziache tu sababu ya udogo wa ishu.

We kanunue uliyotengeneza mwenyewe kasajili hata kuzimu achilia congo, though unalink na simu ya mlengwa utadakwa tu.
 
Aliajiriwa BOA BANK KAHAMA lkn alishaacha kazi.
Alikua aolewe mwaka huu.
Kafa 9/3
Kachomwa 3/3
Uenda pana mchumba alimkataa,pia ishu ya kuacha Kazi kivipi
. Alikuwa na tuhuma,pana upotevu Kazi,ajaridhishwa na wizi wa wafanyakazi wenzake akaona bora aache kazi,hapa pana pa kuanzia
 
Nimesoma mahala, hii wanasema Boss wake alimwambia aandike cheque ya 1B.
Halafu aseme ilikosewa, ili hizo hela zisionekane bank. Inaonekana martha hakutaka kulitekeleza.

Akawa anamsumbua, akaomba ruhusu kwenda kwao Kibaha. Inasemekana, boss wake akampigia Baba mzazi wa Martha, akamwambia amwambie mtoto wake, aache kazi ndani ya masaa 24.

Katika yote hayo yaliyokuwa yanaendelea, Martha alikuwa akiwasiliana na Baba yake na mchumba wake.

Wakasema siku ya tukio, alipigiwa simu na wafanyakazi wenzake, wa Shinyanga. Kuwa wanasafiri watapitia hapo Kibaha, wamsalimu mara moja. Alipotoka hakurudi tena.
Inavyosemakana boss anashikiliwa.
*Nimesoma sehemu tu, nikaileta kama ilivyo.

Hapa kwenye wafanyakazi wenzake kumpigia simu ndipo palipo na kila kitu.

Bila shaka walikuwa ni watu wake wa karibu asingeacha kutoka kokote alikokuwa.

Habari nzima itakuwa hapo.
 
Halafu sijui nani huwa anawapotosha eti kununua simu mpya line mpya hautokamatwa? Sema tu labda mamlaka ziache tu sababu ya udogo wa ishu.
We kanunue uliyotengeneza mwenyewe kasajili hata kuzimu achilia congo, though unalink na simu ya mlengwa utadakwa tu.

Ukiwa Sudan khatoum na Rwanda kudivert call hauwezi kabisa, ukiwa bongo unaweza kudivert kwa njia nyingi, ningeweza kukufafanulia jambo juu ya hilo lakini ngoja niache kwanza
 
Still utadakwa tu labda ufanye hivi vi ishu mbuzi mfano tuma KWA namba hii. Ufanye ishu ya kitaifa utadakwa tu.
Hakuna muhalifu smart ndugu ni lazima aache tu trace. Hasa kwa uhalifu kama huu wa kushirikisha wengi.
 
Kiintelenjensia.
Hakuna muhalifu yeyeto Smart ni lazima ataacha tu alama pa kuanzia.
Watu wakiingia mitamboni mbona sekunde tu wauaji udakwa chapu.
Hapo pa kuanzia ni sehemu mbili tu ishu ya mapenzi au kazini. Tap call zake zote kuanzia siku ya tukio rudi nyuma hata miezi 3 ukizisikiliza zitakupa starting point na lazima utampata tu muuaji.
Ipo hivi
Kabla ya mauaji huwa ni lazima mawasiliano ya simu uwepo yakiwa na nia ya urafiki na sio hitimisho la mauaji, mauaji huja baada ya kushindwa kufikiana kwa muafaka.
Kosa kubwa la wauaji ushindwa kutambua back walitumia simu kuongea.
KWA hili unaweza tumia
1.Technologia ya mawasiliano kupitia call recording
2.White magic pia ukupa picha ya tukio zima.
Ukimsikiliza baba yake anaongea codes ni kama kuna kitu anakihisia ambacho kina uelekeo wa ukweli sababu alikuwa karibu na binti yake kuna mambo alishea nae thus hakutaka kufunguka sana.
Kifupi hakuna muhalifu smart popote duniani hata awe na akili au ujanja vipi ni lazima ataacha shaka.
Technology na white magic haziongopi. Labda tu wahanga waamue tu kumuachia Mungu , KARMA
Hiyo white magic ndo balaa, watu huaona mpaka yaliyofanyika chumbani gizani
 
Nimesoma mahala, hii wanasema Boss wake alimwambia aandike cheque ya 1B.
Halafu aseme ilikosewa, ili hizo hela zisionekane bank. Inaonekana martha hakutaka kulitekeleza.

Akawa anamsumbua, akaomba ruhusu kwenda kwao Kibaha. Inasemekana, boss wake akampigia Baba mzazi wa Martha, akamwambia amwambie mtoto wake, aache kazi ndani ya masaa 24.

Katika yote hayo yaliyokuwa yanaendelea, Martha alikuwa akiwasiliana na Baba yake na mchumba wake.

Wakasema siku ya tukio, alipigiwa simu na wafanyakazi wenzake, wa Shinyanga. Kuwa wanasafiri watapitia hapo Kibaha, wamsalimu mara moja. Alipotoka hakurudi tena.
Inavyosemakana boss anashikiliwa.
*Nimesoma sehemu tu, nikaileta kama ilivyo.
duuh aiseee helaa mwana haramuu.
 
Hiyo white magic ndo balaa, watu huaona mpaka yaliyofanyika chumbani gizani

Ukumbuke chunguzi ni uwezo wa teknolojia na bajeti, kuna chunguzi huchukua hadi miaka 50 , yaani ukweli unakuja kujulikana hata muhalifu alishafariki muda tu, haya mambo yaache kama yalivo, japo kwa slogan ya kichunguzi ya “ ulipo tupo “ au “ palipo na mtu nasi tupo “ wahalifu uchwara hudakwa kama kuku tu
 
Back
Top Bottom