LL.B 1st class holder

LL.B 1st class holder

Inasikitisha!

Mambo ya kujisifia vyuo na shule ni sawa na watoto wadogo wanapojisifia uzuri wa nyumbani kwao. Lakini akishakua ataanza kubadilisha mtazamo na kuanza kujisifu kwa mafanikio yake binafsi aliyoyapata.

Pevuka.
Jisifu kwa mafanikio uliyonayo, unasifia vyuo? Unaweza ukasifia vyuo na ukawa na mafanikio madogo kuliko hata ambae hafahamu vyuo.

Vyuo ni kama mabasi yanayokuleta kutoka kijijini kuja mjini, sasa unaweza ukajisifu umepanda luxury bus, afu ukafika mjini na usidanikishe ndoto zako wakati wenzio walikuja mjini na lori na walipofika mjini wakatimiza ndoto na wakawa mamilionea.

Ni michezo ya kitoto tu, ni kama vile unapokutana na mtu anaejisifu kuwa yeye ni rijali.

Na hii ndio sababu tanzania haiendelei kwa kasi nzuri, kwa sababu asilimia kubwa ya wasomi wake wanasoma ili wapate best grades na sio competence and efficiency.

Angalia scholars wenye mafanikio makubwa na walioleta mabadiliko, hakuna anaejisifu amesoma hapa, pale au kule.

Watu wanasifia vyuo mithili ya clabu za mpira!!!

Inasikitisha.
 
Nenda Law School kwanza ndo uje kuleta mbwembwe zako hapa.

Eti talented in law practice...rekebisha na useme law theory kwani bado hujawa certified kwenye practice wewe,

Acha kuaibisha heshima ya taaluma ya sheria...
 
Nilitaka nimsupport jamaa, lakini hizi comment naona zina ukweli ndani yake. DUCE wametangaza nafasi za tuitorial assistant, assistant lecturers na lecturers, jaribu kuomba. Wenye first class kazi zinawatafuta, sio hao wanatafuta kazi. Mi nahisi unataka kusikia watu wanacomment nini juu ya hilo!!
 
Tumaini first class si tunajiokotea tu kama maembe mwituni. Angalia kwa mfano wew hapo eti epo talented kwenye law practice, hivi hiyo ingekuwa ni talent kungekuwa na law school? Mwenzio waTumaini first class hiyo hiyo juzi kwenye interview somehwere tunamuuliza "Who is a legal person?" anajibu "is a person who is well qualidfied in legal matters"
 
kwani alitakiwa ajibuje mkuu?
 
Too good to be true. Ata kama ndo tia maji tia maji tumaini unv. Ungekuwa una pa kujishikiza.
 
Tumaini first class si tunajiokotea tu kama maembe mwituni. Angalia kwa mfano wew hapo eti epo talented kwenye law practice, hivi hiyo ingekuwa ni talent kungekuwa na law school? Mwenzio waTumaini first class hiyo hiyo juzi kwenye interview somehwere tunamuuliza "Who is a legal person?" anajibu "is a person who is well qualidfied in legal matters"

Hahahahah kweli mkuu TUMAINI ni matatizo
 
Tumaini first class si tunajiokotea tu kama maembe mwituni. Angalia kwa mfano wew hapo eti epo talented kwenye law practice, hivi hiyo ingekuwa ni talent kungekuwa na law school? Mwenzio waTumaini first class hiyo hiyo juzi kwenye interview somehwere tunamuuliza "Who is a legal person?" anajibu "is a person who is well qualidfied in legal matters"

hahaha nimecheka vibaya mno katumia common sense kujibu swali
 
Yaan nyie mnaongea as if hamuishi tz vile hivi hamjui enzi hz co enzi leo, sasa hv nan anayehangaika na wewe kukutafutia scholarship, serikali ina huo muda? Haya mnasema eti angebaki chuo kufundisha mnadhan kila mtu anawito wa kufundisha? Kuna mtu humu alishapost kuwa ana degree, masters na PhD still hana kaz mwaka wa nne huu, kinachowafanya mumshangae huyo mwenye 1st class ni nn km sio wanafiki nyie.afu mkumbuke kwamba sheria cku hz co km zaman kwamba ukimalza chuo tu unapangiwa sasa hv kaz unajitafutia mwenyew sasa kwanin asitafute.sasa km mnaona 1st class yake kupewa sasa komaeni nyinyi mpate iyo afu muone km mtaitwa na vyuo vyenu kuwa hata tutorial assistant.... fikirien kabla hamjatoa maneno yenu ya kejeri.
 
Kumbe 1st yenyewe ya Tumaini!.
Hebu naomba usiaibishe heshima ya 1st Class, tangu lini 1st class holder wa sheria akatafuta kazi?. Hii ni dalili hiyo 1st class yako ni ya kupewa tuu ili mboost image ya Tumaini.

UDSM nazijua 1st Class tatu, Dr. Asha Migiro, Prof. Palamagamba Kabudi na Prof. Hamudi Majamba ambaye ya kwake ndio ya mwisho 80's mpaka sasa, more than 20 years Ist Class haijawahi kupatikana tena, hivyo lazima nione ajabu 1st class wa LL.B kutafuta kazi. Very unusual!.
Acha uongo kijana
Kuna watu wana akili balaa!!
Sinde Warioba alipiga GPA ya kufa mtu hadi leo hii UDSM wanamheshimu
Njoo darasa la kina Tundu Lissu,LLB UDSM 1991 to 1994, kuna Lissu,Ngeleja,Ngudungi former Presidaa wa DARUSO Enzi zao,na Feleshi DPP vijana walifanya wounders but Mkuu wa kaya enzi hizo Ndg Ally hakuwapa nafasi ya kubaki
Kwan vijana walikua against naye kabisa
 
Hata huwa hufuatilii mambo UDSM kuna first class 4 tu,prof.majamba,prof.kabudi,dr.tenga,dr.migiro
 
Hata huwa hufuatilii mambo UDSM kuna first class 4 tu,prof.majamba,prof.kabudi,dr.tenga,dr.migiro

acha uongo,dr migiro hakua na 1st class ila alikua the best female student kwa mwaka wao..ukitaka ushahidi nifuate PM!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom