LL.B 1st class holder

First Class kukosa kazi kuna tatizo. Inawezekana ulikuwa unameza tu huwezi hata kuelezea unachojua. Law firms kibao, Ofisi ya DPP, Vyuo, Companies, kote umeshindwa?

Wewe utakuwa una first classya kumeza.
 
Mnaponda sana kuhusu tumaini nyie watu ila kwa taarifa yenu ndo chuo kinachotoa watu wazuri kwa sheria nenden law xul muone wanafunz gan wanaongoza kwa kufaulu tena first seating co kwa kusup...chezea nyie.ulizeni maadvocate walioapishwa tar 6/12/2013 wengi product ya tumain.shenzi nyie.hao ud mambulula tuu nenden law xul mkaone wanavyofanya discussion zao za ki form one.nyie vip nyie.kitanda usichokilalia hujui kunguni wakee.
 
Dah uandishi huu kweli TUMAINI hamna kitu
 
Kumbe 1st yenyewe ya Tumaini!.
Hebu naomba usiaibishe heshima ya 1st Class, tangu lini 1st class holder wa sheria akatafuta kazi?. Hii ni dalili hiyo 1st class yako ni ya kupewa tuu ili mboost image ya Tumaini.

UDSM nazijua 1st Class tatu, Dr. Asha Migiro, Prof. Palamagamba Kabudi na Prof. Hamudi Majamba ambaye ya kwake ndio ya mwisho 80's mpaka sasa, more than 20 years Ist Class haijawahi kupatikana tena, hivyo lazima nione ajabu 1st class wa LL.B kutafuta kazi. Very unusual!.

acha kuwa na mtazamo finyu kwani tumaini sio chuo?
 
Jamani vitu vimebadilika. cku hizi hakuna how you perform it is just who knows you.
kama kuna mtu anaweza kumsaidia amsaidie tu. mimi mwenyewe nimemaliza UDSM nilikua nakimbiza balaa kuanzaia primary mpaka chuo.
lakini no body cares nipo hm.

mbona wenzio hapo juu wanajitapa sana na hicho chuo nikajua wenzetu mliosoma UDSM kusoma tu UDSM ni moja ya qualification ya kupata kazi
 
1st class ya tumaini,ha ha ha,nakumbuka wakat law school,inaanza pale udsm,walikuja 1st class wa tumaini na mbwembwe zao,ukiwaona wako tofauti na wanafunz wa law pale udsm,kilichowakuta ni huzuni,thats why wanaogopa kwenda law skul hadi leo,udsm sio mchezo pale ni kitabu.

acha kuandika vitu vya uwongo, umepitia cohort zote na kuona hakuna wanafunzi wakutoka tumaini?sisi kwenye firm yetu nusu walikuwa wanafunzi kutoka tumaini na mmoja tu kutoka UDSM je ningekuwa sahihi kama ninge conclude kuwa waliosoma UDSM wanaogopa kwenda lawschool? Halafu mbona nawafahamu watu wengi tu waliosoma law school kuoka tumaini na wamefaulu, au wewe ulisoma law school ya nchi gani?
 
Lakini na nyinyi acheni dharau. Kwa nini mnabeza hivyo hizo festi klasi za Tumaini? Kwani wanaosoma Tumaini hawawezi kuwa na festi klasi? Acheni dharau zenu hizo. Kusoma UDSM wala si ujiko kihivyo.

kuna mtu kaandika hapo juu eti first class ya tumaini nisama na form six PCM, wanaona kama hicho chuo kilishushwa kutoka mbinguni
 
Aisee tumaini siyo chuo ile ni club hamna kitu pale mi nimewaona wanavyochemka mahakamani graduates wa tumaini yaani unajiuliza huyu naye ni wakili au hiyo sahau ningeshangaa kama ungekuwa na 1st class ya Mzumbe halafu huna kazi ud hakutakuwa tena na 1st class kwakuwa wanafnzi huendekeza ngono zembe, pombe,bangi,unga,disco,kuvaa,muda wa shule wataupata wapi ushahidi kagua matokeo ya faculty of law utaona pass,disco,repeat year zilivyo nyingi mwaka 2002 waliopata upper 2nd walikuwa kumi na lower. Walikuwa 52 the rest walifeli sasa hapo ni shule wameenda kukua!!!!!!!

kwahiyo hiyo hiyo 2002, ndo sample yako ambayo unaitumia hadi 2014, nakushangaa sana, ukombozi wa kifikra kwako bado sana kama hivyo ndivyo unavyo reason mambo
 
Kesho nitatuma list ya recruitment agencies, watu wasikukatishe tamaa. Naamini ulijibidiisha ukaipata. Sasa kwanini watu hawataki ujisifie kwa ulichokivuna?
Nje ya nchi lecturers wanafurahi wanapoona wanafunzi wao wana pass, lakini kwa Tanzania ni tofauti.

wana muonea wivu kwavile wao wana pass aka gentle man
 
Kumbe 1st yenyewe ya Tumaini!.
Hebu naomba usiaibishe heshima ya 1st Class, tangu lini 1st class holder wa sheria akatafuta kazi?. Hii ni dalili hiyo 1st class yako ni ya kupewa tuu ili mboost image ya Tumaini.

UDSM nazijua 1st Class tatu, Dr. Asha Migiro, Prof. Palamagamba Kabudi na Prof. Hamudi Majamba ambaye ya kwake ndio ya mwisho 80's mpaka sasa, more than 20 years Ist Class haijawahi kupatikana tena, hivyo lazima nione ajabu 1st class wa LL.B kutafuta kazi. Very unusual!.

Chezea Kitivo wewe....!!!!
 
Hilo jina tu.

Na hivi ni kwa nini hakujawa na 1st class tokea miaka hiyo. Nini kilicho kigumu kuhusu sheria ambacho kinawafanya watu washindwe kupata hizo 1st class?

Au wanafunzi wanaochukuliwa kwa hiyo kozi ni vilaza?

Bwana Nyani (Kima/Tumbili) ni kwamba Kitivo cha Sheria hakigawi marks bali kinatoa ueledi
 
daaaa inaonyesha wewe ujasoma LLb kabisa kama wewe umesoma law karibu law school of tanzania njoo na hiyo 1 class yako utukute sisi wenye pass uone jinsi tunavyokukimbiza kama vile hujawahi kusoma ok

kwani mtoa mada amesema anatafuta wa kushindana nae? Anatafuta kazi, kama hata popic huielewi je kushindana nae utaweza? Au ndo makelele ya debe tupu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom