cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,102
- 181,131
๐๐๐๐๐ khaaah uduguu. LolTanzania ndo nchi pekee nyumba za wageni wanalala wenyeji..!! ๐น๐น
๐๐๐๐๐ khaaah uduguu. LolTanzania ndo nchi pekee nyumba za wageni wanalala wenyeji..!! ๐น๐น
Panatazama Na Ofisi Ya HalmashauriBas sawaa.
Ni mtu furaha muda wote kumbe mngoni Nyumbi bombiiNini?
Yeaaah nene wa kunyumbaaa.Nyumbi bombii
Yess ni penyewee.Panatazama Na Ofisi Ya Halmashauri
Kwa ukarimu huu inatamanisha kufika huko Songea.Wella, iko town centre na pia Msamala Mtazamo.
Ugabe, iko town Centre.
OK iko town karibu na Krista park
Apple iko Bomba mbili
RM iko Bomba mbili.
Hizi utapata watoto wakali kutoka kiwanja kikali na kipyaa hapo Chantaburi.
AM iko Msamala miembeni
Half London hii ni guest iko nyuma ya kiwanja kikali, La charlz, watoto wakali km woteee.
Karibu Songea, karibu Kunyumbaa..
Usengwilii wenga.
๐น๐น๐น Uongo uduguu๐๐๐๐๐ khaaah uduguu. Lol
Kwa kwelii. ๐๐๐๐น๐น๐น Uongo uduguu
Karibu sanaa kunyumba.Kwa ukarimu huu inatamanisha kufika huko Songea.
Huo mji lodge ni nyingi Ila kupata ikifika saa mbili usiku huwa nimtiti,Wakuu anaejua lodge nzuri Songea Mjini, iwe karibu na watoto wakali, J4 nitakuwa hapo, isiwe mbali na Mjini.
Naunga mkono hojaNDGU UKOKA ACHA UZINZI
Shukurani sana mkuu, panapo majaliwa nitakaribia.Karibu sanaa kunyumba.
Hawezi kupata labda kama anataka kutoa ugwadu tu.Nimeshangaa sana. Wamefubaa mno. Au wanapiga hivyo hivyo
Poaa!!Shukurani sana mkuu, panapo majaliwa nitakaribia.
Niliingia Hapo PazuriYess ni penyewee.
Panavutia sana. Uko sahihi.Niliingia Hapo Pazuri
Nimepita pita songea sijaona madem wakali๐๐๐๐
Afu huwezi amini, hakuna hata 1 niliyowahi gusa hata mlango wa Reception..
Naziona tyuuh nikiwa napita karibu na maeneo hayo. Lol
Kuna Wadada Wa KichagaPanavutia sana. Uko sahihi.
Wamefika na huko?Kuna Wadada Wa Kichaga
Kunae m1 ni mtu wa chuga, nilim note, na ni best angu pia.Kuna Wadada Wa Kichaga