Lodge kali Songea Mjini

Lodge kali Songea Mjini

Hicho kitu nilisha kataa, siwezi maisha ya kuigiza.
Kwani Dar ni kitu gani? Nimekaa pale miaka 5, ilivyoisha nimeondoka zangu.

Yaan mtu utaabike. Uhangaike, udhalilike eti kisa kukaa Dar, wakati nyumbani kupo tena fresh kabisaa..
Aaah wee!! Niko home na life linasonga km kawaaa.
Lakini kuna vitu una miss kutoka Dar amvavyo Mikoani hakuna kwa mfano sehemu za kutembea tembea maana mikoani sehemu za kutembea ni umbali mchache yani mnakua kama mmefungiwa kwe uzio fulani.
 
Wella, iko town centre na pia Msamala Mtazamo.
Ugabe, iko town Centre.
OK iko town karibu na Krista park

Apple iko Bomba mbili
RM iko Bomba mbili.
Hizi utapata watoto wakali kutoka kiwanja kikali na kipyaa hapo Chantaburi.

AM iko Msamala miembeni

Half London hii ni guest iko nyuma ya kiwanja kikali, La charlz, watoto wakali km woteee.

Karibu Songea, karibu Kunyumbaa..
Usengwilii wenga.
Natafuta sehemu ya kwenda kutembea december hii ila naona kama Songea ni mbali sana.

Usafiri kutoka Dar hadi huko ukoje? Gharama za malazi na chakula je?
 
Mie sio mtembeaji sasa, ko trips sio vitu vyangu kabisaa.
 
Natafuta sehemu ya kwenda kutembea december hii ila naona kama Songea ni mbali sana.

Usafiri kutoka Dar hadi huko ukoje? Gharama za malazi na chakula je?
Dar hadi songea, via Iringa ni 75, via Lindi ni 85.

Malazi na chakula bei ni affordable kabisaa.
Karibu sana Songea.
 
Wella, iko town centre na pia Msamala Mtazamo.
Ugabe, iko town Centre.
OK iko town karibu na Krista park

Apple iko Bomba mbili
RM iko Bomba mbili.
Hizi utapata watoto wakali kutoka kiwanja kikali na kipyaa hapo Chantaburi.

AM iko Msamala miembeni

Half London hii ni guest iko nyuma ya kiwanja kikali, La charlz, watoto wakali km woteee.

Karibu Songea, karibu Kunyumbaa..
Usengwilii wenga.
Ww wa songea nn 😂😂😂
 
Dar hadi songea, via Iringa ni 75, via Lindi ni 85.

Malazi na chakula bei ni affordable kabisaa.
Karibu sana Songea.
Bar za kula michemsho, nyama choma, kuangalia mpira zipo?
 
Zipo za michemsho, ila ni Kitchen na Restaurant,
Nyama Choma zipo sehemu zake tena kwa ustadi na ladha nzuri.
Sports Lounge Zipo za kutoshaa.

Karibu sana Songea.
 
Dar hadi songea, via Iringa ni 75, via Lindi ni 85.

Malazi na chakula bei ni affordable kabisaa.
Karibu sana Songea.
Bar za kula michemsho, nyama choma
Zipo za michemsho, ila ni Kitchen na Restaurant,
Nyama Choma zipo sehemu zake tena kwa ustadi na ladha nzuri.
Sports Lounge Zipo za kutoshaa.

Karibu sana Songea.
Asante sana mkuu, ngoja nione likizo ipi itanifanya nifike huko.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom