Na wewe uache kauli za wenda wazimu...huna tofauti na babu zako walikuwa wanaamini shule ni ya serikali tu..ss hv mbona wenyewe mnawapeleka makinda zenu huko private
Kinacho matter ni qualifications za mtu na co huo utumbo wa Jina la chuo..hv tutabdlk lini na kuwa na mitizamo ya kisomi!! Infact you are full of sh*t..nisiseme sana ila jina la chuo halimbebi graduater hata cku moja..kwanza we Umegraduate wp na..
<br />

<br />Wewe ni kilaza, !st class wote hubakizwa chuoni au hata kuajiriwa na vyuo vingine ka ma Tutors n ahusomeshwa na uwa Professors baadae. Kwa nini Tumaini wasikuchukue? Nasikia eti Tumaini wanatoa !st class ili kuvutia wateja na ikiwa Lecturer atatoa marks kdg kibarua kinaweza kuota nyasi, balaa...Jamani vyuo ni vya Umma tu, huko private hamna kitu, tuna jamaa wengi tu wa Tumaini ofcn kwangu yaani ni mizigo tuu, kakitu kadogooo utaskia mkuu hebu hapa................... full kuomba miongozo........... shame....
<br />