LL.B 1st class holder

LL.B 1st class holder

Kesho nitatuma list ya recruitment agencies, watu wasikukatishe tamaa. Naamini ulijibidiisha ukaipata. Sasa kwanini watu hawataki ujisifie kwa ulichokivuna?
Nje ya nchi lecturers wanafurahi wanapoona wanafunzi wao wana pass, lakini kwa Tanzania ni tofauti.
 
Bluu: hapa pia tupo pamoja ebu cheki CV ya Sophia Simba, nae kasoma LL.B UDSM na kupata LL.B (Hons)!! Cheki hapa Parliament of Tanzania.

Kumbe Da Sofie naye alihitimu na honors? Mweh! Na ni kutoka hapo hapo kwenye fabled UDSM faculty of law ambayo haitoi first class kama njugu! Teh teh teh!

Halafu hebu angalia hizo tarehe uone kama zimekaa sawa! Something ain't adding up. LL.B yake aliisomea kwa miaka 7? Na certificate in law aliisomea miaka 5?

Things that make you go hmmmm.......

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="bgcolor: #b4c6db, colspan: 5"]EDUCATIONS[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 35%, bgcolor: #b4c6db"]School Name/Location [/TD]
[TD="width: 27%, bgcolor: #b4c6db"]Course/Degree/Award [/TD]
[TD="width: 15%, bgcolor: #b4c6db, align: center"]Start Date[/TD]
[TD="width: 13%, bgcolor: #b4c6db, align: center"]End Date[/TD]
[TD="width: 10%, bgcolor: #b4c6db, align: center"]Level[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]University of Dar es Salaam
[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0, align: center"]LLB (Hons.)[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0, align: center"]1987[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0, align: center"]1994[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0, align: center"]GRADUATE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Ilonga Middle School[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0, align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0, align: center"]1961[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0, align: center"]1964[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0, align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Kibosho Secondary School[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0, align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0, align: center"]1968[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0, align: center"]1969[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0, align: center"]SECONDARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]MekanForbidant College-Sweden
[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0, align: center"]Information Studies[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0, align: center"]1982[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0, align: center"]1982[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0, align: center"]CERTIFICATE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]University of Dar es Salaam[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0, align: center"]Certificate in Law[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0, align: center"]1982[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0, align: center"]1987[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0, align: center"]CERTIFICATE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]University of Zimbambwe[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0, align: center"]Postgraduate (Women's Law)[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0, align: center"]1996[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0, align: center"]1997
[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0, align: center"]POSTGRADUATE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]New Hemphshire University[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0, align: center"]MSc.(Community Economic Development)[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0, align: center"]2005[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0, align: center"]2007[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0, align: center"]MASTERS DEGREE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]NBC Secretarial College[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0, align: center"]Pitman's secretarial Certificate[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0, align: center"][/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0, align: center"][/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0, align: center"]CERTIFICATE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Kilakala Primary School[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0, align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0, align: center"]1958[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0, align: center"]1961[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0, align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Forest Hill Secondary School[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0, align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0, align: center"]1966[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0, align: center"]1968[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0, align: center"]SECONDARY[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
1st Class wote kwanza huwa wanakuwa retained na chuo husika. Hugombewa kupewa scholaship ya masters na ajira juu, hivyo mwenye 1st Class huunganisha shule na sio kutafuta kazi,
Si wote wanapenda kuwa maticha
 
Kama 1st class ya Tumaini ni sawa na PASS ya UDSM.
Kwahiyo 2nd classes za Tumaini ni sawa na FAIL za UDSM?
Ivi kama UDSM hawatoi 1st class kutokana may be na urasimu uliopo,je na vyuo vingine wasitoe coz Udsm ziko chache?
Vyuo vingine waangalie UDSM wanafanyaje ndio wao waige?
Hamuon kuwa sasa vyuo ni vingi hata wasomi watakuwa wengi pia, so 1st class za LL.B zikawa nyingi pia kuliko zamani?
Mim nadhani wapo wenye 1st class za Law wengi kwa iyo sio wote wataweza kuwa retained na vyuo,so wengine ndo wanajitafutia kazi kama huyu.
"Mtazamo2."
 
Ist class ya Tumaini?nyambaf..ni sawa na pass ya UDSM...maana hicho chuo mnadanganywa mnapewa marks za juu ili kuvutia biashara..

Pooooooleee sana,kumbe na wewe bado una kasumba za bongo lala??? hivi una akili mpaka uifananishe PASS ya UDSM na 1st class ya 2mine??

Sasa kwa taarifa yako tu,kama unaongelea Tumaini lazima ujue kama ni Iringa au Dar au Makumira,kama ni Tumaini Dar,mziki wake 1st class ya UDSM ni sawa na Pass tu ya Tumaini,waulizie waliotokea UDSM wakajiunga na tumaini dar ni wangapi hawaku disco, pili waulize ndugu zako wa UDSM kati ya wanafunzi wanao clear law school ni wangapi wanatoka udsm????na wangapi wanaotoka tumaini then njoo na upuuzi wako huo jamvini.

Pili, kwa taarifa yako,Tumaini Dar inafundishwa na ma lecturer wote wa kutoka UDSM,na wote wanakamua mule mule,wakiongozwa na Dk. Lamwai,Dk.Tenga....................na wengine wooote,kama hao walikuwa wanawabeba UDSM basi hata hizo 1st class upupu tu,lakini kwa 2mine dar ni ishu tofauti.......usirudie kutusi taaluma za wa2 mb..........wewe.
 
Ulichokiongea bro ni uhalisia.

Kuwa na 1st class ya law si mchezo.
Kaz ndizo huwatafuta wa2 hawa popote walipo na sio wao kutafuta kazi.

Hakukuwa na haja ya ku2ambia ana 1st class.
Ange2ambia kamaliza law anatafuta kaz 2ngemwelewa na angepata ushauri mzuri.
Kuliko kujitamba kwenye utupu na kuleta gunzo kwa Great Thinkers. Thx.
 
Ugumu wa sheria ni nini hasa?
 
We need a smart lawers ( a lawers that win cases ) and not a first class lawer (lawer who know laws)
 
Kesho nitatuma list ya recruitment agencies, watu wasikukatishe tamaa. Naamini ulijibidiisha ukaipata. Sasa kwanini watu hawataki ujisifie kwa ulichokivuna?

Nje ya nchi lecturers wanafurahi wanapoona wanafunzi wao wana pass, lakini kwa Tanzania ni tofauti.
thanx rich dad we una ubinadamu hao vilaza am waitng 4ua pm
 
pole saaana............wewe ni mmoja wa wahanga walionyimwa udahili UDSM ukatafuta hifadhi kwingine...........hata ukukashifu...........UDSM quality iz there to stay!!!!!!!!!!!! pole kwa kukosa golden chance uliyoitamani kwa muda mrefu!!!!!!!!!!!

kama unasema mnafundishwa na walimu wa UD basi unakubali kuwa UD wakali...........mbona UD haiaziimi walimu kutoka Tumaini???

sorry 4ua concious!!!!!!!
jamani msibishane ukweli hata me nlitamani UDSM bt isiwe mada me 1st class ni yangu japo wanasema ukidisco UDSM vyuo vingne unaenda endelea bt LL.B NI LL.B tu
 
Ugumu wa sheria ni nini hasa?

Ugumu wa sheria ni Kingereza na memory ya kutosha ndugu yangu; wewe najua kwa vile unakigonga vizuri sheria kwako inaweza ikawa siyo ngumu kusoma. Sasa kazi kijana aliyesoma sekondari ya kata halafu akasome sheria......lugha tu yenyewe ni mtihani; Mbaya zaidi hakupewa chakula chenye virutubisho muhimu tangu utotoni hivyo hata hiyo CPU ya ubongo wake ipo kimtindo halafu akasome ma-volume ya vitabu ataweza. Ni mtazamo tu.
 
Kwa taarifa za karibuni hawa wanafunzi wa Tumaini Dsm wanafanya vizuri law school. Lakini pia nako hamna first class nyingi.
 
Ugumu wa sheria ni Kingereza na memory ya kutosha ndugu yangu; wewe najua kwa vile unakigonga vizuri sheria kwako inaweza ikawa siyo ngumu kusoma. Sasa kazi kijana aliyesoma sekondari ya kata halafu akasome sheria......lugha tu yenyewe ni mtihani; Mbaya zaidi hakupewa chakula chenye virutubisho muhimu tangu utotoni hivyo hata hiyo CPU ya ubongo wake ipo kimtindo halafu akasome ma-volume ya vitabu ataweza. Ni mtazamo tu.

Hapo ndo huwa nachoka kabisa. Sheria ni zetu wenyewe halafu zinatungwa kwa lugha ya kigeni na fani kusomewa kwa lugha ya kigeni. Kama hata sheria zetu wenyewe hatuwezi kujitungia katika lugha yetu ni nini ambacho tutaweza?

Binafsi sioni kabisa ugumu wowote ule katika kuzitunga sheria zetu kwa lugha yetu ya Kiswahili. Tunashangaza sisi.
 
jamani msibishane ukweli hata me nlitamani UDSM bt isiwe mada me 1st class ni yangu japo wanasema ukidisco UDSM vyuo vingne unaenda endelea bt LL.B NI LL.B tu

I CONCUR JANJA PORI.................omba ufundishe chuo kipindi unatafuta kazi kwingine........as u know smth iz better than nothing!!!!!!!!
 
Learned friend aliyemuhukumu mbwa (migration)kifo kwa kupigwa rungu na mmiliki wake hadi kufa ni zao la DSM university law school au?
 
Hii nayo ilikuwa kesi mahakamani?
Kesi hii ilizuwa msisimko mkubwa late 90s sumbawanga kama sijakosea kati ya mliki wa mbwa na immigration department ambao ilidai kudhalilishwa kwa kitendo cha mbwa kuitwa jina "migration"
 
I CONCUR JANJA PORI.................omba ufundishe chuo kipindi unatafuta kazi kwingine........as u know smth iz better than nothing!!!!!!!!
nimeaply SAUT wamentosa wanataka wamemchukua mtu ana 3.6 wa UDSM du kazi ipo UDSM PIA WAMENTOSA KUFUNDISHA Kabudi kantolea Nje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom