LL.B 1st class holder

Dege Dege, Lissu ni school mate wangu tangu Ilboru, wakati huo akiitwa Antipas Tundu na alikuwa toto tundu kweli.

Pia ni kweli ndio alikuwa best performer wa mwaka wake lakini kuwa best performer ni kitu kimoja na kupata 1st Class ni kitu kingine. Best performer anapatikana kila mwaka hata darasa zima wakipata pass, mwenye lower second ndie best perfomer.

Tindu Lissu alipata Upper Second na GPA ya juu kabisa with honours ila sio 1st Class.

Mlisikia wapi Ist Class wa Law anaomba kazi?. 1st Class wote kwanza huwa wanakuwa retained na chuo husika. Hugombewa kupewa scholaship ya masters na ajira juu, hivyo mwenye 1st Class huunganisha shule na sio kutafuta kazi, kazi ndizo huwa zinawatafuta watu hawa!.

Kweli first class haitafuti kazi bali hutafutwa. Jitahidi ID yako usijaribu kuitoa open humu JF utaaibika na kukosa kazi kabisa.
 
Hilo jina tu.
Na hivi ni kwa nini hakujawa na 1st class tokea miaka hiyo. Nini kilicho kigumu kuhusu sheria ambacho kinawafanya watu washindwe kupata hizo 1st class?
Au wanafunzi wanaochukuliwa kwa hiyo kozi ni vilaza?
Kupata 1st ya LL.B UDSM shughuli yake ni nzito. Binafsi niliulizia ni kwa nini, nikagundua jamaa wanabana sana. Nikiwa pale chuo nilizisoma thesis za ma denti wawili wanaitwa Baimu na yule dogo Nyaga Mawalla, walistahili kabisa kupata 1st ila jamaa waliwabania. Tumaini, Mzumbe na St. Agustine kwao 1st ni za kumwaga ili ku boost public image ya vyuo vyao.

Angalizo: Kupata 1st class sio kigezo cha ndio mwanasheria nzuri, hao wote wenye 1st Class sijawahi wasikia hata kusimama mahakamani, huko most sucessiful lawyers kama kina Mkono wana PASS tuu ila wanafanya mambo makubwa.
 
Jamani vitu vimebadilika. cku hizi hakuna how you perform it is just who knows you.
kama kuna mtu anaweza kumsaidia amsaidie tu. mimi mwenyewe nimemaliza UDSM nilikua nakimbiza balaa kuanzaia primary mpaka chuo.
lakini no body cares nipo hm.
 
1st class ya tumaini,ha ha ha,nakumbuka wakat law school,inaanza pale udsm,walikuja 1st class wa tumaini na mbwembwe zao,ukiwaona wako tofauti na wanafunz wa law pale udsm,kilichowakuta ni huzuni,thats why wanaogopa kwenda law skul hadi leo,udsm sio mchezo pale ni kitabu.
 
Lakini na nyinyi acheni dharau. Kwa nini mnabeza hivyo hizo festi klasi za Tumaini? Kwani wanaosoma Tumaini hawawezi kuwa na festi klasi? Acheni dharau zenu hizo. Kusoma UDSM wala si ujiko kihivyo.
 
Aisee tumaini siyo chuo ile ni club hamna kitu pale mi nimewaona wanavyochemka mahakamani graduates wa tumaini yaani unajiuliza huyu naye ni wakili au hiyo sahau ningeshangaa kama ungekuwa na 1st class ya Mzumbe halafu huna kazi ud hakutakuwa tena na 1st class kwakuwa wanafnzi huendekeza ngono zembe, pombe,bangi,unga,disco,kuvaa,muda wa shule wataupata wapi ushahidi kagua matokeo ya faculty of law utaona pass,disco,repeat year zilivyo nyingi mwaka 2002 waliopata upper 2nd walikuwa kumi na lower. Walikuwa 52 the rest walifeli sasa hapo ni shule wameenda kukua!!!!!!!
 
<br />
<br />
we una degree au Unateta udsm vilaza
 
Kusoma UDSM sio ujiko kaka ila unadhani hiyo 1st class yake ingekuwa ya UDSM ANGEJITANGAZA?
 
Uzuri umetanguliza maneno "UDSM nazijua...." Kwa taarifa yako na wengine, UDSM Kitivo cha sheria kilitoa 1st class ya kwanza mwaka 1973 na aliyeipata ni waziri wa sasa wa sheria wa Kenya, Kilonzo. Mwaka 1975 ndipo tulipata Mtanzania wa kwanza kupata !st Class ya sheria na huyo ni Wakili Capt. Audax Kameja (yuko Mkono & Co.). Enzi hizo hakukuwa na rushwa ya fedha au ya ngono ili watu washinde mitihani. Huyo 1st class wa sasa hatuwezi kujua kama aliipata kihalali!
 
Hivi kwani hiyo festi klasi ya sheria hapo UDSM unatakiwa ufanye maajabu gani hadi uipate? Na what is the significance of getting that much touted first class? That you are the smartest? That you are the Albert Einstein of jurisprudence?
 
endeleeni kupigizana kelele na vyeti kama vitawasaidia, siku hizi wanaangalia competency au hamjawahi kufanya kazi kwa wazungu? mkapa ana degree ya mass com na jk ana ya uchumi lkn angalia perfomance ya nchi ktk uchumi under ben vs jk
 
Msiongee mambo jumla jumla tu, siku hizi mtu haangaliwi kwa chuo anachotoka watu wanasoma na wanafaulu na pia kwenye kazi wanadeliver vizuri tu wala hilo sio la chuo ni mtu basi...
 
First Class ya Tumaini ni sawa na pass ya UDSM.,mmh lakini jinsi jamaa alivyoshambuliwa na hiyo '1st Class' yake anaweza akajitoa kabisa JF
 
Hilo jina tu.

Na hivi ni kwa nini hakujawa na 1st class tokea miaka hiyo. Nini kilicho kigumu kuhusu sheria ambacho kinawafanya watu washindwe kupata hizo 1st class?

Au wanafunzi wanaochukuliwa kwa hiyo kozi ni vilaza?

Mbona wanachukuliwaga wanafunzi wenye madivisheni makalimakali!?!
 
Kwani festi klasi ndo kipimo cha akili? Kila siku nawaambieni hapa kuwa kupata alama nzuri shuleni si kigezo pekee cha akili za binadamu.

Lakini na nyinyi acheni dharau. Kwa nini mnabeza hivyo hizo festi klasi za Tumaini? Kwani wanaosoma Tumaini hawawezi kuwa na festi klasi? Acheni dharau zenu hizo. Kusoma UDSM wala si ujiko kihivyo.

Hivi kwani hiyo festi klasi ya sheria hapo UDSM unatakiwa ufanye maajabu gani hadi uipate? Na what is the significance of getting that much touted first class? That you are the smartest? That you are the Albert Einstein of jurisprudence?

Nyekundu: nakubaliana nawewe kabisa mkuu, angalia kwa mfano Ndugai alivyosoma lakini hopeless..cheki hapa http://www.parliament.go.tz/bunge/mpcvs.php?vpkey=200

Ngeleja hadi ana LL.M lakini wizara yake ndio bingwa kwa mikataba ya kina Chifu Mangungo.. cheki hapa http://www.parliament.go.tz/bunge/mpcvs.php?vpkey=424

Bluu: hapa pia tupo pamoja ebu cheki CV ya Sophia Simba, nae kasoma LL.B UDSM na kupata LL.B (Hons)!! Cheki hapa Parliament of Tanzania.

Kijani: Profesa Mgongo Fimbo anakwambia yeye kukupa alama ya A ni lazima uwe umemfundisha kitu kipya!!! (ambacho hakijui yeye!!)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom