LL.B 1st class holder

Lakini na nyinyi acheni dharau. Kwa nini mnabeza hivyo hizo festi klasi za Tumaini? Kwani wanaosoma Tumaini hawawezi kuwa na festi klasi? Acheni dharau zenu hizo. Kusoma UDSM wala si ujiko kihivyo.
yaani wanavyomponda huyu dogo! Kwani akisema ana first kinachokwaza nini! Dogo yupo sokoni acheni ajitangaze.
Watu wamejaa majungu tu humu. Watz kweli hatupendani.
 
inaonekana wewe sio mfatiliaji wa sekta ya sheria... kama tumaini ni wanapendelewa mbona LAW SChool kwa COHORT tatu mfululizo best student an anatoka TUMAINI IRINGA au Ndio kusema HATa LAW SCHOOL WANAPENDELEA wanafunzinzi wa Tasmaini, mpaka sasa ni COHORT YA TISA MAJIBU YAMESHATOKA kwa COHORT ya 1, 2, 3,4, 5, na ya 6 kuanzia COHORT ya 4,5, na ya sita best sutdent ni from TUMAINI IRINGA, na ukumbuke LAWSCHOOL Ina fundishwa na mawakili mashuhuri na walimu WA UDSM akiwemo, PROF MAJAMBA< DK> TENGA< DK< TWAHIBU na wengine wengi kutoka UDSM faculty of LAW.
Ist class ya Tumaini?nyambaf..ni sawa na pass ya UDSM...maana hicho chuo mnadanganywa mnapewa marks za juu ili kuvutia biashara..
 
Kumbe 1st yenyewe ya Tumaini!.
Hebu naomba usiaibishe heshima ya 1st Class, tangu lini 1st class holder wa sheria akatafuta kazi?. Hii ni dalili hiyo 1st class yako ni ya kupewa tuu ili mboost image ya Tumaini.

UDSM nazijua 1st Class tatu, Dr. Asha Migiro, Prof. Palamagamba Kabudi na Prof. Hamudi Majamba ambaye ya kwake ndio ya mwisho 80's mpaka sasa, more than 20 years Ist Class haijawahi kupatikana tena, hivyo lazima nione ajabu 1st class wa LL.B kutafuta kazi. Very unusual!.
Hapo kwenye Bold hapo...hebu fafanua vizuri, hii ya huyu mama ipoje....mbona yakwake haionekani kuwa yenye tija sana.....? siongei hivyo kwa maana yetu ile ya mfumo dume plzzzzz.
 
<font size="3"><span style="font-family: comic sans ms">Si wote wanapenda kuwa maticha</span></font>
naungana na wewe, ila ndio aje humu jf kutafuta kazi?!. 1st wenzake wote wanaunganisha masters straight forward iweje yeye ahangaike na ajira?!. Unless tangazo hili la kutafuta ajira ni Advirtise kuwa na yeye ni learned brothers/sisters tena mwenye distinction!.
 
naungana na wewe, ila ndio aje humu jf kutafuta kazi?!. 1st wenzake wote wanaunganisha masters straight forward iweje yeye ahangaike na ajira?!. Unless tangazo hili la kutafuta ajira ni Advirtise kuwa na yeye ni learned brothers/sisters tena mwenye distinction!.
Sawa, lakini usiseme wakali wote undergraduate wanategemewa wabaki au lazima wabaki kuwa maticha college. Hizo scholarship za masters sio lazima uwe na distinction kuzipata, uongo? So, mjanja hawezi necessarily kuvutiwa na u-ticha wa University of Dar-es-Salaam badala ya kwenda mtaani kuwa established advocate au kazi nyingine.


 
natafuta Kazi graduate frm Tumaini Very talented in law practice
KUKU KUKU TU JOGOO JINA,UDSM ZAMANI, SIKU IZI WA2 KUTOKA VYUO VINGINE WANAKIMBIZA... ALAFU WANAOKUWA NA LIFE ZURI UWA NI WA VYUO VINGINE NA NDIO WAJANJA, ILA WA UDSM KIUKWELI WENGI WAO NI WALUGA LUGA YANI WAKUJA, WASHAMBA.. "samahani kwa maneno yangu yanye ukweli ndani yake"
 
mnaompa mtu option ya kwenda kufundisha kama njia ya kujipumzisha wakati anasubiri apate anachotaka mnanitatiza sana.

Haya ndo matokeo ya kupata wakufunzi wa aina tuliyonayo na madhara yake kwenye elimu tunayaona.
Ualimu ni wito jamani.....

Ndo tutaishia kwenye kuwafananisha na kuwatofautisha Pro. Kanywanywi na akina Kabudi...
 
Jamani vitu vimebadilika. cku hizi hakuna how you perform it is just who knows you. <br />
kama kuna mtu anaweza kumsaidia amsaidie tu. mimi mwenyewe nimemaliza UDSM nilikua nakimbiza balaa kuanzaia primary mpaka chuo.<br />
lakini no body cares nipo hm.
acha urongo wewe, umekimbiza nin na umemkimbiza nan hapo UDSM?
 
Du! mwanangu ulikuwa kipanga kweli weye.

Vipanga ni wale wanaosomea rocket science bana. Vipanga watakuwa wanasheria? Acha masihara bana....ndo maana nimeuliza huko nyuma, ugumu wa sheria ni nini? Kukremu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom