Lodge za Mtwara Mjini

Lodge za Mtwara Mjini

Chuma kipo Mtwara, mwenye mawasiliano ya CP lodge please naskia ni mpya mpya nzuri
 
Splash traveller inn ? Hawa wapo vip nimewaona insta ?
Splash traveller wapo vizuri pale 30-50 kama sijakosea. Uchague mwenyewe utakaa chini au utapanda ghorofani 😁😁
 
Splash traveller inn ? Hawa wapo vip nimewaona insta ?
Splash traveller wapo vizuri pale 30-50 kama sijakosea. Uchague mwenyewe utakaa chini au utapanda ghorofa ni
Mtwara nimeisahau kabisa,hivi ile naff blue Bado IPO katika ubora wake bado?
Naff blue pa kawaida sana na bei ni kama 25 hivi last time nimeenda huko.
 
Kuna moja inaitwa fijo,imejitenga kidogo ipo barabara ya kupita mtaa unaitwa coco beach pamechanganka kidogo wanauza matunda + fast food na pembeni kuna viwanja kama viwili hivi sema nimesahau majina.
 
Ukishuka stand waambie Wakupeleke Tiffan
 
Kuna moja inaitwa fijo,imejitenga kidogo ipo barabara ya kupita mtaa unaitwa coco beach pamechanganka kidogo wanauza matunda + fast food na pembeni kuna viwanja kama viwili hivi sema nimesahau majina.
Ile club inaitwa Triple V, nyingine sifahamu jina ingawa napita kila wikiendi kuelekea La Ville.
 
  • Thanks
Reactions: apk
Splash traveller wapo vizuri pale 30-50 kama sijakosea. Uchague mwenyewe utakaa chini au utapanda ghorofa ni

Naff blue pa kawaida sana na bei ni kama 25 hivi last time nimeenda huko.
Enzi za Artimus ndio ilikuwa ya wenye nazo hiyo
 
  • Thanks
Reactions: apk
Back
Top Bottom