haule.scola
Senior Member
- Jul 23, 2012
- 148
- 28
Mkuu wewe umeajiriwa wapi maana hata kuandika hujui, tuanzo ndio nini??
ameajiri buguruni
Mkuu wewe umeajiriwa wapi maana hata kuandika hujui, tuanzo ndio nini??
Tumaini kuna degree za kyupi na rushwa ya pesa.
Am pretty sure hoja yako wameiona wakaichunia.
Hawa wanasheria wana kelele sana wakidhani wao tu ndo wamesoma vitu vigumu. Wakati vitabu vyao ni kama story za Shigongo tu.
Kaka kusoma miaka mi3 au mi4 cyo determinant ya kuwa mkali LL.B instead ni mtaala tu wa chuo husika wanavyoupanga, wewe ungekua msomi ucngekurupuka kuandika mashudu kama haya, kwa taarifa tu ni kwamba ili degree itimie na kuna idadi ya units kadhaa kama ckosei ni 360 ambazo zinapatkana ktk masomo principal na electives ambayo mwanafunzi anasoma chuoni (kwa kozi nzima ya LL.B in Common Law countries principal subjects ni 36 na kila somo lina units 10 kwahiyo 36 ¤ 10 = 360 units ambazo ndio znakamilisha Degree, ila ukikuta chuo kinaamua kuongeza masomo pia haijakatazwa ila 36 ndio Lazima)
Mzumbe for example wao ni miaka 3 na kwa semester wanasoma masomo 6 so mara semester 6 ni masomo 36 tayari, Udsm na SAUT on the contrary wanasoma less than 6 subjects kwa semester sasa mathematically tu unahic watamaliza masomo yote 36 ndani ya miaka 3!!? Ndio maana wanaongezea mwaka wa 4 lakini haimaanishi kwamba eti huo extra year ndio wanapewa nondo za kuwatofautisha na vyuo vingine hamna kitu inshort hamna ulichosoma ww mtu wa miaka 4 ambacho mwenzio aliesoma miaka 3 hajakisoma!, acha nonsense uwe mdadisi cku nyingine na for the record kwa taarifa yako hvyo vyuo unavyovijua wewe kwamba ndio top duniani kama Harvard, Cambridge, Oxford, Princeton na Duke University na vingine kibao hapahapa Africa esp vya South Africa na Kenya LL.B ni miaka 3, jitahid kumeza hivyohivyo hata kama ya uchungu!
Kumbe 1st yenyewe ya Tumaini!.
Hebu naomba usiaibishe heshima ya 1st Class, tangu lini 1st class holder wa sheria akatafuta kazi?. Hii ni dalili hiyo 1st class yako ni ya kupewa tuu ili mboost image ya Tumaini.
UDSM nazijua 1st Class tatu, Dr. Asha Migiro, Prof. Palamagamba Kabudi na Prof. Hamudi Majamba ambaye ya kwake ndio ya mwisho 80's mpaka sasa, more than 20 years Ist Class haijawahi kupatikana tena, hivyo lazima nione ajabu 1st class wa LL.B kutafuta kazi. Very unusual!.
Dege Dege, Lissu ni school mate wangu tangu Ilboru, wakati huo akiitwa Antipas Tundu na alikuwa toto tundu kweli.
Pia ni kweli ndio alikuwa best performer wa mwaka wake lakini kuwa best performer ni kitu kimoja na kupata 1st Class ni kitu kingine. Best performer anapatikana kila mwaka hata darasa zima wakipata pass, mwenye lower second ndie best perfomer.
Tindu Lissu alipata Upper Second na GPA ya juu kabisa with honours ila sio 1st Class.
Mlisikia wapi Ist Class wa Law anaomba kazi?. 1st Class wote kwanza huwa wanakuwa retained na chuo husika. Hugombewa kupewa scholaship ya masters na ajira juu, hivyo mwenye 1st Class huunganisha shule na sio kutafuta kazi, kazi ndizo huwa zinawatafuta watu hawa!.
tundu lissu alikuwa mtundu wa nini? class au?