cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,102
- 181,132
Ena wenga, nene wa kunyumbaaa.Ni mtu furaha muda wote kumbe mngoni Nyumbi bombii
Ena wenga, nene wa kunyumbaaa.Ni mtu furaha muda wote kumbe mngoni Nyumbi bombii
Safi binamu, vipi wee kwema?Binamu za siku
Sio kivileee, 😂😂😂Inaonekana lodge zote za hapo Songea mjini unazifahamu eti!
Naapa kabisaa, 😂😂😂Sema kweli!!
Au co mngoni mwenzanguWella, iko town centre na pia Msamala Mtazamo.
Ugabe, iko town Centre.
OK iko town karibu na Krista park
Apple iko Bomba mbili
RM iko Bomba mbili.
Hizi utapata watoto wakali kutoka kiwanja kikali na kipyaa hapo Chantaburi.
AM iko Msamala miembeni
Half London hii ni guest iko nyuma ya kiwanja kikali, La charlz, watoto wakali km woteee.
Karibu Songea, karibu Kunyumbaa..
Usengwilii wenga.
Jamani naziona nikiwa napita karibu na maeneo hayo. LolDada watakuuliza umezijuaje?
Mlongoo, nene nikutangatila mgeni huyu, akoto kuyoma pe Pa nyumba hapa.Au co mngoni mwenzangu
Wapii hapo? 😂😂😂Kumbe wenyeji mpo leo ndio nimeia SONGEA NIMELALA LODGE YA KIKUDA KWELI NAJUTA
Karibu sana Songea.Ahsante mkuu kwa ushirikiano mkubwa uliouonesha
Patakufaa Delight, pale utaenjoy sana.Mwezi September nitakuwepo kama 2weeks nitatembelea kote bahati mbaya mimi si mtumiaji wa vilevi siwezi kukaa muda mrefu sehem za vilevi.
Ndo yupi hapoMwenyewee nipo songea natafta gesti piaaa, wana jf toeni ushirikianoo wenzenu tukojoee mazeee dah
View attachment 3394790
Half london pia yafaaa. Pale nirani na nyara nyingiPatakufaa Delight, pale utaenjoy sana.
Vienna lodge bado ipo?Wella, iko town centre na pia Msamala Mtazamo.
Ugabe, iko town Centre.
OK iko town karibu na Krista park
Apple iko Bomba mbili
RM iko Bomba mbili.
Hizi utapata watoto wakali kutoka kiwanja kikali na kipyaa hapo Chantaburi.
AM iko Msamala miembeni
Half London hii ni guest iko nyuma ya kiwanja kikali, La charlz, watoto wakali km woteee.
Karibu Songea, karibu Kunyumbaa..
Usengwilii wenga.
Wahi Hapo Si HabaUsinambie mkuu, nina hela ya kufa mru😆😆
Watakukatikia kioda mpaka usahau kwenuiwe karibu na watoto wakali, J4 nitakuwa hapo,
Kule ni ukali wa vitendo siyo suraWatoto wakali Songea anatoa wapi ?
Vijana wachache sana wanaorudi Nyumbani wengi wao wanakubali wateseke wadhalilike ili mradi waendelee kuishi Dar.Dar ina wenyewe na wenyewe wapo, ila sio mie.
Sasa nisirudi kijijini na ndo kwetu? Na ujue Dar nilikuja kwa fursa fulani, so imeisha nimerudi nilikotoka, ikitokea fursa ingine ntakujaa.
Karibu kunyumba.