Light Saber Imetosha Sasa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 4,639
- 8,335
Are you a criminalogist by profession?
Brother/father?
Brother/father?
Watu wanafikiri Tanzania Ni USA au London watu washambaMkuu hili la "macho ya marehemu ku reveal ..." ni kwenye sinema tu.
Watu wanafikiri Tanzania Ni USA au London watu washamba
Upo sawa kabisaMarehemu awezi kusemwa vibaya.ila aliachishwa kazi kwa sababu ( ).
Cheo chake ni afisa mikopo?.
Mdada mzuri aliyesumbua wanaume mpaka kumiliki gari aina toyota ratics new model.
We jamaa una HOJA USIKILIZWEAlikuwa ajatulia kiasi fulani na uzuri wake umesumbua wasukuma washamba na wenyeji
Sio Kwa TanzaniaOptography, or the idea that the eyes were able to record the last image that a person saw before death, was a widespread and popular “science” in the late 19th and early 20th centuries, albeit it has been debunked as a forensic method.
Wauwaji sio wapuuzi wasifunike nyuso zaoOptography, or the idea that the eyes were able to record the last image that a person saw before death, was a widespread and popular “science” in the late 19th and early 20th centuries, albeit it has been debunked as a forensic method.
Mzee wake alisema hao ni proffesional killers means watakuwa wanafanya kila kitu kutoacha alama na ndiyo maana hata kanisani hawakuonekana japo kulikuwa na CCTV ,aliyeeonekana ni Martha tu ,kwahiyo walijua kabisa kanisani kuna CCTV hivyo walikaa nje.Aiseee pori la mitamba /ranchi ni hatari halafu ni tengefu ni bora serikali walikate viwanja vya makazi,niliwahi kupita hapo nikitokea kibaha kwenda Baobab ,ni hatarishi endapo ukipata breakdown.
Hivi Macho yanarecord taswira za watu? Wazee wa forensic tupeni maujuzi hapa ,kama ndiyo kuretriev data za kwenye macho wanatumia technoljia gani?
Mzee wake alisema hao ni proffesional killers means watakuwa wanafanya kila kitu kutoacha alama na ndiyo maana hata kanisani hawakuonekana japo kulikuwa na CCTV ,aliyeeonekana ni Martha tu ,kwahiyo walijua kabisa kanisani kuna CCTV hivyo walikaa nje.
Kwenye traces za Finger Prints ,Macho,Simu sitaki kwenda sana maana ni issue za kipelelezi na sitaki kuweka wazi mbinu maana tutawapa kazi nzito polisi katika kufatilia issue za kipelelezi.
Na ndio atamtaja informer aliyekuwa kanisaniHuyo aliyepiga simu ya mwisho kumwambia atoke nje ya kanisa ndo amechomesha.. katika ulimwengu wa sasa hakuna kitu rahisi kumshikisha mtu kama simu. Professional wangempiga bomba tu wapite hivi..
Nani kakudanganyaNa wauaji hawakuwa wajuzi
Mzee Ushakutana na Professional Killers Tanzania hiii polisi hawatoboiMzee wake alisema kwamba Martha aliacha kazi kama siku chache zilizopita na kuanza kufanya shughuli zake ,waanzie pia kazini kwake huenda alipiga mshindo akawarusha wenzake na inaoenekana alikuwa mtu wa madili mengi maana mzee wake anasema alikuwa na mali.
Kama alivyosema mshana ,case hii ni very simple kwa wapelelezi maana ina alama nyingi sana za kufatilia wahusika wa mauaji.
Umeandika matope Kila binadamu ana haki ya kuishi hapa sio saudia au IranChonde conde hawa waliofanya kitendo hiki kama watapatikana basi wasifunguliwe mashtaka yeyote Bali watajane wote mwanzo Hadi mwisho alafu na wao wapigwe kibiriti mbele ya camera .
Tusilee ujinga kama huu kwa kuwafunga kifungo Cha maisha.
Wanatakiwa kufa kama wao walivyo ua
Umeandika matope Kila binadamu ana haki ya kuishi hapa sio saudia au IranChonde conde hawa waliofanya kitendo hiki kama watapatikana basi wasifunguliwe mashtaka yeyote Bali watajane wote mwanzo Hadi mwisho alafu na wao wapigwe kibiriti mbele ya camera .
Tusilee ujinga kama huu kwa kuwafunga kifungo Cha maisha.
Wanatakiwa kufa kama wao walivyo ua
Unadanganywa WATU WAMEUA MAELFU NA WAMEKUFA UZEENI MIAKA 90. NAKuna watu mkatili sana, ila wasijidanganye anayeua kwa upanga naye atauawa kwa upanga.
Siku zao zinahesabika
SahauThen ni simple sana, marehemu alikuwa shinyanga inamaana pia maadui na marafiki wengi walikuwa wa shinyanga. Walimchoma moto kwa nia ya kuficha ushaidi hivyo ni wazi kwa jeshi letu hili la polisi lilivyo imara katika kesi za upelelezi nakuhakikishia Mshana Jr watakamatwa nina imani sana na jeshi letu la polisi pamoja na mapungufu yao ila wako smart. Muda ni mwalimu mzuri.