fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 5,615
- 7,176
duh dunia ya leo bado hujui mademunutawapataje?Wakuu anaejua lodge nzuri Songea Mjini, iwe karibu na watoto wakali, J4 nitakuwa hapo, isiwe mbali na Mjini.
duh dunia ya leo bado hujui mademunutawapataje?Wakuu anaejua lodge nzuri Songea Mjini, iwe karibu na watoto wakali, J4 nitakuwa hapo, isiwe mbali na Mjini.
Watoto wakali SONGEA? hahahaha, si masika wala kiangazi, nenda MBINGA MHALULE unaweza kupataWatoto wakali
Mkuu umenikumbusha mbali sana, hahahaaa
Wella, iko town centre na pia Msamala Mtazamo.
Ugabe, iko town Centre.
OK iko town karibu na Krista park
Apple iko Bomba mbili
RM iko Bomba mbili.
Hizi utapata watoto wakali kutoka kiwanja kikali na kipyaa hapo Chantaburi.
AM iko Msamala miembeni
Half London hii ni guest iko nyuma ya kiwanja kikali, La charlz, watoto wakali km woteee.
Karibu Songea, karibu Kunyumbaa..
Usengwilii wenga.
Jioni pigapiga misele maeneo ya LIZABON huwezi kosa wa kuchinjaJF Great Thinkers, hakiharibiki kitu, nmeshafika Songea, nimekula lunch Delight Garden Park, lodge =PNC hotel, ahsanteni watu wa Jamii Forum
Wanajua kinoma, kama WANYAMWEZI, na si wachoyoWangoni msingi kiuno...
Wella, iko town centre na pia Msamala Mtazamo.
Ugabe, iko town Centre.
OK iko town karibu na Krista park
Apple iko Bomba mbili
RM iko Bomba mbili.
Hizi utapata watoto wakali kutoka kiwanja kikali na kipyaa hapo Chantaburi.
AM iko Msamala miembeni
Half London hii ni guest iko nyuma ya kiwanja kikali, La charlz, watoto wakali km woteee.
Karibu Songea, karibu Kunyumbaa..
Usengwilii wenga.
Umeelezea deep sana, unaishi huko ? Usengwili wenga 😊 😃Wella, iko town centre na pia Msamala Mtazamo.
Ugabe, iko town Centre.
OK iko town karibu na Krista park
Apple iko Bomba mbili
RM iko Bomba mbili.
Hizi utapata watoto wakali kutoka kiwanja kikali na kipyaa hapo Chantaburi.
AM iko Msamala miembeni
Half London hii ni guest iko nyuma ya kiwanja kikali, La charlz, watoto wakali km woteee.
Karibu Songea, karibu Kunyumbaa..
Usengwilii wenga.
Bado hujapata Demu mkuu..😄JF Great Thinkers, hakiharibiki kitu, nmeshafika Songea, nimekula lunch Delight Garden Park, lodge =PNC hotel, ahsanteni watu wa Jamii Forum
Wengi yulichapwa kwaajili ya hii ngoma, nakumbuka walikuja dada zangu kunitafuta usiku nikajificha chooni mpaka walipoondoka nikarudi nyumbani saa 8 usiku nikapokelewa na fito za uhakika 🤣Kama kuna kitu kuna kitu mamaangu kanipiga utotoni, ni huu ujinga wa kufuata lizombe hata kilomita 100. Tunakusanyana watoto kundi kwenda kwa mzee kajogoro 😄😄
Ni kweli mkuu halafu ni kama wana bearing viunoniWangoni msingi kiuno...
Ipo.Vienna lodge bado ipo?
😂😂😂😂Wengi wamejichubua aisee mimi huwaga sina mzukanao😆😆
Hicho kitu nilisha kataa, siwezi maisha ya kuigiza.Vijana wachache sana wanaorudi Nyumbani wengi wao wanakubali wateseke wadhalilike ili mradi waendelee kuishi Dar.
😂😂😂😂Mwambie asikose kula pitiku.
Udagala hapana