Ni sawa hasa mimi nilikuwa nataka niipate hiyo case nisome judgement yake..Ni kweli huyu dada kuna kipindi huko nyuma alikuwa na kesi na bank ya barclays na ilikuwa inachapishwa hadi na magazeti nakumbuka
Japo iliandikwa lakn haikusikika sana labda walimalizana wenyewe hukoNi sawa hasa mimi nilikuwa nataka niipate hiyo case nisome judgement yake..
Labda mkuuJapo iliandikwa lakn haikusikika sana labda walimalizana wenyewe huko
Hii nayo kwa wabobevu ni rahisi mno. Line ya simu inakupa IMEI namba na inapokuwa mahali simu ikiwa on unajichorea ramani ya matembezi yako. Kifupi utakamatwa. Sisemi mengi bgoja niishie hapo. Hawa wauaji kama alivyosema Mshana Jr watakamatwa kama kuku. Tena familia ina pesa na ndugu zake wana pesa yaani mkate ngumu mbele ya chai hakuna. Tena itakuwa na high level investigation. Mark my words.Unaweza usikamatwe.
Twende na scenario hii, unaenda Sumbawanga kama mtembezi huru tu. Ukiwa huko unajenga urafiki na bodaboda au muhudumu wa guest. (Hapa unahakikisha unafikia guest house zile za cheap kabisa na ambazo hazina CCTV).
Unahakikisha ukiwa huko na huyo boda au muhudumu wa guest unaepuka kutembelea maeneo yeyote yenye CCTV kama Banks au Bar kubwa kubwa.
Kwa siku tatu au nne ukiwa unampa na viofa ofa vya nyama na pombe na vitip vya pesa tayari utakuwa umejenga uaminifu nae. After that unaigiza umepotelewa na simu, unampa huyo boda 100k unamwambia akakununulie simu ya kawaida tu ya elfu 50 na aende tigo/airtel akasajili line chenji inayobaki yake. Akileta simu na line unahakikisha hiyo simu hausave wala kufanya mawasiliano na yeyote na mtu yeyote zaidi ya target yako pekee. Vocha unaweka za kukwangua tena ikiwezekana unanunua hukohuko kigomo vocha za kutosha then baada ya hapo unakuja Kibaha kupiga kazi.
Je ni rahisi kuweza kukutrace hapo??
Mi nadhani ni uzushi, sudhani kama watekelezaji wa tukio wanaweza kuchukua riski kubwa namna hii eti kutumia wafanyakazi wenzake ilhali wanajua itakua rahisi kutrace unless kama watu wameiga sauti ya mfanyakazi mwenzake kama alivyosema baba yake kwamba mtu anaweza kuiga sauti akajifanya ni boyfriend wakoHapa kwenye wafanyakazi wenzake kumpigia simu ndipo palipo na kila kitu.
Bila shaka walikuwa ni watu wake wa karibu asingeacha kutoka kokote alikokuwa.
Habari nzima itakuwa hapo.
Hizi ni story za kijiweni, sidhani kama kuna ofisi inafanya kazi kizembe namna hiiah ah cheque ya billion moja sio ah ah dah ingekua rahisi hivyo basi wafanyakazi wengi wa bank wangekua mabilionea..eh nani alifanya clearance ya hiyo cheque..halafu kwahiyo mtu unapigiwa tu simu uache kazi ah ah am humbled you know
Mi nadhani ni uzushi, sudhani kama watekelezaji wa tukio wanaweza kuchukua riski kubwa namna hii eti kutumia wafanyakazi wenzakw ilhali wanajua itakua rahisi kutrace unless kama watu wameiga sauti ya mfanyakazi mwenzake kama alivyosema baba yake kwamba mtu anaweza kuiga sauti akajifanya ni boyfriend wako
Hawa BOA si walimkana siyo staff tena? Rest in Peace MarthaKashalala Martha..View attachment 2549155
Kumfanya kuwa bubu au kiziwi hakumnyimi uwezo wa kuandika na kuelezea ushahidi au tukio zimaKama walitaka aishi wangechukua mafuta ya taa ya kutosha wakaweka kwenye vile vichupa vya mafuta ya cherehani halafu wakahakikisha wanamwagia masikio yote mawili asingesikia milele hadi anakufa au wangemfanya kua bubu kabisa yaani jamaa wapuuzi kweli kweli
Original plan ilikuwa very perfect lakini mipango sio matumizi. .. Walitengeneza fake call iliyomzuga marehemu mpaka akaingia kwenye mtego wao wakamdakaHii nayo kwa wabobevu ni rahisi mno. Line ya simu inakupa IMEI namba na inapokuwa mahali simu ikiwa on unajichorea ramani ya matembezi yako. Kifupi utakamatwa. Sisemi mengi bgoja niishie hapo. Hawa wauaji kama alivyosema Mshana Jr watakamatwa kama kuku. Tena familia ina pesa na ndugu zake wana pesa yaani mkate ngumu mbele ya chai hakuna. Tena itakuwa na high level investigation. Mark my words.
umeongea ukweli mtupu mkuu. Na hii tabia imewagharimu wadada wengi wa kichaga.Huyu kuna kitu alikifanya kwa mwenzie huko Shinyanga sema alietendewa hakutaka kumuachia Mungu akaamua kufanya retaliation. Huenda ni kwa mwanaume wake au kwa co-workers wenzake.
Alipangiwa Revenge mission kabisa na inaonesha mtu aliyetekeleza hilo alikuwa anamjua kabisa na kashasoma mazingira ya kwao so akaamua kuwapanga wajuba.
Ukiangalia psychologically aspects mzee wake kumuita binti yake kuwa alikuwa mpambanaji has a lot to do na tabia zake. Wanawake wengi wapambanaji wana ile aptitude ya "Getting it regardless" na "Wacha iwe mbaya tu" which means in case I we kwenye maslahi atahakikisha anagrab benefits zote pekeyake na kama atashindwa basi ataharibu. Hii spirit iko kwa watoto wengi wa kichaga.
Uko sahihi Mkuu Mshana Jr . Damu ni nzito, damu inalia, damu inanena. Wauaji hata wavuke mipaka watakamatwa tu. Wameambiwa wakurudi msibani watakuta mambo mengi yamefukunyuliwa. Baba atahakikisha haki ya Binti haipotei. Binti anazo biashara na Baba ana uwezo. Upelelezi itafanyika wa nguvu kabisa. Hii kesi itakuwa na public interest. Ingekuwa DSM hapa ningehudhuria kabisa. Hivi Kibaha kina High court section? Wailete DSM.Original plan ilikuwa very perfect lakini mipango sio matumizi. .. Walitengeneza fake call iliyomzuga marehemu mpaka akaingia kwenye mtego wao wakamdaka
Hawakutaka kumuua kwa silaha ya moto ama kwa kisu walihofia sauti na uchafuzi wa damu
Kwa hiyo njia rahisi ni sindano ya sumu kisha kumchoma moto ateketekee aishe kabisa.. Mtu akipotea na mwili usipoonekana risk za utuhumiwa zinapungua kwa asilimia 75
Mipango ya Mungu si ya mwanadamu kilichotokea ni tofauti na mpango wa awali
Sindano ya sumu ikachelewa kuchukua uhai wake na moto ukashindwa kumteketeza ... Akazinduka akatafuta msaada
Je wauaji waliyajua yote haya? Kama la walipokuja kujua taharuki ilikuwa kubwa kiasi gani?
Ambaye kachelewa kukimbia na kuvuka mpaka kachelewa kila kitu
Hii itasomwa huku kama mwanzo tu wa ku establish kesi lakini automatically itahamishiwa huko...Uko sahihi Mkuu Mshana Jr . Damu ni nzito, damu inalia, damu inanena. Wauaji hata wavuke mipaka watakamatwa tu. Wameambiwa wakurudi msibani watakuta mambo mengi yamefukunyuliwa. Baba atahakikisha haki ya Binti haipotei. Binti anazo biashara na Baba ana uwezo. Upelekezi itafanyika wa nguvu kabisa. Hii kesi itakuwa na public interest. Ingekuwa DSM hapa ningehudhuria kabisa. Hivi Kibaha kina High court section? Wailete DSM.