Lodge kali Songea Mjini

Lodge kali Songea Mjini

Wella, iko town centre na pia Msamala Mtazamo.
Ugabe, iko town Centre.
OK iko town karibu na Krista park

Apple iko Bomba mbili
RM iko Bomba mbili.
Hizi utapata watoto wakali kutoka kiwanja kikali na kipyaa hapo Chantaburi.

AM iko Msamala miembeni

Half London hii ni guest iko nyuma ya kiwanja kikali, La charlz, watoto wakali km woteee.

Karibu Songea, karibu Kunyumbaa..
Usengwilii wenga.
Duh mkuu kama meneja mwandamizi.
 
JF Great Thinkers, hakiharibiki kitu, nmeshafika Songea, nimekula lunch Delight Garden Park, lodge =PNC hotel, ahsanteni watu wa Jamii Forum
Usiku huu nenda La charlz au Chantaburi ukasuuze koo na maji ya uzima.
😂😂😂😂😂
 
Cocastic hongera, nimeonaa umechukua fomu ya mboga mboga kugombea Ubunge huko.
 
Wella, iko town centre na pia Msamala Mtazamo.
Ugabe, iko town Centre.
OK iko town karibu na Krista park

Apple iko Bomba mbili
RM iko Bomba mbili.
Hizi utapata watoto wakali kutoka kiwanja kikali na kipyaa hapo Chantaburi.

AM iko Msamala miembeni

Half London hii ni guest iko nyuma ya kiwanja kikali, La charlz, watoto wakali km woteee.

Karibu Songea, karibu Kunyumbaa..
Usengwilii wenga.
Wella sio pabaya kuna jamaa chini pale anakaanga mbuzi na vitunguu vingi
 
Hicho kitu nilisha kataa, siwezi maisha ya kuigiza.
Kwani Dar ni kitu gani? Nimekaa pale miaka 5, ilivyoisha nimeondoka zangu.

Yaan mtu utaabike. Uhangaike, udhalilike eti kisa kukaa Dar, wakati nyumbani kupo tena fresh kabisaa..
Aaah wee!! Niko home na life linasonga km kawaaa.
Shangaa wewe sasa, watu wana kelele humu alafu ukute Dar yenyewe kapanga kwenye zile nyumba kati korido huku chumba kule chumba 😀😀😀 kama kwenye kombolela.
Kuna siku nilikwambia hizi fake ID ukiunganisha dot wallaih unaweza mjua mtu.

Kuna mdada maarufu sana humu, nilikuta post insta yuko shughulini alafu kala tag pale. Jina lake likanigusa moyoni. Nikacheki post zake, nikarud humu kucheki comments zake. Wallaih 95%naamini ni yeye. Na jina analotumia insta na hapa limetofautiana herufi 1 TU.

Kama ni yeye kweli, na ninaamini ni yeye, aiseee, watu tunachukuliana poa, huyu Dada anaishi jamani, alafu mzuriiii 😍😍
Mimi dar najiegesha ila huyu Dada wa mkoani anaishi jamani, aaah. Watu wanapambana na big business mikoa, mawinga wa kariakoo na mabando yao wako kuwanyali watu na maisha yao. Eti kisa dar.
 
Wengi wamejichubua aisee mimi huwaga sina mzukanao😆😆
😀😀😀 wengi wa wapi jamani, mbona unawasingizia hivi. Emu sema uliko niambie watoto wazuri wapite hapo uje utoe ushuhuda hapa.
 
Shangaa wewe sasa, watu wana kelele humu alafu ukute Dar yenyewe kapanga kwenye zile nyumba kati korido huku chumba kule chumba 😀😀😀 kama kwenye kombolela.
Kuna siku nilikwambia hizi fake ID ukiunganisha dot wallaih unaweza mjua mtu.

Kuna mdada maarufu sana humu, nilikuta post insta yuko shughulini alafu kala tag pale. Jina lake likanigusa moyoni. Nikacheki post zake, nikarud humu kucheki comments zake. Wallaih 95%naamini ni yeye. Na jina analotumia insta na hapa limetofautiana herufi 1 TU.

Kama ni yeye kweli, na ninaamini ni yeye, aiseee, watu tunachukuliana poa, huyu Dada anaishi jamani, alafu mzuriiii 😍😍
Mimi dar najiegesha ila huyu Dada wa mkoani anaishi jamani, aaah. Watu wanapambana na big business mikoa, mawinga wa kariakoo na mabando yao wako kuwanyali watu na maisha yao. Eti kisa dar.
Hapo sasa, 😂😂😂
 
Back
Top Bottom