Artimus ndio nani mkuu..Mimi mgeni kidogo mjini 😃😃.. Ila pia iko centre kidogo sehemu za kula na kunywa zipo karibu ni kuswampa tuEnzi za Artimus ndio ilikuwa ya wenye nazo hiyo
Artimus ndio nani mkuu..Mimi mgeni kidogo mjini 😃😃.. Ila pia iko centre kidogo sehemu za kula na kunywa zipo karibu ni kuswampa tuEnzi za Artimus ndio ilikuwa ya wenye nazo hiyo
Ilikuwa kampuni ya kufua umeme kwa kutumia gesi asilia ya methane,baadae ikauzwa Kwa Wentworth,na sasa inamilikiwa na Tanesco.Artimus ndio nani mkuu..Mimi mgeni kidogo mjini 😃😃.. Ila pia iko centre kidogo sehemu za kula na kunywa zipo karibu ni kuswampa tu
CP hii itakua Mkuu ni kaliiKuna Lodge ipo Mtaa wa Indian Quarters jirani na Shangani Secondary. Ni mpya with all amenities you need.
Jina ndiyo silikumbuki, ila kwa mbele kuna mbuyu na shule ya sekondari. Yenyewe bado ni mpya sana.CP hii itakua Mkuu ni kalii
Nauli bei gani huko?Panda gar njoo songea lodge ya buku 5 ina tv, wifi,self conten, mchumba,
Hata wakizoom ila huo ndio ukweli kiongoziwana songea wanaku zoom mwanangu
Wauza vitu gani hawapo? Unakujua kwa Alhaji Lipaja?Ila huku safi sanaa hamna mambo mengi kama mikoa mingene , wale wauza vitu pia hakuna. Safi sanaa
Aaah,tumekuacha ujitape na lindi yenu isiyo na mbele Wala nyuma,Hata wakizoom ila huo ndio ukweli kiongozi
Usichanganye lindi na mtwaraAaah,tumekuacha ujitape na lindi yenu isiyo na mbele Wala nyuma,
Kuna mtu humu alisema ukiwa lindi ukipiga mluzzi lindi yote wanasikia.
Huko kote Kuna kipi Cha ajabu?Usichanganye lindi na mtwara
mtwara_songea 45 kikubwa naul mengine yanajisetNauli bei gani huko?
Hapana MkuuWauza vitu gani hawapo? Unakujua kwa Alhaji Lipaja?
Lindi ndio inafanana na songea ila tukija mtwara ni kitu kingine kabisaHuko kote Kuna kipi Cha ajabu?
Huko wapo wakutosha sana huwa wanaangaliana na fremu za ccm uwanja wa nangwandaHapana Mkuu